How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

sisi tunapokea wageni ila kwa kutumia mgongo wa mashirika mengine: hio tayar ni opprtunity: wtu wanaosomea urubani wafanye wapi kazi? na una opportunity mezan, another thing: Tanzania has received the highest revenues kutoka kwa watalii since ndege zianze operation, nmeweka post jana: tanzania ni nchi ya nne mda huu Africa kwa mapato ya watalii, yamechangiwa na direct flight to Tanzania, before lazima upitie kona kona nyingi:

..ndege zimeanza lini safari?

..na msimu wa watalii ni lini?

..na watalii wengi wanatokea nchi gani?

..Kagame ambaye amemshauri Jpm kununua ndege ameshasalimu amri baada ya kuingia hasara mwaka hadi mwaka. Sasa ameamua kuuza hisa za Rwanda Air kwa Qatar.

..South Africa wanapokea abiria wengi, na watalii wengi kuliko Tz, lakini shirika lao la ndege linaendeshwa kwa hasara.

..Ni makosa kwa Tz kujiingiza ktk biashara kichaa ya usafiri wa anga.

..Biashara ya mashirika ya ndege inazifaa nchi zenye fedha za kuchezea kama Qatar, na UAE. Wenzetu wana mapesa ya kununua dreamliners 40 kwa mara moja.
 
na sjasema hicho ndo kipaumbele kikubwa cha atcl kua ni watalii, there many things including usafirishaji wa vitu mbali mbali: hii hela yote imekaa mezan imechukuliwa na watu wengine which is stupid: We need more and more of these planes, as long we have a smart leader

..fedha tulizotumia ku-create employment kwenye nchi za mabeberu zenye viwanda vya ndege tulipaswa tuziwekeze hapa nyumbani ktk miradi inayoweza kuajiri maelfu ya vijana wasio na ajira.
 
..ndege zimeanza lini safari?

..na msimu wa watalii ni lini?

..na watalii wengi wanatokea nchi gani?

..Kagame ambaye amemshauri Jpm kununua ndege ameshasalimu amri baada ya kuingia hasara mwaka hadi mwaka. Sasa ameamua kuuza hisa za Rwanda Air kwa Qatar.

..South Africa wanapokea abiria wengi, na watalii wengi kuliko Tz, lakini shirika lao la ndege linaendeshwa kwa hasara.

..Ni makosa kwa Tz kujiingiza ktk biashara kichaa ya usafiri wa anga.

..Biashara ya mashirika ya ndege inazifaa nchi zenye fedha za kuchezea kama Qatar, na UAE. Wenzetu wana mapesa ya kununua dreamliners 40 kwa mara moja.
Biashara ya ndege ni ya pesa za kuchezea? biashara ya ndege inayo profits ambazo ni seasonal: kwa nchi kuendesha shirika la ndege haina direct profit but faida its there:

alafu una maswali ya kitoto sana: ebu fuatilia reports za UN basi, we unadhan mtalii akispend $600 kwenye flight akaspend $2000 kutalii sio profit hio?
 
Mtalii anatokea nchi yoyote: huezi sema Tanzania tunataka watalii watoke Europe tu: na yule anaekaa china anataka kutalii hana haki? kuanzisha route hausemi tu leo tunaanza kuruka kwenda europe, kuna sheria na kanuni so watakaoandikisha mapema you start there: usidhan ndege kusema inaruka kwenda india ndo basi hakuna routes zingine . everything goes with time

watalii wamekua wengi zaidi baaada ya izi direct flights kutokana na ile award alipewa waziri wa utalii russia kwa niaba ya Tanzania:
 
..fedha tulizotumia ku-create employment kwenye nchi za mabeberu zenye viwanda vya ndege tulipaswa tuziwekeze hapa nyumbani ktk miradi inayoweza kuajiri maelfu ya vijana wasio na ajira.

shule inahitajika kwako: ajira sio lazma iwe tu urubani: yule anaefanya tour guide unadhan haoni faida ya ndege? na yule anaenda kusoma india je? na wale maengineer wa ndege je? na yule anaesafirisha bidhaa? akili yako imeishia apo tu kwa rubani:
 
Biashara ya ndege ni ya pesa za kuchezea? biashara ya ndege inayo profits ambazo ni seasonal: kwa nchi kuendesha shirika la ndege haina direct profit but faida its there:

alafu una maswali ya kitoto sana: ebu fuatilia reports za UN basi, we unadhan mtalii akispend $600 kwenye flight akaspend $2000 kutalii sio profit hio?

..halafu na sisi tuta-spend kiasi gani kulihudumia shirika la ndege?

..kwa nchi za Afrika ni shirika moja tu, Ethiopian Airlines, ndiyo linapata faida. Na haea wenzetu ni kwasababu walianza zamani sana.

