How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

Huwezi endeleea bila kuwa na kitu cha kuingiza pesa za kigeni ndani. Ndege ni moja ya biashara nzuri sana ya export inayokuingizia pesa ndani na time to market is very short.

Biashara zinazozungurushwa ndani mnazotaka ndo zitawatia watu umasikini zaidi.

Ukitaka kufahamu hilo, nenda kijijini kwenu kawape milion 100 uwafungie wafanye biashara wao kwa wao, wasitoke nje, rudi baada ya miaka 5 utakuta wamekuwa masikini zaidi, na hizo milion 100 zimepugua zaidi maana zingine zimechanika na zingine zimepotea.

Mkumbuke biashara inayofanyika humo ndani bila export hiyo si biashara bali ni service. Hii service itaenda kwa pyramid scheme na mwisho kuanguka.
Magufuli na serikali yake kununua ndege is the right approach.
Ndege na Mbuga kipi kinaweza kutupatia fedha nyingi za kigeni? Ikiwa tuna import kuliko ku export hilo pato la fedha za kigeni zitakazoletwa na midege litakuwa na tija?
Mambo ni mengi muda ni mchache...
 
Ndege ... unapata faida kwa abiria plus direct flights zitakuza utalii..

mradi wa kila.mtz kupata elfu 10 haupo...
mama nini? Kilimo?
Subsidies ya pembejeo inamsaidiaje mwananchi? Wanabweteka wanasubiri pembejeo the next year.

Pigeni siasa mavi
Kwanza soma nilichoandika, uelewe, ndiyo ujibu
 
Can you back up your argument with some maths, I mean give us reliable data to support your argument.
Karibu. Ila utumie kizungu laini usituletee mibombastic yako..ama kwa faida yangu na wengine baadhi tumia kiswahili.
Mauzo ya nje ya bidhaa za kilimo, kwa mwaka mmoja unaoishia Agosti 2019, yameporomoka kwa asilimia 55 kulinganisha na mwaka wa kabla yake.

Si asilimia 10, si 20, si 30, si 40 si 50.

Asilimia 55.

Zaidi ya nusu. Kama tulipata sh 1000, tumeshuka mpaka sh 450 kwenye mapato haya ya kilimo

Hizi si habari za "The Economist" mseme ni za mabeberu. Hizi ni habari za ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania ya Oktoba 2019.

Sababu kubwa ni serikali kuingilia biashara ya korosho.

Kama hizi fedha zinazotumika kwenye biashara ya kamali ya ndege (biashara ya ndege ni kama kamali dunia nzima) zingewekezwa kusaidia wakulima kujenga capacity, ku add value, kubangua korosho, kuuza mpaka mafuta ya korosho, kuuza processed products instead of raw material, mapato ya kilimo yangeweza hata ku double ndani ya mwaka mmoja.

Tunaangalia mambo ya ujiko, badala ya mambo ya uchumi.

Tumekuwa kama familia masikini inayotaka kununua Benzi ili nayo ionekane ina Benzi, wakati matunzo tu ya hilo Benzi ni mgogoro, wakati kitu inachohitaji zaidi ni kununua low maintenance pick up la kufanyia biashara.
 
JKN alifanya vyote kwa kuwa na ndege yet aliwekeza kwenye miradi ambayo inagusa watu kama kilimo, mifugo na viwanda kwa ajili ya processing.

Imani yangu ni kuwa JPM yuko so much concerned na watu wake. Suali la kujiuliza katika mawaziri wetu wa KILIMO na Mifugo ambako kuna watu wengi tukimtoa Bashe ambae ana nusu mwaka; ni nani kwa kumsikia katika mikutano ya Bungeni au kwenye platform mbalimbali; ni nani mwenye vivid vision ya Agri-Biashara ambayo inahitaji government funding au government guarantee ili tusogee?

Niko tayari kukosolewa kama nakosea.

Huyu mzee kama angepata fursa ya kukutana na project managers wa Kilimo-biashara kwa kunzia na what we are losing what can we do at short notice kupata gains ambazo zitaongeza collection kwenye national basket. Hawezi kukataa.

Ni either access ya kumpata labda ni ngumu au wasaidizi wanamwogopa jambo ambalo linaigharimu sekta ya KILIMO.

Am a far believers Tanzania itainuka kwa haraka kwa uchumi jumuishi pale tu KILIMO-biashara ikiwa part of the Economic strategy.

Kwa kuwa tumeanza na ndege na SGR na Nyerere Dam; bado tuna fursa za kukoa na mzee kudadavua kwanini kilimo pia akichungulie kwa kumpa hakika ya payback ya muda mfupi wa kati na mida mrefu.

