Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Bhas kama China imeamua kuban companies za Marekani zinazohusiana na mitandao ya kijamii kwa kisingizio Cha kuvurugika kwa amani nae Marekani ameamua kuban Huawei kwa kuhofia kudukuliwa na serikali ya China,Sasa hapo tatizo liko wapi?!

Sasa kwanini wachina waone kama wanaonewa wakati wao ndo wa kwanza kuanzisha ligi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachina wenyewe wanataka ushahidi wa kisheria tu ndio maana wameweka wame imepeleka mahakamani serikali ya marekani

Kuban mitandao ya kijamii kule china sheria zao zinaruhusu mkuu ile sio nchi ya kidemocracia ni socialist ile hata uhuru wa kujieleza hakuna kule na ndio utamaduni wao na USA wanalielewa hilo kwa hiyo kuban social media ni kitu cha kawaida sana kwao ila sio kwa USA ambaye ndie anajiita mfano wa democracy duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzuia iPhone kutakua hakuna mahusiano yeyote na huawei,hiyo kama watazuia watafanya hivyo kwa pretext ya trade tension iliyopo kati yao

Marekani imepiga ban huawei products kwa pretext ya national security threat ila ukiangalia kiundani kabisa hawataki huawei wafanye business USA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu rejea kusoma tena uzi, unasema hivi Huawei wameifungulia mashtaka serikari ya US kwa kuzuia taasisi za umma kutumia bidhaa za Huawei kwa kisingizio kuwa bidhaa za Huawei zina_spy.
.
Sasa wao wamesema "Hawana uhusiano wowote na serikari ya china na US hawana ushahidi kwa wanachokisema" Tambua itakuwa ni "UTHIBITISHO WA WAZI" ikitokea China wakaifungia Apple kuuza bidhaa zake China kuwa Huawei na serikari ya china ni kitu kimoja.
.
Kumbuka Apple na serikari ya marekani si kitu kimoja.
 
anaye nufaika zaidi unadhani ni nani,na je unafikiri hizo tarrifs alizoweka marekani hapati hasara?maana bidhaa zake zote muhimu anatengeneza kule china

China ataongeza mass production ya xaomi ambayo ni mbadala wa iPhone kwa hiyo wewe unafikiri nani atakula hasara kubwa hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbadala wa iPhone umekomalia kweli mbona haijaingia sokoni kushondana na iphone
 
Ile ni pure business project hujui kama Ukraine anapata transit fee za ile gas?

Kwa hiyo na kuwapa vikwazo nchi zinazonunua mfumo wa kujilinda wa S 400 kutoka russia halafu analazimisha watu wanunue mfumo wake wa patriotic nalo unalizungumziaje hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa.
S400 haiwezi kua integrated na mifumo ile ya Marekani au NATO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachina wenyewe wanataka ushahidi wa kisheria tu ndio maana wameweka wame imepeleka mahakamani serikali ya marekani

Kuban mitandao ya kijamii kule china sheria zao zinaruhusu mkuu ile sio nchi ya kidemocracia ni socialist ile hata uhuru wa kujieleza hakuna kule na ndio utamaduni wao na USA wanalielewa hilo kwa hiyo kuban social media ni kitu cha kawaida sana kwao ila sio kwa USA ambaye ndie anajiita mfano wa democracy duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Trump aliban Huawei kinyume Cha sheria?!
Alitumia sheria kwa kigezo kwamba system na vifaa vya Huawei ni 'hatari kwa usalama wa Taifa',wakazipiga ban.
Na si Huawei tu,kipindi Cha Trump kumetungwa sheria nyingi za kuidhibiti China ikiwemo ile ya kuban kampuni za China kutaka kununua kampuni za Marekani.

