Mimi nilijibu analysis yako ulitoa mfano wa wanakijiji na milioni 100. Ukasema wasipotoka nje watakuwa masikini, sasa unasema sio kweli.
Umeona ndege zimeletwa na rubani wa Boeing, akiondoka tu ina park hahaha,
Watalii wanaenda wap kila siku na hizo ndege?! Wakitua na KLM kia wana panda magari, wewe unaongelea watazipanda kwenda wapi?!
Kilimo pia kinaingiliwa na maamuzi ya kisiasa. Watu wanalima wanazuiwa kuuza mazao yao nje. Iwapo siasa itaachwa juu ya kilimo Tanzania ina uwezo wa kulisha Ukanda mzima wa SADC.JKN alifanya vyote kwa kuwa na ndege yet aliwekeza kwenye miradi ambayo inagusa watu kama kilimo, mifugo na viwanda kwa ajili ya processing.
Imani yangu ni kuwa JPM yuko so much concerned na watu wake. Suali la kujiuliza katika mawaziri wetu wa KILIMO na Mifugo ambako kuna watu wengi tukimtoa Bashe ambae ana nusu mwaka; ni nani kwa kumsikia katika mikutano ya Bungeni au kwenye platform mbalimbali; ni nani mwenye vivid vision ya Agri-Biashara ambayo inahitaji government funding au government guarantee ili tusogee?
Niko tayari kukosolewa kama nakosea.
Huyu mzee kama angepata fursa ya kukutana na project managers wa Kilimo-biashara kwa kunzia na what we are losing what can we do at short notice kupata gains ambazo zitaongeza collection kwenye national basket. Hawezi kukataa.
Ni either access ya kumpata labda ni ngumu au wasaidizi wanamwogopa jambo ambalo linaigharimu sekta ya KILIMO.
Am a far believers Tanzania itainuka kwa haraka kwa uchumi jumuishi pale tu KILIMO-biashara ikiwa part of the Economic strategy.
Kwa kuwa tumeanza na ndege na SGR na Nyerere Dam; bado tuna fursa za kukoa na mzee kudadavua kwanini kilimo pia akichungulie kwa kumpa hakika ya payback ya muda mfupi wa kati na mida mrefu.
Mimi ni miongoni mwa watu kama Zakayo; natafuta mti mrefu ili siku akipita, nimtonye how much Tz can gain akinyoonya mkono wake kwenye Agribusiness
Mkuu uko vizuri. Idea yako iko sawa. Lakin kwenye kuchagua mradi gan mkubwa unaweza kuleta mult plier effect ni tatizo kwako. Unajua ukiangalia kwa mapana, mtanzania anahitaji kwanza kabisa umeme. Umeme ni kitu cha kwanza kabisa. Ni muhimu tukawa na umeme kila kona ya nchi ili kuwezesha shughuli ndogo ndogo za kiuchumi kwa kila mtanzania ikiwemo kilimo cha kisasa. Kwa maana hiyo mradi wa stigler gorge ni muhim sana. Unahitajika sana. Pamoja na mradi wa umeme vijijin - rea. Nategemea watanzania wapige kelele utekelezaji wa miradi hii uende kwa kasi sana.
Lakin watanzania hawa wanahitaji masoko ya bidhaa zako. Masoko ya mazao na kazi za mikono. Masoko ya vivutio vya utalii. Kwa maana hiyo miradi yoyote yenye kuleta au ku saidia hayo mambo ni muhimu sana. Mfano ni mradi wa miundo mbinu. Bara baara, madaraja, viwanja vya ndege na ndege zenyewe. Ni muhimu sana. Miradi hiyo ni muhimu sana kwa maendeleo ya uchumi wetu. Mtanzania mwenye akili timamu ata suport miradi ya aina hii kwa nguvu zake zote.
Lakin pia tunahitaji miradi ya kubadilisha afya zetu na maisha yetu. Miradi kama ya elimu bure kwa watoto wetu, miradi ya maji vijijin, na miradi ya hospitali au dispensary kwa kila kata.
Ni muhimu kwa ajili ya kubadili maisha ya mtanzania.
Sielewi kwann mtanzania wa kawaida haelewi maana ya investment kubwa zinazofanyika nchin.
Lakin pia ni vizuri kutambua kuwa kila sehem, kila mahali pakiweza kufikika then inakuwa rahisi kufanya shughuli yoyote ya kiuchumi kwa kila mwananchi wa kawaida.
