If God is Perfect.If God is perfection kwanini ameumba viumbe ambao ni imperfection
iPhone 7plus
akili zake hazichunguziki huyu MunguNimekuwa nikijuliza, Mungu hujua yaliyopita,yaliyopo na yajayo, maana yake kila kitu kinachoendelea yeye alikijua kabla.
Maswali yangu, ilikuwaje alimuumba Shetani ambaye alijua atamsaliti, aliumba Mwanadamu akijua atakula lile tunda, Je kwa mantiki hiyo Mungu alitengeneza Jehanamu akijua Atamuweka binadamu maana alikuwa na uweza wa kutomuumba shetani hapo kabla na pia kuepusha Mwanadamu kula lile tunda, au pengine asingeupanda ule mti kabisa.
Ilikuwaje asiepushe haya yote toka anaanza uumbaji wake ili Jehanam iepukike, au asingeitengeneza Jehanamu kwa kuifanya Mbingu na dunia kuwa free from Sin!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mantiki hiyo Mungu naye ni mbishi na hataki ushauri wa kiumbe chochote!?Malaika waliuliza kwa mungu kwamba mbona unamuweka kiumbe mwengine ambae atakuja kukuasi/kufanya ufisadi/kula hilo tunda/ e.t.c
Mungu akawaambia Malaika kuwa yeye anayajua wasiyo yajua.
Hivi nadharia ya nyoka na tunda la mti wa katikati si sawa na nyoka ni tupu ya kiume halafu tunda la mti wa katikati ni tupu ya kike?Hakuna binadamu anayefikia u-smart alionao Mungu, kwanza kabisa Mungu hawezi vunja sheria aliyojiwekea tofaut na mwanadamu, pili Mungu sio muongeaji ongeaji hovyo, huwa ana maneno machache Kwa sababu kila neno lake ni sheria.
Watu wengi tumekua tukijiuliza Kwa nin Mungu aliruhusu shetani amdanganye hawa, jibu ni kwamba Mungu alimpa mwanadamu option mbili ya kumkata au kumkubali, bahati mbaya Adam akamkataa Mungu, na Mungu bila hiana akakubaliana na adamu kwa-sababu angeingilia angevunja sheria aliyojiweka yeye. Na shetan anamjua Mungu Kwa sababu ameshakaa naye ndo maana alijiamini alivyomfuata hawa.
Ndo maana hata wanadamu wanamtukana Mungu na haingilii, jibu ni kwamba hawez kukulazimisha umtumikie/umfuate, yaan wanafamu tuna Uhuru wa kumkataa Mungu, ndo maana ni Hatar sana kulazimisha watu kumfuata Mungu.
Mungu hawez kuja kuishi duniani Kwa sababu in roho (spirit), ili uishi duniani lazima uwe na mwili (dead body), ndo maana hata majini lazima yamwingilie MTU yaishi ndani yake Kwa sababu ili uishi dunian ni lazima uwe na mwili.
Shetani ilimbidi amuombe nyoka mwili ili autumie mwili wake kumdanganya Adam na hawa Kwa sababu na yeye ni roho
Hata binadamu akifa kinachokufa ni mwili na sio roho, ndo maana baada ya kufa roho haiwez ishi duniani Kwa sababu ni illegal Kwa roho kuish duniani, kwa hy lazima iondoke, ndo maana Mungu alimtuma YESU aje na mwili wa binadamu ili atimize lengo lake.
Ndo maana dhana nzima ya maombi ikaja, Kwa sababu ukitaka kitu lazima umuombe Mungu Kwa sababu ana uhakika unataka jambo fulani au hulitaki, Kwa sababu kabla ya mwanadamu kuasi kulikua na fellowship na sio maombi.
1.Unadhani Ni kwa Nini aliileta hiyo gharika?Huyo mungu sio ndio alioleta gharika na kuuwa watu duniani enzi za nuhu?
Sasa anakuaje smart kama anauwa watu kama Alshabab?
.............His spiritual qualities kept pace with his personal charm, for God had fashioned his soul with particular care. She is the image of God, and as God fills the world, so the soul fills the human body; as God sees all things, and is seen by none, so the soul sees, but cannot be seen; as God guides the world, so the soul guides the body; as God in His holiness is pure, so is the soul; and as God dwells in secret, so doth the soul.(COPIED FROM THE LEGEND OF THE JEWS).Hakuna Mungu huyu mnaemzungumzia zaidi ya uwongo mlioukuta mkauamini?
KUNA YEYOTE KATI YENU AMEWAHI KUMWONA?
1.Unadhani Ni kwa Nini aliileta hiyo gharika?
2.Je unaujua uovu wa wanadamu kipindi hicho ulikuwa wa kiwango gani?
3.Je unajua MUNGU MWENYEZI aliwapa mda gani haoWatu kujirudi kabla ya kuleta hiyo adhabu?
MUNGU MWENYEZI HAKUPI ADHABU BILA KUKUPA ONYO NA MDA WA KUJIRUDI NA KUTUBU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo sio swali dogo mkuu maana Ni lazima ufuatilie uovu ulipoanzia tangu mwanzo.Labda nikuulize swali dogo nani aliyeleta uovu duniani?
