stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,384
- 3,494
Kenya wenzetu wako very strategic serikali inamiliki just potion ya hisa za shirika, hisa nyingi zinamilikiwa na watu binafsi
is that strategic? sasa hio ni ndege ya wananchi ama ndege ya watu binafsi, na yale mapato yaliokua yanategemewa kutumika kwenye ujenzi wa taifa yanatumika kwenye ujenzi wa familia za watu: is that startegic according to you?