Pia ni vizuri ikawa wazi kuwa labda awamu zijazo zinaweza kuwa na program ya kugawa hela au ajira kwa kila mtanzania. Lakin kwa sasa tunaomba haya niliyoyataja yafanyike kwa faida ya kila raia wa tanzania.
Mkuu kwani hujui maana ya export? Export siyo lazima upeleke mahindi na maharage ama kahawa. Ndege ina export services. Inapimwa je export ni pesa ya kigeni imeingia kutoka nje na kuwa ndani ya mzurunguruko wa pesa ndani. Mfano Mtalii kaja hapo karuka kutoka Dar hadi Musoma kwa air Tanzania maana yake amelipa dola ambazo hazikuwepo. Ama ndege imeenda India ama London maana yake wasafiri wahindi wameleta dola ndani kwa kulipa nauli. Hiyo ndo export.
Very emotional comment......yaani hta tunapata hasara tuendelee kuweka heka kwenye hyo sekta si ndyo?You are free to express what you feel. The reality remains, we have to move forward, water projects and health facilities are underway.
Don't tell people that aviation industry in Tanzania represents 1%. You need to be critical to say it.
All foreigners who come here need this means of Transport. Most of Tanzania working in various sectors npw needs it.
The tourism industry needs it.
E.t.c
Aviation is becoming important than the way you put think.
Wewe si una definition za vitabuni ambazo wenda zimeshindwa hata kukusaidia mwenyewe binafsi kuwa milionea sasa kama zimekushinda level ya individual hatutagemei utaelewa kwa level hii.Kwa definitions za namna hii (kuwa internal sales ni export) no wonder una mawazo na imani hiyo uliyo nayo.
Kwa hyo mmenunua ndege ili muajiri marubani?
Very emotional comment......yaani hta tunapata hasara tuendelee kuweka heka kwenye hyo sekta si ndyo?
Ndege sio asset.. mkuu. Uwanja wa ndege ndio asset. Nadhani umeelewa.Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ikikamilika, ndipo tutageukia maendeleo ya watu.
PJe, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Wanabodi, Hii ni thread ya swali, ambalo linatakiwa kujibiwa na wachumi wetu, kuhusiana na dhana ya maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au ni maendeleo ya vitu?, na Je, sera za uchumi za serikali ya Awamu ya Tano, ambazo zimejikita kwenye maendeleo ya vitu, badala ya maendeleo ya watu...www.jamiiforums.com
..Je, atcl itaanza kupata faida baada ya miaka mingapi?
..na kabla haijaanza kupata faida, serikali itakuwa inatoa RUZUKU kiasi gani ili kuendesha shirika la ndege?
..Hatupaswi kujilinganisha na Ethiopia kwasababu wenzetu walianza miaka mingi sana nyuma. Mazingira ya biashara ya mashirika ya ndege kipindi Ethiopian Airlines inakuwa siyo sawa na haya ambayo ATCL itakutana nayo.
..Raisi Magufuli alisema ameshauriwa na Raisi Kagame kununua ndege. Taarifa zilizopo ni kuwa Kagame hajawahi kupata faida ktk biashara ya ndege tangu aanzishe shirika la Rwanda Airways.
..Ninaheshimu mtizamo wako kuwa tusubiri tuone kama mradi utapata hasara au la.
..Natumaini na wewe unaheshimu mtizamo wangu ninapotahadharisha kwa nia njema kwamba mradi kama huu umezitia hasara nchi nyingi.
Wewe si una definition za vitabuni ambazo wenda zimeshindwa hata kukusaidia mwenyewe binafsi kuwa milionea sasa kama zimekushinda level ya individual hatutagemei utaelewa kwa level hii.
Nitakupa proof: hizo definitions zenu za ki-ccm ndizo zimetufikisha hapa. Tanzania inaweza ku-compete na nchi gani iliyoendelea? Vinchi kama Cyprus, Malta na Luxembourg vinatushinda japo tuna resources mara million kuwashinda wao; why are they way ahead? Jibu ni rahisi; INCOMPETENCE ya watawala.
Shikamoo braza. Mi wingi na umoja unanichanganya sana. Hivi unavyosema TUMEAMUA inakuwa inamaanisha nani na nani?Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ikikamilika, ndipo tutageukia maendeleo ya watu.