..mashirika mengine yote kama South African Airways, Kenya Airlines, Rwanda Airlines, yanaendeshwa kwa hasara. Ndiyo maana tunaonya kwamba hii biashara siyo ya kuwekeza pesa zetu tulizozipata kwa shida.
 
shule inahitajika kwako: ajira sio lazma iwe tu urubani: yule anaefanya tour guide unadhan haoni faida ya ndege? na yule anaenda kusoma india je? na wale maengineer wa ndege je? na yule anaesafirisha bidhaa? akili yako imeishia apo tu kwa rubani:

..Biashara ya shirika la ndege ktk ujumla wake ni hasara mwaka hadi mwaka.

..walioajiriwa atcl wanaweza kuwa wanakula "shushi" lakini walipa kodi walio wengi wanabeba mzigo wa RUZUKU inayotolewa ku-prop up shirika la ndege.
 
..halafu na sisi tuta-spend kiasi gani kulihudumia shirika la ndege?

..kwa nchi za Afrika ni shirika moja tu, Ethiopian Airlines, ndiyo linapata faida. Na haea wenzetu ni kwasababu walianza zamani sana.

..mashirika mengine yote kama South African Airways, Kenya Airlines, Rwanda Airlines, yanaendeshwa kwa hasara. Ndiyo maana tunaonya kwamba hii biashara siyo ya kuwekeza pesa zetu tulizozipata kwa shida.

Biashara za ndege zna faida bob: lazma ujue how to plan it, na haimaniishi kwamba kisa mashirika mengine yanapata faida basi tusithubutu: Sisi tunafaida kubwa zaidi ya watalii, ukiachana na faida ya usafiri lazma taifa kama taifa litapata faida ni tafaut na ethiopain airways ambao wao wamewekeza zaidi kwenye anga: so kila mtu na strategy na guide yake: kwamba mashirika mengine yameanza kitambo haimaanishi tusithubutu:

ata marekan na kuwepo kwa makampuni ya utengenezaji wa ndege apo apo kwao lakini wameachia mashirika binfasi ambayo sio yote yanapata faida
 
..Biashara ya shirika la ndege ktk ujumla wake ni hasara mwaka hadi mwaka.

..walioajiriwa atcl wanaweza kuwa wanakula "shushi" lakini walipa kodi walio wengi wanabeba mzigo wa RUZUKU inayotolewa ku-prop up shirika la ndege.

hatuwezi ijudge kwa sababu its still in its early years: time will tell everything and that doesnt mean its a bad investment, ethiopia wagekua wanaskiliza maneno yako wangeanza? everyone future is different

biashara ya ndege sio hasara: its just inakuaga na seasonal profit ambayo inacompensate other months: ata biashara ya mabasi ni seasonal kuna kipindi kama cha mwaka mpya abiria wanakuaga wengi na kuna kipindi wanafunzi wanakua wengi so hakuna biashara haina changamoto but that doesnt mean u made a bad investment
 
Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ikikamilika, ndipo tutageukia maendeleo ya watu.
P

Mkuu:
Baadhi yetu hii nadharia ya maendeleo inaonekana kuwa ngumu kuifahamu.
Hivi mtu anapo tamka kwamba "Tumeamua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, na baadae ndipo tutafanya maendeleo ya watu". Hii ni dhana potofu inayo ashiria kutofahamu vyema maana ya maendeleo ya jamii/watu.
Kwani maendeleo ya vitu ni kwa ajili/manufaa ya nani, miti, mawe au wanyama? ni dhahiri kwamba maendeleo ya vitu ni maendeleo ya watu.
Inawezekana kabisa dhana hii ya maendeleo tulikuwa tunaitekeleza kimakosa huko nyuma tukidhani kuna tofauti kati ya maendeleo ya vitu na watu.
Maendeleo ya vitu ni kichocheo kikubwa katika azma ya maendeleo ya watu.
 
Kiuchumi, nchi zenye umasikini na kipato cha chini zinatakiwa kujikita kuwekeza katika vitu vitakavyoleta "multiplier effect".

Mradi utakaomuongezea kila Mtanzania mtu mzima kipato kwa shilingi 10 kwa siku ni wa muhimu kiuchumi kuliko a big white elephant project.

Mchumi kila mara anatakiwa aangalie value for money, bang for buck.

Kwenye kununua midege, kwa mfano, hatujapata value for money. Tena kuna uwezekano mkubwa midege ikatutia hasara kubwa sana.

Ni kama vile tumenunua kitu kwa kuangalia ujiko zaidi ya uchumi.
Swadakta .
 
Sentensi zako mbili umejijibu mwenyewe kuwa maendeleo ya vitu siyo maendeleo ya watu.
Mkuu:
Baadhi yetu hii nadharia ya maendeleo inaonekana kuwa ngumu kuifahamu.
Hivi mtu anapo tamka kwamba "Tumeamua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, na baadae ndipo tutafanya maendeleo ya watu". Hii ni dhana potofu inayo ashiria kutofahamu vyema maana ya maendeleo ya jamii/watu.
Kwani maendeleo ya vitu ni kwa ajili/manufaa ya nani, miti, mawe au wanyama? ni dhahiri kwamba maendeleo ya vitu ni maendeleo ya watu.
Inawezekana kabisa dhana hii ya maendeleo tulikuwa tunaitekeleza kimakosa huko nyuma tukidhani kuna tofauti kati ya maendeleo ya vitu na watu.
Maendeleo ya vitu ni kichocheo kikubwa katika azma ya maendeleo ya watu.
 
Tulikuwa tunalalamikia Sana Sana kwamba Tanzania yetu atuna shirika la ndege. Karibu kuangusha serikali. Kila mwaka tukawa tunalalamikia ohooo Rwanda wanatuzidi kwa kuwa na ndege. Leo kaja mwanaume na akili zake tumepata ndege. Na kuwazidi Rwanda. Hooooo tunalalamikia Tena akuna maji
 
Kupanga ni kuchagua, tumeamua kuchagua kufanya maendeleo ya vitu kwanza, kama ndege, miundombinu, SGR, Stigler, flyover, na kujenga Tanzania ya Viwanda. Miradi hii mikubwa ikikamilika, ndipo tutageukia maendeleo ya watu.
P

Mpaka mkija kustuka kuanza maendeleo ya watu mtakuta wote wameshakufa
 
hatuwezi ijudge kwa sababu its still in its early years: time will tell everything and that doesnt mean its a bad investment, ethiopia wagekua wanaskiliza maneno yako wangeanza? everyone future is different

biashara ya ndege sio hasara: its just inakuaga na seasonal profit ambayo inacompensate other months: ata biashara ya mabasi ni seasonal kuna kipindi kama cha mwaka mpya abiria wanakuaga wengi na kuna kipindi wanafunzi wanakua wengi so hakuna biashara haina changamoto but that doesnt mean u made a bad investment

..Je, atcl itaanza kupata faida baada ya miaka mingapi?

..na kabla haijaanza kupata faida, serikali itakuwa inatoa RUZUKU kiasi gani ili kuendesha shirika la ndege?

..Hatupaswi kujilinganisha na Ethiopia kwasababu wenzetu walianza miaka mingi sana nyuma. Mazingira ya biashara ya mashirika ya ndege kipindi Ethiopian Airlines inakuwa siyo sawa na haya ambayo ATCL itakutana nayo.

..Raisi Magufuli alisema ameshauriwa na Raisi Kagame kununua ndege. Taarifa zilizopo ni kuwa Kagame hajawahi kupata faida ktk biashara ya ndege tangu aanzishe shirika la Rwanda Airways.

..Ninaheshimu mtizamo wako kuwa tusubiri tuone kama mradi utapata hasara au la.

..Natumaini na wewe unaheshimu mtizamo wangu ninapotahadharisha kwa nia njema kwamba mradi kama huu umezitia hasara nchi nyingi.
 
Wengi wachangiaji humu hawafahamu percentage ya GDP inayochangiwa ukiwa na airline yako kitaifa ndio sababu ni wabishi sana kwa sababu Biashara walizo zizoea ni za nyanya kwenye matenga. Biashara ya ndege ilikuwa kwenye ilani ya CCM ndio sababu WTZ waliichagua. Wana CCM wanafahamu faida za kuwa na airline.
 
Kiuchumi, nchi zenye umasikini na kipato cha chini zinatakiwa kujikita kuwekeza katika vitu vitakavyoleta "multiplier effect".

Mradi utakaomuongezea kila Mtanzania mtu mzima kipato kwa shilingi 10 kwa siku ni wa muhimu kiuchumi kuliko a big white elephant project.

Mchumi kila mara anatakiwa aangalie value for money, bang for buck.

Kwenye kununua midege, kwa mfano, hatujapata value for money. Tena kuna uwezekano mkubwa midege ikatutia hasara kubwa sana.

Ni kama vile tumenunua kitu kwa kuangalia ujiko zaidi ya uchumi.
Ni sawa na mtu anaenunua tv la million 3 ili aende sawa na jirani yake badala ya kuanza kwa kufungua kitega uchumi ambacho kingeingiza pesa kila siku kwa kutumia gharama hio hio ya 3m kisha angeweza nunua tv kwa faida inayopatikana.
 
mweeh, baswahili sijui mnapenda nini.
mnaweza kubanwa nya na mkagoma kunya.
 
Back
Top Bottom