Well, vyote ulivyoandika hapo juu ni very illogical, since natumia logic nichangiapo mijadala(bila shaka kila mtu anapaswa kutumia pia), kipingele hiki pekee ndicho angalau kinaweza fanyiwa majadiliano, ili niweze kuendelea kuchangia, naomba unijibu swali nitakalo kuuliza ili niweze kuchanganua kama kipengele hiki nacho kina at least chembe za logic ama nachenywe ni pumba tu. Swali langu ni, tangua niwe na akili zangu timamu, sijawahi kumuomba mungu anisaidie kitu chochote kile, lakini nina mafanikio makubwa kuliko wakeshao wakimuomba(moja wapo ni bado napumua{natumia point yenu kuu ya kuwa mungu ndio mgawaji wa pumzi}), kwanini mungu ni mnafiki kiasi kwamba anawanyima wafuasi wake waaminifu na watiifu pumzi na mafanikio mengine, ila ananipa mimi nisiye hata na muda nae?Ndo maana dhana nzima ya maombi ikaja, Kwa sababu ukitaka kitu lazima umuombe Mungu Kwa sababu ana uhakika unataka jambo fulani au hulitaki, Kwa sababu kabla ya mwanadamu kuasi kulikua na fellowship na sio maombi.
Alfu lela ulelaHakuna binadamu anayefikia u-smart alionao Mungu, kwanza kabisa Mungu hawezi vunja sheria aliyojiwekea tofaut na mwanadamu, pili Mungu sio muongeaji ongeaji hovyo, huwa ana maneno machache Kwa sababu kila neno lake ni sheria.
Watu wengi tumekua tukijiuliza Kwa nin Mungu aliruhusu shetani amdanganye hawa, jibu ni kwamba Mungu alimpa mwanadamu option mbili ya kumkata au kumkubali, bahati mbaya Adam akamkataa Mungu, na Mungu bila hiana akakubaliana na adamu kwa-sababu angeingilia angevunja sheria aliyojiweka yeye. Na shetan anamjua Mungu Kwa sababu ameshakaa naye ndo maana alijiamini alivyomfuata hawa.
Ndo maana hata wanadamu wanamtukana Mungu na haingilii, jibu ni kwamba hawez kukulazimisha umtumikie/umfuate, yaan wanafamu tuna Uhuru wa kumkataa Mungu, ndo maana ni Hatar sana kulazimisha watu kumfuata Mungu.
Mungu hawez kuja kuishi duniani Kwa sababu in roho (spirit), ili uishi duniani lazima uwe na mwili (dead body), ndo maana hata majini lazima yamwingilie MTU yaishi ndani yake Kwa sababu ili uishi dunian ni lazima uwe na mwili.
Shetani ilimbidi amuombe nyoka mwili ili autumie mwili wake kumdanganya Adam na hawa Kwa sababu na yeye ni roho
Hata binadamu akifa kinachokufa ni mwili na sio roho, ndo maana baada ya kufa roho haiwez ishi duniani Kwa sababu ni illegal Kwa roho kuish duniani, kwa hy lazima iondoke, ndo maana Mungu alimtuma YESU aje na mwili wa binadamu ili atimize lengo lake.
Ndo maana dhana nzima ya maombi ikaja, Kwa sababu ukitaka kitu lazima umuombe Mungu Kwa sababu ana uhakika unataka jambo fulani au hulitaki, Kwa sababu kabla ya mwanadamu kuasi kulikua na fellowship na sio maombi.
Sasa Adam anatuhusu nini sisi? Unaweza mhukumu mtoto kwa kosa la baba?Mfumo aliochagua Adam ndo umeleta vurugu zote hizi tunazoziona
Kama Mungu havunji sheria zake yanini sasa tumuombe atupe utajiri, afya, furaha iwapo alitunga tusiwe navyo?.. Unaposema ana uhakika nataka jambo fulani then iweje ichukue miezi, miaka kunipa, si anipe tuu?..Ndo maana dhana nzima ya maombi ikaja, Kwa sababu ukitaka kitu lazima umuombe Mungu Kwa sababu ana uhakika unataka jambo fulani au hulitaki, Kwa sababu kabla ya mwanadamu kuasi kulikua na fellowship na sio maombi.
Hivyo vilikuwa kwenyd mti ea uzima ila adamu akachagua mti wa uzima na ubaya ambayo struggle is for everythingKama Mungu havunji sheria zake yanini sasa tumuombe atupe utajiri, afya, furaha iwapo alitunga tusiwe navyo?.. Unaposema ana uhakika nataka jambo fulani then iweje ichukue miezi, miaka kunipa, si anipe tuu?..
Kwanini Shetani hakumdanganya Adam?.
TOFAUTI YA FELLOWSHIP NA MAOMBI NI IPI?..
Mkuu unaijua laana inaweza tembe had vizazi kumi, dhambi ni laana aliyoichagua adamSasa Adam anatuhusu nini sisi? Unaweza mhukumu mtoto kwa kosa la baba?
Sent using Jamii Forums mobile app