Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,879
- 22,066
Pumba za kula bataMkuu sidhani Kama walimaanisha kuwa yeye Ni mwanamme.
Ninachoolewa Ni kwamba hicho kiwakilishi(he) kimetumika kumpa sifa.Wangeweza kutumia (she) lakini he imetumika maana mwanamme Ni mkuu kuliko mwanamke.Sasa hakuna kiwakilishi kingine kikuu zaidi ya hicho katika kuonyesha heshima kwa MUNGU MWENYEZI.Kama kingekuwepo Basi kingeweza kutumika.
Neno baba pia linatumika wakati mwingine tena Sana tu lakini sio kigezo kuwa MUNGU Ni mwanamme.Ni swala la kuonyesha heshima.
Jinsia zote kaziumba MUNGU na zote zinaheshimika lakini yakiume ndio Chanzo Cha ya kike na ndio maana inatumika Sana.
Sijawahi kuona andiko lolote linaloonyesha kuwa MUNGU MWENYEZI Ni wa jinsia gani.
Hivyo ndivyo ninavyoelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo maana ya huo mti kuwa in shetani umeitoa wapiUle mti ulikua unamaanisha shetan yupo na ana mfumo wake wa maisha tofaut na Mungu ambao mwamadamu ukila matunda yake utakufa
Hivi mtu anaitwa "Bwana Mungu " bado unataka kuleta porojo kuwa hilo neno "Bwana" lililotumika hapo halimaanishi jinsia ya kiume ???Toa mtazamo wako.Fafanua.Nisaidie kujua kiwakilishi ambacho hakitaonyesha jinsia yoyote au kitu chochote.Yaani kikisimama huwezi sema kuwa anayewakilishwa Ni mwanamke au mwanamme.Visiwe He,she,au it.
Nitakushukuru Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
bwana1Hivi mtu anaitwa "Bwana Mungu " bado unataka kuleta porojo kuwa hilo neno "Bwana" lililotumika hapo halimaanishi jinsia ya kiume ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Haujajibu swali.... swali limeuliza ina maana Mungu alikuwa hajui kwamba Adam atakula tunda?????Ule mti wa uzima na ubaya ni ishara shetan yupo na anamfumo wake wa maisha uko mnapoenda duniani
Kumbe ana akili pia... "hahahhaa, Mungu kaletwa na akili za binadamu"... i think atakuwa na mikono pia... kwasababu tunaona mikono miwili haiwezi basi labda ana mikono 8.
Lucifer katokea wapi???Hilo sio swali dogo mkuu maana Ni lazima ufuatilie uovu ulipoanzia tangu mwanzo.
Ninavyofahamu Mimi Lucifer na washirika wake ndio aliouleta uovu duniani.
Kama wewe una mtazamo mwingine unaweza eleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Good question.. hapa namfanisha Mungu na jamaa fulani hivi alikuwa akipigwa au akiwa provoked na mtu mwengine basi na yeye atakaekutana nae mbele yake ni halali yake.... hata awe ni mtoto wa miaka 3.Sasa Adam anatuhusu nini sisi? Unaweza mhukumu mtoto kwa kosa la baba?
Sent using Jamii Forums mobile app
This means si smart ni lunatic.Mkuu unaijua laana inaweza tembe had vizazi kumi, dhambi ni laana aliyoichagua adam
Kumbe ana akili pia... "hahahhaa, Mungu kaletwa na akili za binadamu"... i think atakuwa na mikono pia... kwasababu tunaona mikono miwili haiwezi basi labda ana mikono 8.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mfumo dume mkuu... idea ya Mungu imetoka kwa mwanaume.Kwa nin ni Mungu Baba na Sio Mungu Mama??
Kuna tatizo gani hapa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapa nikisema dhana ya Mungu imetoka kwa binadamu... na tena binadamu huyo ni mwanaume, nitakuwa nimekosea? Manake hata vilivyoandikwa kwenye hayo maandiko yamejaa dhana nzima ya mfumo dume......Mkuu sidhani Kama walimaanisha kuwa yeye Ni mwanamme.
Ninachoolewa Ni kwamba hicho kiwakilishi(he) kimetumika kumpa sifa.Wangeweza kutumia (she) lakini he imetumika maana mwanamme Ni mkuu kuliko mwanamke.Sasa hakuna kiwakilishi kingine kikuu zaidi ya hicho katika kuonyesha heshima kwa MUNGU MWENYEZI.Kama kingekuwepo Basi kingeweza kutumika.
Neno baba pia linatumika wakati mwingine tena Sana tu lakini sio kigezo kuwa MUNGU Ni mwanamme.Ni swala la kuonyesha heshima.
Jinsia zote kaziumba MUNGU na zote zinaheshimika lakini yakiume ndio Chanzo Cha ya kike na ndio maana inatumika Sana.
Sijawahi kuona andiko lolote linaloonyesha kuwa MUNGU MWENYEZI Ni wa jinsia gani.
Hivyo ndivyo ninavyoelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Ni namna tu ya uwasilishaji wa ujumbe kwa kutumia lugha.Hakuna uhusiano na MFUMO dume.Labda kwa tafsiri zako mwenyewe.Sasa hapa nikisema dhana ya Mungu imetoka kwa binadamu... na tena binadamu huyo ni mwanaume, nitakuwa nimekosea? Manake hata vilivyoandikwa kwenye hayo maandiko yamejaa dhana nzima ya mfumo dume......
Sent using Jamii Forums mobile app