Mimi ni miongoni mwa watu kama Zakayo; natafuta mti mrefu ili siku akipita, nimtonye how much Tz can gain akinyoonya mkono wake kwenye Agribusiness
 
Watu waliositisha fikra binafsi wanazungumza kana kwamba JK aliposema hajui chanzo cha umaskini wetu, kwao ilikuwa wazi kutokuwa na ndege ndio shida.
 
Mauzo ya nje ya bidhaa za kilimo, kwa mwaka mmoja unaoishia Agosti 2019, yameporomoka kwa asilimia 55 kulinganisha na mwaka wa kabla yake.

Si asilimia 10, si 20, si 30, si 40 si 50.

Asilimia 55.

Zaidi ya nusu. Kama tulipata sh 1000, tumeshuka mpaka sh 450 kwenye mapato haya ya kilimo

Hizi si habari za "The Economist" mseme ni za mabeberu. Hizi ni habari za ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania ya Oktoba 2019.

Sababu kubwa ni serikali kuingilia biashara ya korosho.

Kama hizi fedha zinazotumika kwenye biashara ya kamali ya ndege (biashara ya ndege ni kama kamali dunia nzima) zingewekezwa kusaidia wakulima kujenga capacity, ku add value, kubangua korosho, kuuza mpaka mafuta ya korosho, kuuza processed products instead of raw material, mapato ya kilimo yangeweza hata ku double ndani ya mwaka mmoja.

Tunaangalia mambo ya ujiko, badala ya mambo ya uchumi.

Tumekuwa kama familia masikini inayotaka kununua Benzi ili nayo ionekane ina Benzi, wakati matunzo tu ya hilo Benzi ni mgogoro, wakati kitu inachohitaji zaidi ni kununua low maintenance pick up la kufanyia biashara.
Honesty reports za BOT zaonesha kushuka kwa agro exports.

Mara kwa mara huwa natafuta potential strategic objectives what should be done ku-boost exports huwa sizioni. Kama kuna ambae anaziona plz naomba anishirikishe.

Kama BOT ambapo kuna think tanks za uchumi wamekaa kimya au hawajawa na proposed strategies how do we boost exports that means; uwoga wao au ikimya wao ndo unatugharimu.

Am very optimistic; huyu mzee anatakiwa akae japo siku moja na innovators na creative people hasa kwenye agri-business.

Innovation ni key factor ya namna Israel, Netherlands, NewZeland, hata South Africa wanafanya vyema.
I am the guys whom am crying for innovation kwenye Agro ambayo ina short term; mid term na long term.

It took one day for Pharaoh to get a right Joseph who help him to make Egyptian a food basket for middle East.
JPM anahitaji such a brain. Kwa hela za humu ndani; he can accomplish a lot
 
JPM ukimsikiliza anavyo condescend technocrats hadharani tu unaona ana tatizo la kujiona anajua kila kitu, hapendi kupewa ushauri, anaona kila mtu mwizi.

Mtu kama huyo kumshauri ni vigumu sana.

Na wataalam washamjulia, wakiona kitu kinaenda tofauti naye, wanamuacha tu, hawamshauri.

Kwa sababu unaweza kutaka kumshauri kwamba "kuingilia biashara ya korosho ni wazo baya". Halafu hapo hapo wapinzani nao washasema hivyo. Wewe ukimshauri hivyo utaonekana mpinzani. Na yeye kashasema hapangiwi, akikubali ushauri huo anaona ataonekana kakubali kupangiwa.

Matokeo yake anaingilia biashara ya korosho, mapato yanaporomoka.

Huyu rais anatukana mpaka mawaziri wake wa karibu kabisa, hao technocrats wa chini lazima watakuwa wanamuogopa.

Na woga huu, ukichanganywa na ukaidi wa Magufuli, vinaigharimu nchi sana.
 
Tanzania is a country in East Africa with a population of over 50 million people and per capita income of just about 1000 USD. The country has one of the fastest growing graduates unemployment in the region with a very high dependent ratio and rapid population increase.

For the past few years the country has undergone tremendous change in the areas of infrastructure,human rights democracy,freedom as well as inflation.The inflation especially in food crops is rising steadily while the incomes of majority of the population is shrinking due to unemployment and low wages.

Despite all these Tanzania has invested heavily in infrastructure projects including the construction of the SGR, A Hydro Power Project as well the purchase of brand new aircraft to revamp the national career Air Tanzania.

The recent purchase of aircrafts which included a dream liner (Boeing 787-800) comes amidst divided opinion among the majority of the people in the country with some criticizing and others supporting the move.

