Aha ha ha ha ha ha ha!Aaah wapi, mimi naikataa kabisa. Kulia ni kuficha mapungufu yako. Alimuu Ghadafi, akamuua Sadam Hussein, leo hii watu wanakufa Libya nyie mnalia kwa ajili ya hotuba, ameangamiza demokrasia duniani, watu wanajifanya miungu leo manasema hotuba. Nenda zako, namsubili mwanaume Trump, come come we are waiting for you dad of truth.