How GOD is smart

How GOD is smart

maada nzuri na mimi kukikazia kazia kidogo ni hivi
1.Asili ya Mungu ni nini? Asili (Nature) ya Mungu ni Roho (YOHANA 4:24).Sasa kama Mungu asili yake ni Roho na kuna roho aina mbali mbali Roho ya mungu ni ya aina gani??,Roho ya Mungu ni TAKATIFU (HOLY).sasa kwa asili ya Mungu kuwa Roho inamaana anapatikana kila mahali,Duniani,chini ya dunia,angani,mbinguni na ulimwenguni koote kwa wakati mmoja!

2.Mungu Hakumtuma Yesu aje na mwili wa Binadamu,kilichofanyika nikwamba Mungu mwenyewe aliumba mwili then akaingia ndani yake,yaani Mungu alijificha kwenye ule mwili ambao ulizaliwa na Mariam,Mungu Mwenyewe alikuwa ndani ya YESU Kristo! angalia maajabu ya Mungu,Muda huo huo alikuwa ndani ya Yesu,Muda huo huo alikuwa Mbinguni kwenye kiti cha enzi,Muda huo huo alikuwa ndani ya Yohana mbatizaji kwakuwa yohana mbatizaji alizaliwa tayari amejaa roho mtakatifu(roho wa Mungu)!,hukusoma andiko lilikuwa linatabiri kuja kwa Yesu na likasema ataitwa Emmanuel maana yake MUNGU PAMOJA NASI?,(ISAYA 7:14),Na pia kuna andiko linasema Mungu alijidhihirisha katika mwili akakaa kwetu? (1Timotheo 3:16) maana yake Mungu alitengeneza mwili then akaingia ndani yake then akaja kwa binadamu,alijidhihirisha katika mwili,kama vile wewe unavyoweza kujidhihirisha kwenye mavazi mbalimbali,ukavaa suti,au jens,au ukajidhihirisha na nguo za cadet nk..zile ni nguo tu ila wewe uko ndani ya zile nguo,na kwakuwa Mungu alikuwa anakuja kukomboa wanadamu ilimbidi aje kwa sura ya kibinadamu aishi na binadamu,awaonyeshe binadamu namna ya kuishi bila kutenda dhambi sasa Mungu ni roho ilimpasa aende kwenye nyumba ya daudi atengeneze MWILI halafu auvae huo mwili azaliwe kwa njia ya mwanamke kama binadamu wengine then atufundishe namna ya kuishi maisha matakatifu na hatimaye kafara ifanyike msalabani kuukomboa ulimwengu woote
Mkuu Kama nimekuelewa hapa umesema Yesu ni yule yule Mungu baba wala hakuna nafsi. Naomba niwaulize.

1 kama Yesu ni yule yule Mungu baba na hakuna nafsi....Yesu alikuwa anaenda kuomba....anaomba kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika, kuna sehemu Nabii alimwomba Mungu ampatie kibali kuwaadhibu Watu wawili waliokuwa wanamsanifu Mungu kupitia huyo huyo Nabii, Mungu alimruhusu yule Nabii aliamuru ardhi ipasuke na kuwameza wale Watu. Ardhi ilipasuka pale pale na kujifunika tena muda ule ule.

Sasa tujiulize, Je ardhi inasikia na kufanya kazi sawa na sisi Binadamu?

MUNGU NI MUNGU TU.
Huenda binaadam hatujui vizuri ..tunachukulia simple ability of god.
Kuna jamaa aliniambia hivyo pia.
Viumbe ikiwemo malaika binaadam majini mawe michanga magari cpu miti.
Vyote vinafata oder kutoka kwake alafu kwake vyote huongea navyo hata kama sisi kwetu tunaona sio kiumbe hai.
Hana mshirika hana mshauri yupo mmoja tuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maswala ya mungu ni chai tu hana lolote
Katika pitapita yangu ya kujisomea, Nilisoma mahali kwamba kila kauli (statement) ni ama KWELI au UONGO.

Mtoa kauli bila shaka anaamini kauli yake n kweli, kwamba MASWALA YA MUNGU NI CHAI HANA LOLOTE, mimi namuacha na swali la kutafakari khs kauli yake, JE NI KWELI??

