Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,115
- 6,827
Unaye mjua ww!Mungu Yupi?Tuweke sawa
Kuna imani nyingi na Kila imani ina Miungu wake
Ni Jehovah, Allah, Krishna,Vishnu,Osiris,Mars au Yupi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaye mjua ww!Mungu Yupi?Tuweke sawa
Kuna imani nyingi na Kila imani ina Miungu wake
Ni Jehovah, Allah, Krishna,Vishnu,Osiris,Mars au Yupi?
Upo sahihiMi huwa najiuliza kama Mungu aliwapa wanadamu uwezo wa kufanya maamuzi either yeye mungu au shetan
Sasa kwa nini awa adhibu amabao hawato mchagua yeye.. Na kumtukuza yeye...
Kama mtu umempa choice mbili kachagua yake kwa nni usimwache.. Na choice yake jaman...!??
Walio mchagua shetan awache wale bata na shida zao.. Walio mchagua yeye ale bata nao
Na sio kuwa tupa kwenye ziwa liwakalo moto.... Amabo hawaja mchagua... Unless...hukana kitu ka hicho..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe andiko linalosema Mungu yupo sirini.............His spiritual qualities kept pace with his personal charm, for God had fashioned his soul with particular care. She is the image of God, and as God fills the world, so the soul fills the human body; as God sees all things, and is seen by none, so the soul sees, but cannot be seen; as God guides the world, so the soul guides the body; as God in His holiness is pure, so is the soul; and as God dwells in secret, so doth the soul.(COPIED FROM THE LEGEND OF THE JEWS).
Kwa maelezo hayo MUNGU YUPO SIRINI KAMA VILE ROHO YAKO ILIVYO SIRINI NA IMEJAZA MWILI WAKO.
Ni kuulize swali mkuu,je unaweza kumwonyesha MTU software ya Simu,computer au calculator?
Je hizo software zipo au ni hadithi tu za kutunga kama ambavyo unaita habari za MUNGU MWENYEZI kuwa ni za kutunga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Well, vyote ulivyoandika hapo juu ni very illogical, since natumia logic nichangiapo mijadala(bila shaka kila mtu anapaswa kutumia pia), kipingele hiki pekee ndicho angalau kinaweza fanyiwa majadiliano, ili niweze kuendelea kuchangia, naomba unijibu swali nitakalo kuuliza ili niweze kuchanganua kama kipengele hiki nacho kina at least chembe za logic ama nachenywe ni pumba tu. Swali langu ni, tangua niwe na akili zangu timamu, sijawahi kumuomba mungu anisaidie kitu chochote kile, lakini nina mafanikio makubwa kuliko wakeshao wakimuomba(moja wapo ni bado napumua{natumia point yenu kuu ya kuwa mungu ndio mgawaji wa pumzi}), kwanini mungu ni mnafiki kiasi kwamba anawanyima wafuasi wake waaminifu na watiifu pumzi na mafanikio mengine, ila ananipa mimi nisiye hata na muda nae?







duuuh.Huyu mungu ni undefined sana, hana mfumo thabiti wa kuaminikaHuyo mungu sio ndio alioleta gharika na kuuwa watu duniani enzi za nuhu?
Sasa anakuaje smart kama anauwa watu kama Alshabab?
Hii nadharia ya nyoka na mti wa kati kati imekua translated tofauti tofauti na imechangia sana mfumuko wa makanisa mengi. Lakini ukitumia rules za bible wamesema hutakiwi kuongeza kitu wala kupunguza kilichomo mle ndani all you need ni kusoma tu nakuya hifadhi kichwani, kwaiyo ukitafsiri neno litakufanya uongeze neno ambapo utakua umekiuka sheria za bibleHivi nadharia ya nyoka na tunda la mti wa katikati si sawa na nyoka ni tupu ya kiume halafu tunda la mti wa katikati ni tupu ya kike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hitler aliua watu wengi na vitabu vilivyoandika stor yake vimemsema kua ni gaidi, hata kama kuna mema alishawahi kuyafanya hayajapewa priority kama ubaya wake1.Unadhani Ni kwa Nini aliileta hiyo gharika?
2.Je unaujua uovu wa wanadamu kipindi hicho ulikuwa wa kiwango gani?