Analyst have looked at the decision to purchase aircrafts amidst tight resources and majority of them are against the move due to the fact that resources a limited and an aircraft carries with it costs to maintain it and the current aviation market in the country cannot support the operations of a Dreamliner or Air crafts in general.

Some analyst believe that the next president will have to make tough decisions to dispose of the aircrafts and invest the monies where they will have major impacts such as in health,education,water and sanitation as well as in improving the business environment and youth empowerment .

Do you think the Dreamliner will take aways Tanzanians dreams?Let us discuss on other productive use to which the money used to pay for the dreamlines could have been used and the impact that would have.
[/QUOTE
You have narrowed the discussion because it has focused on an aircraft type instead of the current fleet of aircraft. It is a reductionist perspective. Consider the perspective of the current fleet of aircraft in terms of: 1. Employment opportunities created in aircraft operations (pilots, crew, engineers etc), ground and management operations, service providers (travel agents) and multiplier effects. In these opportunities there are taxes to TRA. 2. Increased income. Since the resuscitation of ATCL, the company has earned US$14 million and commands over 80% of the national air market. 3. Tourism growth. Both domestic and internal tourism receipts have increased and Tanzania has overturned Kenya in tourism income. When all these incomes are pooled together and committed socio-economic development, Also note that the current per capita income is over $105,000. Strategic infrastructure investments like SGR and Nyerere Hydropower create long term services to the national economy provided they are effectively and efficiently managed.
 
JPM ukimsikiliza anavyo condescend technocrats hadharani tu unaona ana tatizo la kujiona anajua kila kitu, hapendi kupewa ushauri, anaona kila mtu mwizi.

Mtu kama huyo kumshauri ni vigumu sana.

Na wataalam washamjulia, wakiona kitu kinaenda tofauti naye, wanamuacha tu, hawamshauri.

Kwa sababu unaweza kutaka kumshauri kwamba "kuingilia biashara ya korosho ni wazo baya". Halafu hapo hapo wapinzani nao washasema hivyo. Wewe ukimshauri hivyo utaonekana mpinzani. Na yeye kashasema hapangiwi, akikubali ushauri huo anaona ataonekana kakubali kupangiwa.

Matokeo yake anaingilia biashara ya korosho, mapato yanaporomoka.

Huyu rais anatukana mpaka mawaziri wake wa karibu kabisa, hao technocrats wa chini lazima watakuwa wanamuogopa.

Na woga huu, ukichanganywa na ukaidi wa Magufuli, vinaigharimu nchi sana.
Labda...labda japo sidhani.

Sidhani ni akili ya JPM peke yake ameweza kuwa na hadidu za rejea mpaka kuwaweka mezani Barrick na sasa walau tumepata matokeo ambayo yamezaa Twiga Company na Tz ni shareholders.

Sidhani ni akili za JPM pekee Airtel ambao waliingia Tz kama Celtel na GoT alikuwa shareholders; watoto wa mjini wakapoteza mikataba, yeye akaja na kuifukua mpaka akakaa mezani na Bart Corp kampuni mmliki wa Airtel kwa hisa nyingi.

Na kuna mengine mengi. Kama haya yamefanyika, ni suala la kumpta how the outcome will be na kuomba fursa ya kufanya walau model moja moja ili kumpa IMANI.

Fikiria, kabla hajaamua kununua korosho kwa Fedha za Benki ya Kilimo. Jamaa walikuwa wana hela na kwa miezi zaidi ya 9 hawakuwa wametoa mkopo kwa mradi wowote wa kimkakati kukuza kilimo au processing.

Binafasi nimewahi kuwatafuta Bank ya kilimo. Naomba nisiseme sana ila kwa kifupi, uoga ni tatizo kwa Watanzania.

Kama tunadhani kukaa kimya ni suluhisho basi failure in Agribusiness and agri-industrial dream will take time to materialize while the time could be shortened.
 
Miradi ya JPM inawapa kiwewe wapinzani.
 
Si kwamba JPM hashauriki kabisa, ila ana whims sana, ana summary executions sana, na mambo mengine akishayachukulia politically kubadilika ni vigumu.

Hata huko kwenye Barrick, we could have done a lot better than that with a better strategy. Hiyo USD 300 million ni kama hela ya kumdanganya mtoto kwa pipi ili uchukue jumba lake la urithi.

Hiyo setup ya Twiga siwezi kushangaa nikiambiwa ina legal technicalities ambazo zinatu disadvantage. Yani ikawa kama vile Barrick wananunua insurance ya kutupiga halafu tusiwashitaki kwa sababu kampuni na sisi tumo.

