Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Mkuu usianze kuhamisha magoli,we eleza teknolojia alizovumbua China ambazo zimeleta mapinduzi duniani achana na hizo teknolojia za enzi ya mitume

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisema kwamba nikitajie hata tech moja iliyogunduliwa na china na nimekutajia paper making sasa shida ipo wapi mara unasema ooh ni zamani sana kwani hizo paper leo hii hazitumiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua siaminigi maneno naamini vitendo na Trump ametenda kweli,alisema ataitambua Jerusalem kua mji mkuu wa Israel na amefanya hivyo! Kwenye ahadi za kampeni aliahidi ataongeza ushuru wa bidhaa za China na kweli amefanya hivyo!

Sio maneno ya 50ml/kijiji halafu hamna kitu!

CASE CLOSED!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kumbe sio wanasiasa wote ni waongo?

Hata rais wa china aliahidi ata jenga barabara,reli,njia za meli kuanzia china mpaka africa na europe na anatekeleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua siaminigi maneno naamini vitendo na Trump ametenda kweli,alisema ataitambua Jerusalem kua mji mkuu wa Israel na amefanya hivyo! Kwenye ahadi za kampeni aliahidi ataongeza ushuru wa bidhaa za China na kweli amefanya hivyo!

Sio maneno ya 50ml/kijiji halafu hamna kitu!

CASE CLOSED!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni tweets za trump kabla na baada ya kuwa rais kuhusu syria ameishawahi mpaka kusema hawezi kuipiga Syria mpaka apate Congress approval na alikua anamshauri obama afanye hivyo ila punde tu alivyochukua urais akageuka na kuanza kuipiga tena kibaya zaidi kaipiga kabla siku ambayo UN chemical watchdog ndio inaenda kufanya uchunguzi wake na wala hakupata hiyo approval kutoka congress

Hivi unaweza kumfunga mtu kabla ya ushahidi,hapa trump aliudanganya umma kama tu hizo unazoziita hela za kijiji
download.jpg
images%20(17).jpg
images%20(16).jpg
images%20(15).jpg
images%20(14).jpg
images.jpg
images%20(13).jpg
C8xl_8kXUAAxlXt.jpg
images%20(12).jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • images%20(14).jpg
    images%20(14).jpg
    7.1 KB · Views: 16
Back
Top Bottom