PJe, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Wanabodi, Hii ni thread ya swali, ambalo linatakiwa kujibiwa na wachumi wetu, kuhusiana na dhana ya maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au ni maendeleo ya vitu?, na Je, sera za uchumi za serikali ya Awamu ya Tano, ambazo zimejikita kwenye maendeleo ya vitu, badala ya maendeleo ya watu...www.jamiiforums.com
Unachoshindwa kuelewa umekalili neno resources.
Lazima utambue kuna potential resources unayoitaja na human resources. Sasa kikubwa ktk maendeleo ni pale unapokuwa na human resources. Human resource namaana ni watu wenye elimu sahihi ya teknolojia ya kubadili potential resources into capital. Elimu hiyo huna na mwafrika huna hadi dakika hii tunapongea.
Hivyo vi nchi ulivyovitaja vina resources kubwa sana kuliko uliyokalilishwa wewe darasani. Wana resouces wanaoweza badilisha li chuma chakavu na kuwa dreamliner. Wana resources ya kubadili cobolt nakuwa smart phone unayopiga nayo kelele humu. Wana resources ya kuweza badili uranium mliokalia kuwa bomu litakalokukalisha chini na kubeba uranium zingine bure.
Wewe unachoongelea ni potentials nasiyo useful resources. kuwa na shamba kubwaaaa ambalo huliwezi kulilima ni potential na sikwamba kuwa na shamba kubwaa basi una mavuno mengiiii.
Kigezo namba moja cha kuendelea ni human resources ukiwa na human resouces kutafutal material resources is no deal anyway. if you got no human resources you are finished.
Kweli kupanga ni kuchagua.Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ikikamilika, ndipo tutageukia maendeleo ya watu.
PJe, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Wanabodi, Hii ni thread ya swali, ambalo linatakiwa kujibiwa na wachumi wetu, kuhusiana na dhana ya maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au ni maendeleo ya vitu?, na Je, sera za uchumi za serikali ya Awamu ya Tano, ambazo zimejikita kwenye maendeleo ya vitu, badala ya maendeleo ya watu...www.jamiiforums.com
Wote wanaomuunga mkono JPM.Shikamoo braza. Mi wingi na umoja unanichanganya sana. Hivi unavyosema TUMEAMUA inakuwa inamaanisha nani na nani?
Vitu bila kuwa na hali nzur ya kiafya na kielimu Ni sawa kuwa na kuamini Mungu hayupo alafu ukaenda ukamkuta na ukifikir madhabi uliotenda utatamani urud ulikotoka lakin utakuwa ushachelewaKupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ikikamilika, ndipo tutageukia maendeleo ya watu.
PJe, maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au vitu? Wachumi tusaidieni, uchumi wa Awamu ya 5, unalisaidia Taifa au utaliangamiza?
Wanabodi, Hii ni thread ya swali, ambalo linatakiwa kujibiwa na wachumi wetu, kuhusiana na dhana ya maendeleo ya kweli ni maendeleo ya watu au ni maendeleo ya vitu?, na Je, sera za uchumi za serikali ya Awamu ya Tano, ambazo zimejikita kwenye maendeleo ya vitu, badala ya maendeleo ya watu...www.jamiiforums.com
Mimi sijakaririshwa kitu, na ndio maana simuimbii mapambio mtu awaye yote yule. Kuna Waafrika ambao hawana proper and relevant education YES (Tanzania being a living example), lakini ni UONGO mweupe kusema nchi zote za Kiafrika zina hilo tatizo. Mauritius and Cape Verde being one of those.
Labda ni kama kununua daladala wakati watoto wako wakilala njaa,huu ndio mfano hai. Sasa tujadili hilo daladala litaweza kuleta hela ya chakula na ada ya watoto?Nilivyo elewa mimi, anavyofanya jiwe ni sawa na kununua TV huku watoto wako wakilala njaa.
Taja nchi gani ya kiafrika ambayo haina hilo tatizo? ulishatembelea nchi gani za kiafrika tofauti na Tanzania?
wewe unafikiri Burundi, afrika ya kati , Kameruni, Nigeria, Zimbabwe, Malawi, Zambia, Guinea, Mali tatizo ni sababu ya CCM inaongoza?
Dalili ya mwafrika ambaye hana uelewa mzuri hufikiri anaelewa zaidi na kuwa na majibu mapesi ktk maswala yakufikiria.