Pia tuhuma dhidi ya Huawei sio kitu kipya Ni za muda mrefu ikituhumiwa kuspy na kuiba IP za kampuni zingine kuisaidia serikali ya China
Cisco sues Huawei over intellectual property

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Trump aliban Huawei kinyume Cha sheria?!
Alitumia sheria kwa kigezo kwamba system na vifaa vya Huawei ni 'hatari kwa usalama wa Taifa',wakazipiga ban.
Na si Huawei tu,kipindi Cha Trump kumetungwa sheria nyingi za kuidhibiti China ikiwemo ile ya kuban kampuni za China kutaka kununua kampuni za Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ushahidi ndio maana wameenda mahakamani,una dhani kesi imefunguliwa kwa sababu gani?

Hauewi wanataka ushahidi wa kisheria kwamba wanafanya spying.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
c597a1a55dfdd6f645028cd01a259b68

Marekani yazuia mashirika ya umma kutumia vifaa vya kampuni kubwa ya simu Huawei.
Kampuni ya simu ya Huawei kutoka nchini China imeifungulia kesi serikali ya Marekani, baada ya kuzuia mashirika ya umma kutumia vifaa vya kampuni yake.

Serikali ya Marekani imezuia mashirika yake kutumia vifaa vya kampuni hiyo kama simu na vingine vya eletroniki kwa madai kuwa, ni hatari kwa usalama wake.

Mwenyekiti wa kampuni ya Huawei Guo Ping, amewashtumu wabunge na serikali ya Marekani kwa kushindwa kuthibitisha madai hayo, na uamuzi wa kwenda Marekani umekuwa wa mwisho, ili kupata suluhu.
Kesi hiyo imewasilishwa katika Mahakama mjini Texas na katika utetezi wake, inatarajiwa kueleza kuwa haina ushirilkiano wowote na serikali ya China kama Marekani inavyoadai.
Mbali na Marekani, Australia na New Zealand, zimeweka vikwazo kwa kampuni za nchi zao kutumia vifaa vya mawasiliano na teknolojia kutoka Huawei.
Ingekuwa Serikali ya Tanzania ndo imefunguliwa kesi basi ungesikia mwanasheria anayejiona msomi na mbobezi kushinda wote nchini Tundu Lissu angesharopoka.
 
Kwa hapo marekani ina upper hand, iko na advantage. Walidanganya wakijua hawatakuja kukamatwa.

Cha ajabu huyo CFO wao anaeshikiliwa Canada analeta utetezi wa kijinga kua aliandalia power point slides yeye alikuja tu kusoma na hajui kilichokua kimeandaliwa, ujinga wa namna gani, wewe mhasibu mkuu uandaliwe slides ukazisome bila kujua zinasema nini?

Kwa hapa Marekani atawasumbua, nasikia wanajibaraguza tu kua hapo walipofika marekani haitaweza kuwarudisha nyuma na mambo kama hayo ila wanakiri kua wataathirika.

Marekani sio nchi ya mchezo.

Popolation 300.something million, china 1.3B lakini wanawekewa vikwazo, kweli akili kubwa inaongoza Dunia.
Taifa kubwa huku wanahangaika kutwa na bwana mdogo Kim na kuwanyima usingizi.Marekani soon anaenda kupoteza ushawishi maana hata baadhi ya mataifa ya ulaya yameanza kukaa naye mbali na kuegemea mashariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaya zaidi kule china kuna xaomi ambayo ni mbadala wa iPhone ni bei affordable kabisa.

China is iPhone's largest market na sidhani kama apple wako tayari kupoteza soko la watu wengi namna ile

kiukweli China nayo haikwepeki kabisa maana kwa sasa ndio jamii yenye purchasing power kubwa zaidi kuliko hata the whole Europe sasa kama mzalishaji unaachaje market base kubwa namna ile?

Sent using Jamii Forums mobile app
Xiaomi haiwezi kuwa mbadala wa iphone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anaye nufaika zaidi unadhani ni nani,na je unafikiri hizo tarrifs alizoweka marekani hapati hasara?maana bidhaa zake zote muhimu anatengeneza kule china

China ataongeza mass production ya xaomi ambayo ni mbadala wa iPhone kwa hiyo wewe unafikiri nani atakula hasara kubwa hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mbadala wa iphone milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom