nra2303
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 2,972
- 2,549
Hahahaaa lugha mkuuMbona Mimi haijanitoa machozi wandugu
Hahahaaa lugha mkuuMbona Mimi haijanitoa machozi wandugu
Wakenya MNA hasira naye sana,mlitegemea awaletee ugali mezania!shenzi typemnafiki huyo apite hivi ..
Yes. Na laiti ungemuelewa alichokisema ungelia.Acha uchuro ,machozi yako yatasababisha tukose mvua
Obama alianza kutokwa machozi alipo muongelea Michelle
Huyu wa kwetu yeye anapiga mke mpaka anavunja bandama
Dah tuna safari ndefu
Kiini macho tuObama ni Jaluo.
Km watu hata kwenye ibada wanaongozwa na mtu hajamaliza la saba unategemea kitu gani kipo mioyoni mwao km sio chuki,hasira,na kujitoa mhanga,kukashifu wengine,kujiona wao ni bora zaidi,kujiona wanaonewa kila kona ya dunia!! Mihemko mingi isiyokua na maana hata chembe.JF inaharibika kwa sababu ndugu zetu waleee. . , wanachangia humu kwa "HISIA" ..., na sio kwa uelewa wa mambo dhahiri yaliyotokea na yanayotokea Duniani ... Ni aibu kukurupuka tuu na kusema mambo hasi ya nchi kama Marekani kwa vile eti umesikia tuu imaam, Sheikh au Padri wako amesema . . Kama unaijua lugha ya kimombo vizuri .., na umesikiliza hotuba ile ..., kwa kweli huna sababu ya kupinga kuwa ilikuwa ni hotuba nzuri sana, and it was so moving emotionally....
Kama imeweza kumtoa machozi dada yangu mgumu, mkorofi Faiza . . , unaweza kuhisi ilikuwaje . .
Obama ni Raisi atakayekumbukwa sana muda mrefu ujao na wamarekani wengi , hasa wenye akili . .
Teh teh sijamuelewa sijakanyaga shule mimiYes. Na laiti ungemuelewa alichokisema ungelia.
Huijuwi adha ya mke mwenye mume anaetazamwa na dunia nzima.
Teh teh sijamuelewa sijakanyaga shule mimi
Hapa siongelei alicho sema Obama juu ya Mkewe
Naongelea wenzangu na mimi wasiotambua umuhimu wa mke na kuwakung'uta mpaka wakalazwa hospital
Una haki ya fikra zako. Nna haki na fikra zangu.Kiini macho tu
AmeenUna haki ya fikra zako. Nna haki na fikra zangu.
Asalaam Alaikum.
Hakika ni wanafiki wakubwaHollywood kazini minafiki sana hiyo mijitu Obama ulishiriki kumuua Gaddafi bila kosa kapumzike ila najua tu Damu ya Gaddafi itakulilia hebu tazama Libya ulivyoigeuza kutoka mwamba mpaka imekuwa mchanga
Mbona hulii mabaya anayoifanyia tz?Ni hotuba ambayo hata mimi nililia ingawa si Mmarekani.
Amenena mengi mema.
Mbona hulii mabaya anayoifanyia tz?