Endeleeni kumpamba trump na shoga yake in one year down the road mje na mrejesho!Mazuri yapi aloacha Obama? Au ni ile Obamacare ambayo inafadhili wanaume kubadili jinsia na kuwa wanawake??
Obamacare inayowatibu mashoga kwa Bei nafuu huku wanaougua Kisukari na Cancer wakipigwa chini??
Obamacare inayofadhili utoaji mimba kwa bei chee sawa na bure?
Ndomana kina Putin (trump) wanamcheka Mwanaume mzima unalia kinafki huku nyuma umeacha libya haikaliki(kitimoto?)
Ni hotuba ambayo hata mimi nililia ingawa si Mmarekani.
Amenena mengi mema.
Umelia sababu amesema aliwalinda waislam wa marekani, anaingia Trump na ameshasema anamtafuta mtoto wa Osama maana nae ni gaidiNi hotuba ambayo hata mimi nililia ingawa si Mmarekani.
Amenena mengi mema.
Umelia sababu amesema aliwalinda waislam wa marekani, anaingia Trump na ameshasema anamtafuta mtoto wa Osama maana nae ni gaidi
Unajua kizungu we kungwi hadi ulie!!!!
Hollywood kazini minafiki sana hiyo mijitu Obama ulishiriki kumuua Gaddafi bila kosa kapumzike ila najua tu Damu ya Gaddafi itakulilia hebu tazama Libya ulivyoigeuza kutoka mwamba mpaka imekuwa mchanga
ROHO YA MAMMUR GHADAFI. ..damu yake marekani italipa tu...kwa udi na uvumba. ..Hollywood kazini minafiki sana hiyo mijitu Obama ulishiriki kumuua Gaddafi bila kosa kapumzike ila najua tu Damu ya Gaddafi itakulilia hebu tazama Libya ulivyoigeuza kutoka mwamba mpaka imekuwa mchanga
Umekurupuka mkuu. Sadam Hussein alinyongwa december 2006? Rais alikua ni Bush na sio Obama.Aaah wapi, mimi naikataa kabisa. Kulia ni kuficha mapungufu yako. Alimuu Ghadafi, akamuua Sadam Hussein, leo hii watu wanakufa Libya nyie mnalia kwa ajili ya hotuba, ameangamiza demokrasia duniani, watu wanajifanya miungu leo manasema hotuba. Nenda zako, namsubili mwanaume Trump, come come we are waiting for you dad of truth.
Tell em, hata Magu walimshangilia hivyo hivyo, leo mwaka mmoja tu tayari wanamkumbuka JK.Endeleeni kumpamba trump na shoga yake in one year down the road mje na mrejesho!
SHUT UP!!!!Aaah wapi, mimi naikataa kabisa. Kulia ni kuficha mapungufu yako. Alimuu Ghadafi, akamuua Sadam Hussein, leo hii watu wanakufa Libya nyie mnalia kwa ajili ya hotuba, ameangamiza demokrasia duniani, watu wanajifanya miungu leo manasema hotuba. Nenda zako, namsubili mwanaume Trump, come come we are waiting for you dad of truth.
Wewe ulilia kwasababu unajua trump atakachokifanya ni zaid ya alichokifanya George W. Bush hasa kwa ndugu zako magaidiNi hotuba ambayo hata mimi nililia ingawa si Mmarekani.
Amenena mengi mema.
Jina na na ushungi ajifananishe tu, ana mdomo kama tundu la choo cha shimoSio muislam wewe yule,jina tu
Umenena kweli mkuu, binafsi nilishangazwa na Waziri wa mambo ya nje kipindi hicho Membe kututangazia kupeperusha bendera nusu mlingoti kuomboleza kifo cha adui yetu.Gadaffi mshenzi sana huyo jamaa. Alijilimbikizia mali za Walibya kwa maslahi yake huku wlaibywa akiwawatupia viukoko.
Alijiweka raisi wa maisha bila kujali kwamba libya haikuwa mali yake binafsi na kwamba ujenzi wa nchi unahitaji ushirikiano wa kweli katika nyanja zote baina ya wananchi.
zAIDI SANA HUYU MPUMBAVU ALIUA WATU WETU KATIKA VITA VYA KAGERA KWA KUTOA MAJESHI YAKE YALIYOSHIRIKIANA NA MAJESHI YA NDULI KUUA WATANZANIA. PUMBAVUE SANA HILI GHADAFFI LILIKUWA.
Ukasome wewe unaekulupuka eti hotuba tawaliza, mmeenda Syria nyie wanafki wakubwa, anajua anaekuja ndie yule Yohana Mbatizaji alisema hastahili hata kulegeza gidamu za kiatu chake.SHUT UP!!!!
ETI AKAMUUA SADAM HUSEIN...acha kukurupuka kuchangia mada ambazo huna uelewa. KASOME SHULE ZIMEFUNGULIWA