IS IT TRUE?? Kama huna uhakika, ni afadhali ukafanya utafiti kabla hujatoa kauli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well, kwa jibu lako hili, kuna Logic/mantiki gani sasa ya kuwa na Mungu au Almighty being as our provider/ruler of our lives? That's one, two, kama ni hiari/decision yangu kumuabudu yaani sio lazima, kwa nini anichome moto/aniadhibu kwa sababu sikumuabudu nikiwa hai? uoni statement zako zinajicontradict meaning hazimake sense yoyote/sio logical/ni illogical? kwanini kitu special na unique kama kuishi/being alive unakikabidhi/unategemea kiwe under control of illogical systems? Yaani kuna mantiki gani sasa hata ya kuwa na ubongo/intelligent being? We unayetegema illogical system idefine maisha ya adhimu unatofauti gani na funza au bata mzinga au nyumbu?
Kwanini utende maasi tu ambayo hata wewe ukitendewa utanung'unika na hutaona maana ya kuishi duniani ukienjoy maisha kwa furaha? Ndiyomaana hata sisi kwa sisi Binadamu tumewekeana mipaka ya uhuru kwa kufata sheria kupitia serikali, yani ukikanyaga katiba tu tunakufikisha gerezani Segerea mara 1 sababu Binadamu hatufanani wala kulingana kwa hekima na busara na wapo wengine pasipo kutumia nguvu ya sheria hawajitambui, ndiyomaana Mungu aliweka sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni baada ya kukuumba kutoka ktk maji maji ya baba yaliyoungana na yai la mama, akakulinda ktk tumbo la mama yako Kwa miezi 9, ukazaliwa, akakulinda tena na magonjwa na mabalaa mpaka umefikia hapo ambapo umepewa nguvu kidogo na uwezo wa kuongea na kuandika, sasa Mungu yule yule aliyesababisha process nzima ya uumbaji wako Leo hii unamtukana, ofcoz amekupromise kua utarudi tu kwake na mtakwenda kudiscuss vizuri kuhusu hili.
Na atuthibitishie pa1 na mbwembwe zooote lkn bado tu Mungu alimuamuru hakika kufa atakufa, kwanini hakuna awezaye kukataa kifo ikiwa Mungu hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka neno, kwenye misukosuko wewe nenda, wakikataa, nawa mikono ushukuru maana Mtu kuukubali ukweli ni kazi ya Roho Mtakatifu.

Hivi ni yupi kati yao hawa wanaopinga hapa JF habari za Mungu alikuwa mbishi kama Paulo?

Paulo hakufikia hatua kuongoka na kutangaza vizuri habari za Mungu hadi kuwa shujaa kupigwa na mawe(Sauli)?

Wakati mwingine Mungu huwafanya Watu kama hawa kuwa chachu ya wengine tuzidi kupambanua habari zake vizuri ili tumjue kwa undani zaidi.

Pia Mungu huwafanya mioyo yao kuwa migumu zaidi na zaidi ili ajitwalie utukufu kwa kishindo zaidi kama ilivyokuwa kwa Farao alivyokuwa mbishi kuwaruhusu wana wa Israeli toka Misri kwenda Kanani, hatimaye Mungu alisimama na Musa hadi wachawi na waganga wa Farao kushindwa kuivuka bahari ya shamu.
Tatizo lipo kwa anaowajibu
Hawapo tayari kujifunza...akili zao hazipo kufahamu
Wamekuja kimitego..kukejeli tu..Hakuna lingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka neno, kwenye misukosuko wewe nenda, wakikataa, nawa mikono ushukuru maana Mtu kuukubali ukweli ni kazi ya Roho Mtakatifu.

Hivi ni yupi kati yao hawa wanaopinga hapa JF habari za Mungu alikuwa mbishi kama Paulo?

Paulo hakufikia hatua kuongoka na kutangaza vizuri habari za Mungu hadi kuwa shujaa kupigwa na mawe(Sauli)?