3.Je unajua MUNGU MWENYEZI aliwapa mda gani haoWatu kujirudi kabla ya kuleta hiyo adhabu?
MUNGU MWENYEZI HAKUPI ADHABU BILA KUKUPA ONYO NA MDA WA KUJIRUDI NA KUTUBU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katoa adhabu kwa wale wote walioenda kinyume na taratibu zake.Hitler aliua watu wengi na vitabu vilivyoandika stor yake vimemsema kua ni gaidi, hata kama kuna mema alishawahi kuyafanya hayajapewa priority kama ubaya wake
Osama nae aliua watu pamoja na kulipua lile jengo pale usa nae yupo kwenye orodha ya magaidi waliotikisa dunia
Ajabu
Mungu kaua watu wengi sana tena kwa mauaji ya kikatili na tena kuthibitisha hilo kua mchakato wake wa kuendeleza ukatili haujafika kikomo ame ahidi jehanamu ya milele ambayo ina moto uwakao milele. Lakini vitabu vilivyoandika habari zake zimemuita kua ni mwenye upendo wote, mwenye huruma na anaesamehe
Sent using unknown device
Ikiwa kama soul inaona ila haionwi je wamewezaje kujua jinsia ya huyo mungu bila kuona?.............His spiritual qualities kept pace with his personal charm, for God had fashioned his soul with particular care. She is the image of God, and as God fills the world, so the soul fills the human body; as God sees all things, and is seen by none, so the soul sees, but cannot be seen; as God guides the world, so the soul guides the body; as God in His holiness is pure, so is the soul; and as God dwells in secret, so doth the soul.(COPIED FROM THE LEGEND OF THE JEWS).
Kwa maelezo hayo MUNGU YUPO SIRINI KAMA VILE ROHO YAKO ILIVYO SIRINI NA IMEJAZA MWILI WAKO.
Ni kuulize swali mkuu,je unaweza kumwonyesha MTU software ya Simu,computer au calculator?
Je hizo software zipo au ni hadithi tu za kutunga kama ambavyo unaita habari za MUNGU MWENYEZI kuwa ni za kutunga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani jinsia ya MUNGU MWENYEZI Ni ipi?Mimi siijui. Nisaidie Kama unaijua.Ikiwa kama soul inaona ila haionwi je wamewezaje kujua jinsia ya huyo mungu bila kuona?
Sent using unknown device
He created the universeKwani jinsia ya MUNGU MWENYEZI Ni ipi?Mimi siijui. Nisaidie Kama unaijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sidhani Kama walimaanisha kuwa yeye Ni mwanamme.He created the universe
Hapo washa mdescribe kwa jinsia ya kiume
Ukija kwenye zile sala za kwa jina la baba na la mwana na la roho, taali hapo jinsia yake ishakua revealed so fact yakusema kua haonekaniki inakua na ukakasi kuikubali
Sent using unknown device
Katoa adhabu kwa wale wote walioenda kinyume na taratibu zake.
Isitoshe kabla ya kuangamiza kile kizazi cha kabla ya gharika aliwapa mda wa miaka 120 ya kutubia na kurudi kwenye njia za MUNGU.KAtika kipindi hichi NUHU na METHUSHELA walikuwa wakihubiri habari njema na kuwaambia Watu watubu vinginevyo gharika itakuja.Ika hawakusikia.
Kwa hiyo walipata walichostaili.Hakuna ukatili hapo.Walionywa wakagoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sidhani Kama walimaanisha kuwa yeye Ni mwanamme.
Ninachoolewa Ni kwamba hicho kiwakilishi(he) kimetumika kumpa sifa.Wangeweza kutumia (she) lakini he imetumika maana mwanamme Ni mkuu kuliko mwanamke.Sasa hakuna kiwakilishi kingine kikuu zaidi ya hicho katika kuonyesha heshima kwa MUNGU MWENYEZI.Kama kingekuwepo Basi kingeweza kutumika.
Neno baba pia linatumika wakati mwingine tena Sana tu lakini sio kigezo kuwa MUNGU Ni mwanamme.Ni swala la kuonyesha heshima.
Jinsia zote kaziumba MUNGU na zote zinaheshimika lakini yakiume ndio Chanzo Cha ya kike na ndio maana inatumika Sana.
Sijawahi kuona andiko lolote linaloonyesha kuwa MUNGU MWENYEZI Ni wa jinsia gani.
