Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Ukiletewa huku simu hiyo hiyo ya china application ulizozizoea utazipata ila ukiwa kwao china utatumia application zao wa china unafikiri hawa wachina hawana akili

Ila simu ikiwa ndani ya china hata google map hutoipata

unafikiri application ikipigwa ban kwenye ardhi ya china na huku nako itakua haifanyi kazi na kutakua na access ambapo simu ikitoka nje ya china unapata kila kitu ila ukiwa ndani ya china unatumia applicationa zao tu na hutaziona hizo Twitter wala Facebook

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema hao wenye apps wazue zisiwekwe kwenye OS za kichina, afu nikatoa mfano samsung watakubali kutumia OS ambazo hazina hizo apps wakati tayari wanayo super os android yenye hizo apps? Soma na kuelewa basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesema hao wenye apps wazue zisiwekwe kwenye OS za kichina, afu nikatoa mfano samsung watakubali kutumia OS ambazo hazina hizo apps wakati tayari wanayo super os android yenye hizo apps? Soma na kuelewa basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani samsung china hazitumiki?mbona zinatumika na google playstore haifanyi kazi kule sasa application wao wanatoa wapi wao wachina.

Ikitoka nje ya china inakua inakubali applications zote na ndivyo ilivyo sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi kweli kweli! Ushasema ilipigwa ban, ni kama vile leo jamii forum ipigwe ban huwezi kupost hapa utalazimika upost kwingine kama unataka kupost. Yaani ni kama vile ubwabwa upigwe ban utalazimika usiule hata kama unaupenda. Hadi hapa nadhani ushajua hujajibu hoja, haya basi jibu sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hazipo sasa hizo applications kule china wao wako comfortable na wechat zao na baidu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamelazimika kutumia hizo za kwao sababu hawana uwezo wa kuaccess apps pendwa duniani. Mkuu nshakutolea hadi mifano. Elewa basi kwani nyama ikipigwa ban hapa bongo utasema watu wako confortable na kula dagaa harusini?!
Ndio hazipo sasa hizo applications kule china wao wako comfortable na wechat zao na baidu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni trade-in price mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona hapo eBay bei ya simu inategemea nayo imetokea wapi vile vile hapo tu hiyo 64 gb inasoma karibu 700 je hiyo ya gb 256 itakua bei gani mpaka ikifike kwetu huku?
Screenshot_2019-03-09-12-36-48.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamelazimika kutumia hizo za kwao sababu hawana uwezo wa kuaccess apps pendwa duniani. Mkuu nshakutolea hadi mifano. Elewa basi kwani nyama ikipigwa ban hapa bongo utasema watu wako confortable na kula dagaa harusini?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mazingira yao wanaona sawa hao wachina

sasa mtu unazaliwa unavikuta vitu kama vilivyo unadhani utashangaa

sawa sawa leo hii mtoto anayezaliwa uingereza labda atakuta ushoga unaruhisiwa tena labda kwenye katiba yao unadhani huyu mtoto atachuliaje si ataona kitu cha kawaida kabisa kwake

Wale ni wazalendo na sheria zao wanazifuata vile vile na ndio maana wamepiga hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo uone sasa tofauti ya us na china, wakati wachina wa apps zao wenyewe, wamarekani wana apps zinazokick worldwide hadi china kwenyewe. Mkuu hadi hapo haiitajiki elimu ya chuo kikuu kujua nani zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini uwe tegemezi?

Kwani unadhani umezuiwa kutumia app za kichina?

Marekani wanafanya fitna na china nao wana fanya fitna vile vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan huoni urusi anavyotoa povu us akifanya yake
USA wakifanya vitu wao ni sawa tu ila sasa wakifanyiwa wao watakuja na sanctions zisizo mithirika.

Vuta picha labda russia au china ndio ingezivamia Iraq,Libya,syria

Au china ndio ingekua inataka kumtoa muduro wa Venezuela

Au labda russia aanze kujenga military base kule Cuba na Venezuela unafikiri ingekuwaje?

Ila yeye USA kupeleka wanajeshi kwenye mipaka ya russia anaona kawaida kabisa akija kufanyiwa yeye ata bwata kama mtoto dunia nzima utasikia Russia approach to latin america is entirely unprofessional and it is unacceptable

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom