Mimi nilijibu analysis yako ulitoa mfano wa wanakijiji na milioni 100. Ukasema wasipotoka nje watakuwa masikini, sasa unasema sio kweli.
Umeona ndege zimeletwa na rubani wa Boeing, akiondoka tu ina park hahaha,
Watalii wanaenda wap kila siku na hizo ndege?! Wakitua na KLM kia wana panda magari, wewe unaongelea watazipanda kwenda wapi?!
Huwezi kuanza tayari umekuwa super super mega, unaanza na hatua.
Watalii wanapanda magari si kwamba wengi wao wanayapenda magari wanapanda magari kwa sababu zilezile kwamba hakuna facilities rahisishi. Yani kama wewe unavyopanda bus kwenda Mwanza ukatumia siku 3 njiani na Bus si kwamba unapenda ila ni kwasababu hamna namna nyingine wezeshi unayomudu. Hakuna treni, hakuna ndege utafanya je? Ama na treni la umeme wanalojenga kwenda mwanza watu hawatapanda sababu wamezoea bus kutoka Dar?