Hivyo ndivyo ninavyoelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
MUNGU anajua Kila kitu.Lakini hapendi tuwe na mwisho mbaya.Anajua kabisa sisi tunafanya makosa na ndio maana anatupa nafasi ya KUTUBU ili atusamehe.Na ndio Alichokitaka kwa kizazi cha kwanza enzi za NUHU.Lakini waligoma na baadae wakaadhibiwa.Kwanza ni vizuri tujue ni Mungu mwenye sifa zipi aliyekua akiangamiza hivyo vizazi
Mungu mjuzi wa yote, kwa maana hakuna jambo geni kwake, kwa sifa hii kama ndio anayo huyo mungu basi hakufanya haki. Kama aliwapa miaka 120 ili wajirudi inaonesha wazi kua hakuweza kujua kua watakaidi kutubia
Sent using unknown device
Okay mkuu.Neno baba hutumika kuwakilisha jinsia ya kiume kinyume na hapo ni tusi au dhihaka.
Neno baba halitumiki kama heshima kwasababu lishajitosheleza kulingana na umri wa mwanaume, hapa namaanisha kua sio kila mwenye jinsia ya kiume ni baba ila kila baba ni lazima awe mwanaume
Mimi namuheshimu mama yangu lakini nikimuita baba atamaind na ni haki yake kwasababu nitakua nimemkosea heshima
Sitegemei wewe ukamuita mama yako baba halafu akakuuliza unamaanisha nini ukamjibu kua hiyo ni heshima na yeye akaridhika
Sent using unknown device
Kama hana jinsia inamaana Mungu sio kiumbe hai kama ilivyo kwa upande wa mawe nk?Okay mkuu.
Umeeleza vizuri.
Cha kufanya Ni kwamba were mtukuze MUNGU MWENYEZI kwa namna yoyote ile unayoijua bill kumkejeli au kumdhihaki au kumtukana.Ukitaka kutumia kiwakilishi chochote (He or She) ilimradi tu unampa ile heshima kuu mi naona sawa tu.Lakini haitamaanisha kuwa MUNGU MWENYEZI Ni kike au wa kiume.
Hivyo viwakilishi vinatumika badala ya kutaja majina yake tu.
Mimi siijui jinsia ya MUNGU ,umri wake, rangi yake,n.k.
Ninachojua yupo na anatenda Kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishasema kua hapendi tuwe na mwisho mbaya hapo unakua umemvua vyeo vya uwezo wote, inamaana naye mungu anakua na desire?? Kwamba kuna vitu mungu anataka vifanyike kwa namna atayopenda yeye ila inashindikana?MUNGU anajua Kila kitu.Lakini hapendi tuwe na mwisho mbaya.Anajua kabisa sisi tunafanya makosa na ndio maana anatupa nafasi ya KUTUBU ili atusamehe.Na ndio Alichokitaka kwa kizazi cha kwanza enzi za NUHU.Lakini waligoma na baadae wakaadhibiwa.
Wapo walifuata maelekezo ya kina Nuhu na Methushela wakatubu na kusamehewa.Hawa walikufa vifo vya kawaida kabla hata ya gharika.
Methushela mwenyewe alikufa miaka michache kabla ya gharika.
Waliobaki hawakutaka kusikia.Kipindi Cha Toba kikaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio umemvua hivyo vyeo mkuu.Ukishasema kua hapendi tuwe na mwisho mbaya hapo unakua umemvua vyeo vya uwezo wote, inamaana naye mungu anakua na desire?? Kwamba kuna vitu mungu anataka vifanyike kwa namna atayopenda yeye ila inashindikana?
Mimi pia sipendi kua maskini, desire yangu ni kuwa kama billget ila inashindikana
Sent using unknown device
Kwaiyo mungu shauku yake ilikua nikututakia mema ila alishindwa?Wewe ndio umemvua hivyo vyeo mkuu.
Desire za MUNGU NI KUTUTAKIA MEMA.Kwa sharti moja la kufuata sheria zake na kumtii.Ila hajakulazimisha lakini amekupa tahadhari. Ukuzingatia tahadhari au sheria zake utakuwa na mafanikio.
Option ya kumwabudu au kutokumwabudu Ni wewe na Mimi kuamua wapi tushikilie.
Sent using Jamii Forums mobile app