Si nilikwambia hata siku ile alikua mkali? Na ndio sababu nilipotea siku zote hizi
Hapa najua hata laptop nitanyanganywa sasa, ili nishindwe kuwasiliana nawe!
Hey roomie, mambo? How I missed you dear! wacha niseme maybe nitaffanikiwa
Unakumbuka NN nae alikua katika canditates wa kushare nyumba kipindi kile?
I ended up wondering how it would have been iwapo angeshinda yeye ile lottery!
Niaje arif...mbona umekuwa mkali ghafla?
kaka, huwa napita tu sehemu hizo nikisaka waumini. Ila wakinikaribisha napiga nguchu mbili tatu huku nawahubiria.
Pamoja na Chimpumu nina akili za kuchimba choo.
MABINTI WA SIKU HIZI hesabu ndogo ndogo zinawashinda, we mwali,unataka mpaka aunt yako ashadii akuambie nyani ngabu ni mjomba wako ndio utaachana na hicho kibabu chenye muonekano wa ujana!!!tulizana binti!
Interesting...NN kumbe yuko very impressive in person i guess
Hahahaaa come on Boss. What did you think before?
kaka, huwa napita tu sehemu hizo nikisaka waumini. Ila wakinikaribisha napiga nguchu mbili tatu huku nawahubiria.
Shindwaaaaa! we kama umetumwa ishia huko huko!MABINTI WA SIKU HIZI hesabu ndogo ndogo zinawashinda, we mwali,unataka mpaka aunt yako ashadii akuambie nyani ngabu ni mjomba wako ndio utaachana na hicho kibabu chenye muonekano wa ujana!!!tulizana binti!
Unawahubiria nini? hao sio watakuhubiria wao kweli?
Yaani, we acha tu! Sijui naweza kumfananisha na nani katika watu tunao wajua...