Hotuba ya Rais Obama yawaliza wengi

Hotuba ya Rais Obama yawaliza wengi

Hollywood kazini minafiki sana hiyo mijitu Obama ulishiriki kumuua Gaddafi bila kosa kapumzike ila najua tu Damu ya Gaddafi itakulilia hebu tazama Libya ulivyoigeuza kutoka mwamba mpaka imekuwa mchanga
wewe ndio mjinga hujui hata historia umejaa udini...mbumbumbu wewe...usie jua lolote
 
Aaah wapi, mimi naikataa kabisa. Kulia ni kuficha mapungufu yako. Alimuu Ghadafi, akamuua Sadam Hussein, leo hii watu wanakufa Libya nyie mnalia kwa ajili ya hotuba, ameangamiza demokrasia duniani, watu wanajifanya miungu leo manasema hotuba. Nenda zako, namsubili mwanaume Trump, come come we are waiting for you dad of truth.
Sadam hussein tena! Are you serious?
 
Pole sana, kama unajua Gaddafi alikuwa mnafki na mzandiki, pole sana. Bado unafikilia Gaddafi alijilimbikizia mali, na tena alikuwa mrafi tena alikula vizuri wananchi akawapa makombo, kweli umeandika ukiongozwa na chuki binafsi. Narudia tena pole sana, ungekuwa mjinga ningekuelimisha, lakini kwa kuwa wewe ni mpumbavu nakuacha hivyo hivyo pole sana.

Kati ya Obama na Ghadafi,Ghadafi ni mtu wa hovyo kabisa.Matendo yake ya hovyo kwa Nchi yake,Raia maskini wa Nchi yake na hata Kumsaidia Idd Amini ndio yalipelekea Kifo chake.
 
Watu wenye akili Nzuri walikuwa wakisubiri huyu dhaifu aondoke zake..Ameleta majanga mengi sana.
 
Obama huwa analialia hovyohovyo tu...sasa cha kumliza ni nn hapo.....nisawa na Baba wa familia ulielie ovyoovyo mbele ya watoto....Yaani ni sawa leo hii uone chozi la Rais Magufuli jukwaani...
 
Hvi huyu obama aliwazaje kuwa amiri jeshi mkuu wa marekani kama anapenda kujiliza namna hii kwa mambo ya kipuuzi?
 
Obama, the most inspitrational leader of our times! Ukimsikiliza Obama kisha ukatafakari yanayotokea hapa Bongoland, natamani Nyifweee kabsa kabsa!
 
Hollywood kazini minafiki sana hiyo mijitu Obama ulishiriki kumuua Gaddafi bila kosa kapumzike ila najua tu Damu ya Gaddafi itakulilia hebu tazama Libya ulivyoigeuza kutoka mwamba mpaka imekuwa mchanga

Gaddafi aliuawa na walibya fanya utafiti vzr
 
Kuna video siwezi kuweka hapa inaonyesha Hillary Clinton na mwenzake wakiwa ofisini wakifuatilia situation yote baada ya kifo cha Gaddafi waligongeana wine na kunywa huku wakicheka kwa furaha..

Saizi tizama maalfu ya matanki yanavyosafirishwa kutoka Libya..

Hebu nenda kasome mbinu za CIA katika kuondoa regime mbali mbali ,utakuwa hujui namna CIA wanavyo operate

Kama wa libya tu ndio wamemtoa mbona saizi kuna Isis libya wanacontrol maeneo? Wametokea wapi
 
Gaddafi alikuwa shetani mkubwa yule acha aendelee kuchezea bakora huko na bikira zake 72
 
Hollywood kazini minafiki sana hiyo mijitu Obama ulishiriki kumuua Gaddafi bila kosa kapumzike ila najua tu Damu ya Gaddafi itakulilia hebu tazama Libya ulivyoigeuza kutoka mwamba mpaka imekuwa mchanga

Gaddafi aliuawa na walibya fanya utafiti vzr
 
Aliongea kiswahili au kulikuwa na translator?
 
Kuna video siwezi kuweka hapa inaonyesha Hillary Clinton na mwenzake wakiwa ofisini wakifuatilia situation yote baada ya kifo cha Gaddafi waligongeana wine na kunywa huku wakicheka kwa furaha..

Saizi tizama maalfu ya matanki yanavyosafirishwa kutoka Libya..

Hebu nenda kasome mbinu za CIA katika kuondoa regime mbali mbali ,utakuwa hujui namna CIA wanavyo operate

Kama wa libya tu ndio wamemtoa mbona saizi kuna Isis libya wanacontrol maeneo? Wametokea wapi

hata walibya wa makabila engine tofauti na la Gaddafi walishangilia pia ,
 
Back
Top Bottom