Maendeleo yanataka uongozi ulio na commitment ya kupata feedback ya watu.

Sasa rais anazuia mikutano ya siasa, ambayo watu wanaelezea grievances zao. Hii ni feedback channel. Atawezaje kujifanyia self evaluation na kufanya mambo yawe bora zaidi?
 
Haya ya mikutano ya siasa tuwaachie wanasiasa na masharti walopeana.

Mkuu, JK baada ya tume ya Bomani walikaa na wawekezaji wa madini wakaja na mrahaba toka 3% mpaka 4%.

JPM na Prof. Kabudi na wengineo kwenye timu ya negotiations wamekaa na Barick na kutoka na USD 300mil, plus 16% shareholding kwenye new company, kuleta makao makuu ya Twiga Company Mwanza, kuwa sehemu ya board na management, kupata 50/50 economic benefits baada ya kuondoa "operation costs na taxes".
Nadhani (kama sijashau). Kuwa na refineries hapa bongo.

Kwa mambo haya sio haba. Kama BWM na JK kwa miaka yao walishindwa. Sidhani kama hakufanya due diligence. Ila kama tunadhani vinginevyo, atakaepokea kijiti basi ataanzia hapo.

Tukirudi kwenye agri-investment, I still see the big boss has not been whole informed on how much we could earn.
Fikiria jirani Kenya...export earnings from cut flowers hit approximately 113.2 billion Kenyan shillings (1.1 billion U.S. dollars), which was a 38 percent increase from the previous year....Aprox 2.5 Tril TZS za maua tu

Kenya part ya nchi ni jangwa. Mazingira ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Manyara, Nyanda za juu; kwa ukubwa wa eneo kama tukiwekeza we could make more money kuliko Kenya au basi sawia na Kenya.

Airport za Kenya wana cold-room za horticultural exports. Kwa manunuzi ya ndege ni mwanzo mzuri bila shaka agenda ya uwekezaji kama itapata mtoa mada mzuri, kuna haja ya kuwa na cargo flight kwa ajili ya horticultural products pia.

Bado nina imani na huyu mzee. Suala ni namna gani ya kumfikia na kumpa depth ya what could be earned kwenye various agro outputs
 
Tanzania is a country in East Africa with a population of over 50 million people and per capita income of just about 1000 USD. The country has one of the fastest growing graduates unemployment in the region with a very high dependent ratio and rapid population increase.

For the past few years the country has undergone tremendous change in the areas of infrastructure,human rights democracy,freedom as well as inflation.The inflation especially in food crops is rising steadily while the incomes of majority of the population is shrinking due to unemployment and low wages.

Despite all these Tanzania has invested heavily in infrastructure projects including the construction of the SGR, A Hydro Power Project as well the purchase of brand new aircraft to revamp the national career Air Tanzania.

The recent purchase of aircrafts which included a dream liner (Boeing 787-800) comes amidst divided opinion among the majority of the people in the country with some criticizing and others supporting the move.

Analyst have looked at the decision to purchase aircrafts amidst tight resources and majority of them are against the move due to the fact that resources a limited and an aircraft carries with it costs to maintain it and the current aviation market in the country cannot support the operations of a Dreamliner or Air crafts in general.

Some analyst believe that the next president will have to make tough decisions to dispose of the aircrafts and invest the monies where they will have major impacts such as in health,education,water and sanitation as well as in improving the business environment and youth empowerment .

Do you think the Dreamliner will take aways Tanzanians dreams?Let us discuss on other productive use to which the money used to pay for the dreamlines could have been used and the impact that would have.

Mkuu, kwanini hukutumia Kiswahili tu? Maana kwa kiasi flani hujakitendea haki Kiingereza. Kwa mfano haiwezi kuwa "analyst have..." maana singular noun "analyst" inapaswa kufuatiwa na "has" (or "had" if past) na sio "have."
 
Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ndipo tutageukia maendeleo ya watu.

P
Hata uchambuzi wake hauna mantiki kwa sababu hakuna sekta iliyowekwa pembeni na serikali hii. Tofauti ni kiasi cha pesa tu. Lakini pia wasisahau kwamba kuna wakati nchi hii ilitenga bajeti kubwa kwenye sekta za elimu na afya kuliko sekta zingine.
Elimu(2005-2007); Afya(2007-2010); nishati mafuta, gesi na umeme(2011-2015); infrastructure(2015-present).
Sasa ubaya nini tukijipangilia mambo yetu? Serikali itawezaje kuajiri bila kuimarisha Macro-economy?
 
Back
Top Bottom