HIvi kipimo cha utoto mnapimaje jamani? Mbona AshaDii aliolewa na uncle akiwa under 18?ndo matatizo ya kufunda watoto, eager to experiment! Hujakua wewe, yaani hata ikiwezekana wangekunyang'anya na macho na maskio kabisa! Watoto wa siku hizi astaghaffirrullah!
Yaani mi ni kibabu? Aiseeee!!!!!
little gal, that was then and this is now. Na hakuna urafiki wa paka na samaki, ama chui na mbuzi for that matter. Nyani mzee kakwepa mishale mingi, sikiliza wazee wako. We have all been there, done that and got these ugly champions tshts!HIvi kipimo cha utoto mnapimaje jamani? Mbona AshaDii aliolewa na uncle akiwa under 18?
Na sijasema I want to experiment nilicho fundwa, nataka tu aje kunitembelea huku Tanga
Ningekua na nia mbaya tungepanga tukakutane huko huko aliko, but nimeona aje hapa home
Chris Brown? wacha matusi bwana. When I say the guy is sawa it means he is SAWA!
Shindwaaaaa! we kama umetumwa ishia huko huko!
Vade retro!
Kongosho si nilikwambia watakuja?nilikuwa nafurahisha baraza kiongozi!maujiko yote ushamwagiwa na mwali unataka nini tena mkuu!sasa NN hebu ninong'oneze mwali asisikie,hivi ni vibinti vingapi ushavisogeza pale marrybrown?it seems like your trademark approach kwa jinsi ulivyofikiri kwa haraka palepale ktk foleni!na ulimkumbuka mwali out of many ladies you did the same?
Unataka aseme nini?
Kusema nini tena? mi sisemi! Najua mnataka niseme ila sisemi. Nakaa zangu kimyaaaaaa
Unawahubiria nini? hao sio watakuhubiria wao kweli?
little gal, that was then and this is now. Na hakuna urafiki wa paka na samaki, ama chui na mbuzi for that matter. Nyani mzee kakwepa mishale mingi, sikiliza wazee wako. We have all been there, done that and got these ugly champions tshts!
Kichwa changu kitapasuka leo!