k2206
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 735
- 744
Sema kwanza mtazamo wako kuhusu Chanzo Cha uovu.Alafu kuhusu Lucifer katokea wapi hiyo Ni ishu nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dhana ya kukubali kwamba jambo fulani ni kweli pasi na ushahidi....Imani ni nini ?
Uovu ni tafsiri zetu kwa yale tuyaonayo hayako sawa au tuliyokaririshwa....Sema kwanza mtazamo wako kuhusu Chanzo Cha uovu.Alafu kuhusu Lucifer katokea wapi hiyo Ni ishu nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe utajuaje Kama Mambo yapo sawa au hayapo sawa?Kigezo gani kinatumika?Uovu ni tafsiri zetu kwa yale tuyaonayo hayako sawa au tuliyokaririshwa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dhana ya kukubali kwamba jambo fulani ni kweli pasi na ushahidi....
Hivi wewe si ndio yule unayeamini peponi utaenda kupewa wanawake 72 bikra, ambao bikra zao zitakuwa haziishi na wala watakuwa hawahisi maumivu wakati wa tendo... (hurul aini)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe si ndio yule unayeamini peponi utaenda kupewa wanawake 72 bikra, ambao bikra zao zitakuwa haziishi na wala watakuwa hawahisi maumivu wakati wa tendo... (hurul aini)
Alimpa option achague awe upande wake au wa shetan hakutaka kutumia nguvu ya kumlazimisha kumfuata Mungu, ili adamu asiseme Mungu amenilazimisha kumtumikiaHaujajibu swali.... swali limeuliza ina maana Mungu alikuwa hajui kwamba Adam atakula tunda?????
Jibu swali
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna ksehemu inayo itwa jahanamu au kitu kama hicho bali nimaneno ya kusadikika na kuwatisha wale walio ua wakiua mana bii na mitume kwa enzi zileNimekuwa nikijuliza, Mungu hujua yaliyopita,yaliyopo na yajayo, maana yake kila kitu kinachoendelea yeye alikijua kabla.
Maswali yangu, ilikuwaje alimuumba Shetani ambaye alijua atamsaliti, aliumba Mwanadamu akijua atakula lile tunda, Je kwa mantiki hiyo Mungu alitengeneza Jehanamu akijua Atamuweka binadamu maana alikuwa na uweza wa kutomuumba shetani hapo kabla na pia kuepusha Mwanadamu kula lile tunda, au pengine asingeupanda ule mti kabisa.
Ilikuwaje asiepushe haya yote toka anaanza uumbaji wake ili Jehanam iepukike, au asingeitengeneza Jehanamu kwa kuifanya Mbingu na dunia kuwa free from Sin!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katoa option sawa lakini unataka kunuambia kwamba alikuwa hajui atachagua option gani..... kati ya hizo alizompa??Alimpa option achague awe upande wake au wa shetan hakutaka kutumia nguvu ya kumlazimisha kumfuata Mungu, ili adamu asiseme Mungu amenilazimisha kumtumikia
Haya maneno naomba uniambie umeyapata wapi ?
Nipo ....
nounKwako wewe ushahidi ni nini ? Ili ushahidi uitwe au uwe ushahidi inabidi ukidhi vigezo gani ?
Imani sio dhana na haijawahi kuwa dhana.
Imani ni tamko lenye asili ya kiarabu,lenye ya kusadiki kwa moyo na kutamka kwa ulimi. Imani imegawanyika katika sehemu mbili,kuna imani kwa kauli na imani kwa matendo.
Imani kwa mgawanyo wa kukubalika,nao upo wa sehemu mbili,imani sahihi na imani potofu.
Narudi tena kwako,dhana ni mawazo yaliyojenga katika wasi wasi na uongo. Nataka uiweke maana yako katika fasili ya dhana.
Nasubiri majibu ya maswali yangu.
Nipo .....
The synonym of the word concept is notation , idea, belief.......Kwako wewe ushahidi ni nini ? Ili ushahidi uitwe au uwe ushahidi inabidi ukidhi vigezo gani ?
Imani sio dhana na haijawahi kuwa dhana.
Imani ni tamko lenye asili ya kiarabu,lenye ya kusadiki kwa moyo na kutamka kwa ulimi. Imani imegawanyika katika sehemu mbili,kuna imani kwa kauli na imani kwa matendo.
Imani kwa mgawanyo wa kukubalika,nao upo wa sehemu mbili,imani sahihi na imani potofu.
Narudi tena kwako,dhana ni mawazo yaliyojenga katika wasi wasi na uongo. Nataka uiweke maana yako katika fasili ya dhana.
Nasubiri majibu ya maswali yangu.
Nipo .....
Hii ndio unamaanisha ni imani thabiti na sio potofu?
Nijibu dhana imeingiaje kwenye Imani ?The synonym of the word concept is notation , idea, belief.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna swali bado hujajibu nalo ni lakuhusu ushahidi.noun
noun: faith
1.
complete trust or confidence in someone or something.
"this restores one's faith in politicians"
synonyms:trust, belief, confidence, conviction, credence, reliance, dependence; More
optimism, hopefulness, hope, expectation
"he completely justified his boss's faith in him"
antonyms:mistrust
2.
strong belief in the doctrines of a religion, based on spiritual conviction rather than proof.
Kama kwa kiarabu ni hivyo basi sawa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ya video yako uliyompinga huyo sheikh..... kwasababu kama hicho kitu hakipo ina maana sheikh amepotosha na anapaswa apingwe.... naomba inayompinga huyo huyo sheikh.Sasa huu ndio ushahidi ?
Naona unaleta za Sheikh kanena ?
Nilikuwekea hii sehemu fulani, haukurudi tena...... do u remember????Sasa huu ndio ushahidi ?
Naona unaleta za Sheikh kanena ?
Sasa huu ndio ushahidi ?
Naona unaleta za Sheikh kanena ?