Wakati mwingine Mungu huwafanya Watu kama hawa kuwa chachu ya wengine tuzidi kupambanua habari zake vizuri ili tumjue kwa undani zaidi.

Pia Mungu huwafanya mioyo yao kuwa migumu zaidi na zaidi ili ajitwalie utukufu kwa kishindo zaidi kama ilivyokuwa kwa Farao alivyokuwa mbishi kuwaruhusu wana wa Israeli toka Misri kwenda Kanani, hatimaye Mungu alisimama na Musa hadi wachawi na waganga wa Farao kushindwa kuivuka bahari ya shamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen
Nadhani wadau wamejitahidi Sana kuwaelewesha.. mwenye sikio na asikie
Mungu mwenyewe atajua namna ya kuwabadilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kumwomba Mungu kwanza kabla hujaanza kusoma na kuutafakari ukuu wake maana Roho Mtakatifu ndiye hutupatia ufahamu wake Mungu hasa.

Hapo Yesu alimaanisha kuwa ni yule yule wa jana, leo na hata milele "kamwe habadiliki ktk uhalisia wake wa kiungu"

Mfano.

Yesu akikuahidi atatenda au kukuletea baraka zake basi atakuletea kwa wakati haijalishi hata ipite miaka mingapi maana kila jambo hufanywa kwa wakati wake na kwa kusudi la mbingu MUHUBIRI 3:1-15.

Mungu hatamkagi neno lake sababu lina ukweli ndani yake la hasha! bali kabla hata hajatamka neno lake tayari ni kweli tupu.
Mkuu Kama nimekuelewa hapa umesema Yesu ni yule yule Mungu baba wala hakuna nafsi. Naomba niwaulize.

1 kama Yesu ni yule yule Mungu baba na hakuna nafsi....Yesu alikuwa anaenda kuomba....anaomba kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kumwomba Mungu kwanza kabla hujaanza kusoma na kuutafakari ukuu wake maana Roho Mtakatifu ndiye hutupatia ufahamu wake Mungu hasa.

Hapo Yesu alimaanisha kuwa ni yule yule wa jana, leo na hata milele "kamwe habadiliki ktk uhalisia wake wa kiungu"

Mfano.

Yesu akikuahidi atatenda au kukuletea baraka zake basi atakuletea kwa wakati haijalishi hata ipite miaka mingapi maana kila jambo hufanywa kwa wakati wake na kwa kusudi la mbingu MUHUBIRI 3:1-15.

Mungu hatamkagi neno lake sababu lina ukweli ndani yake la hasha! bali kabla hata hajatamka neno lake tayari ni kweli tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry mkuu sijauliza hayo.
Nimeuliza tofauti ya Mungu na Yesu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini aliumba mti wa ujuzi wa mema na mabaya
Nimekuwa nikijuliza, Mungu hujua yaliyopita,yaliyopo na yajayo, maana yake kila kitu kinachoendelea yeye alikijua kabla.
Maswali yangu, ilikuwaje alimuumba Shetani ambaye alijua atamsaliti, aliumba Mwanadamu akijua atakula lile tunda, Je kwa mantiki hiyo Mungu alitengeneza Jehanamu akijua Atamuweka binadamu maana alikuwa na uweza wa kutomuumba shetani hapo kabla na pia kuepusha Mwanadamu kula lile tunda, au pengine asingeupanda ule mti kabisa.
Ilikuwaje asiepushe haya yote toka anaanza uumbaji wake ili Jehanam iepukike, au asingeitengeneza Jehanamu kwa kuifanya Mbingu na dunia kuwa free from Sin!?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
asa kwanin mungu na shetani wasielewane.? yaan wamalize tofauti zao .mungu hua anasamehe kwa asimsamehe xhetani.? alaf makosa aliyafanya adam na eva 'c.c yanatuhusu nin.?
Shetan ana roho ya uasi hawez Paraná tens na Mungu
 
Kwa nini aliuumba huo mti hali akijua Adam na Eve, assuming they were real, wangeula?
Ule mti ulikua unamaanisha shetan yupo na ana mfumo wake wa maisha tofaut na Mungu ambao mwamadamu ukila matunda yake utakufa
 
Back
Top Bottom