Ubaya wake anaweka vikwazo vitu vya kijinga atamzuiaje mtu asinunue hata mifumo ya kujilinda
Marekani ni taifa na lina influence na limebadilisha sana ulimwengu na tech sana na limetufanya tumerahisisha sana maisha kwenye kupitia technology and we respect that,lakini iache watu wafanye biashara zao na affairs zao kama kawaida
mfano kuna haja gani ya kwenda kutaka kuipiga Venezuela?
Hili suala la china hawa USA walivyo peleka viwanda kule hawakusoma mikataba hiyo kwa nini wasinge peleka hiyo mikataba nchi nyingine zenye masharti nafuu ina maana hawakuona madhara yake baadae maana jamaa huwa wanafikiria sana mbali je kwa china walichemka?
Nimekuuliza swali lakini nataka nikupe jibu lake hapa hapa kwa nini USA walienda China ilihali kulikua na masharti lukuki
Sababu kubwa kabisa USA ilikua inamsaidia china ili kui undermine Soviet union ya kipindi kile,soviet union ndio ilikua mwiba na rival mkubwa wa USA kiuchumi na ki technologia kumsaidia china kulifanya kuwe na balance kule bara Asia
Sasa mwanafunzi kawa monster kwa mwalimu wake leo hii russia wanaungana na China ili kumkabili USA na ni sababu tu USA anatoa vikwazo kwa hawa wote wawili
Karata iliyobaki ili kuiharibu uchina ni kuisaidia india kwa kila namna shida tu ya India wana population kubwa isiyokua na elimu ya kutosha kama china
India ikipaa kiuchumi itakua ni rahisi sana kumu undermine china kama USA akitia mkono wake na ndio maana kama umechunguza vizuri USA huwa hasemi kitu kuhusu nuclear za india akijua wazi kabisa huenda siku India na China wakapigana.
Sent using
Jamii Forums mobile app