Hotuba ya Rais Obama yawaliza wengi

Hotuba ya Rais Obama yawaliza wengi

Hotuba yenyewe imewaliza wanae,mkewe na makamu wake wa rais

Halafu unatuambia hotuba yake imewaliza wengi

Daah
 
Through democracy we all rise and fall as one.

But in Africa if someone(citizens) falls let him/them fall in his/their own because the government isnt concerned of his/their fall
 
Waijua ObamaCare?
Mpango wa kupatia maskini wote bima/matibabu ya afya kwa gharama za matajiri.

Kumbuka Republican ni ya matajiri na Democratic ni wa kawaida.

Trump akisaidiwa na matajiri wa Matajiri wasiopenda 'weusi wengi 'ambao ni maskini wakasema kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe.

Sasa ndugu zangu hasa wale watoto wa 'Bwana yulee' kuleta mambo ya sjui kamiu nani,etc hamujielewi!
Mkuu "mike pence"-vice president, kasisitiza kabisa baada ya inaugural jan 20 wataanza na "obama care". Kasema hawatalaza damu. Ila obama kajishusha sana issue ya "cyber attacks".
 
Kuwa muwazi tu.
"SERIKALI YANGU HAITATOA CHAKULA,NINAPOSEMA SILETI CHAKULA SILETI KWELI,WALA SIMUNG'UNYI MANENO NA SITALETA KWELI,MLIZOEA MANENO MATAMU SASA MIMI SINA MANENO MATAMU"alisisitiza RaisMagufuli.



swissme
 
Usidanganye watu nani anae taka aendelee kuongoza ile ni nchi ya ki democracy ukiisha mda wako unampisha mwengine kuhusu kulia tazama kwenye mkutano mzima alie lia ni yeye na makamu wake wa rais na bintie binafsi naona anawalilia maelfu ya watu aliyo wauwa Iraq na Syria a.k.a is a.k.a daesh Bila kusahau Libya na Yemen
Mkuu daesh ni ISIS
 
Hollywood kazini minafiki sana hiyo mijitu Obama ulishiriki kumuua Gaddafi bila kosa kapumzike ila najua tu Damu ya Gaddafi itakulilia hebu tazama Libya ulivyoigeuza kutoka mwamba mpaka imekuwa mchanga
Yaelekea hujui kitu kuhusu kuuliwa kwa Gadafi.
 
Mwanaume putin wengine tupa kule wew hadi trump anamuweka madarakani secret service wanachechemea wanalaumiana waache wanawake walie maaana hadi msibani huwa wanagalagala naomba huu uzi uwe hashtag ya kumkumbuka jemedari #we will miss u the legend muamar gaddafi#
 
Waijua ObamaCare?
Mpango wa kupatia maskini wote bima/matibabu ya afya kwa gharama za matajiri.

Kumbuka Republican ni ya matajiri na Democratic ni wa kawaida.

Trump akisaidiwa na matajiri wa Matajiri wasiopenda 'weusi wengi 'ambao ni maskini wakasema kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe.

Sasa ndugu zangu hasa wale watoto wa 'Bwana yulee' kuleta mambo ya sjui kamiu nani,etc hamujielewi!
Hapa ndiyo kitaeleweka zaidi as Trump si wa spot spot...hapo lazima watu waisome namba
 
Kaongea mengi mazuri ila kasahau kutubu mauwaji ya Gadafi.
 
Hollywood kazini minafiki sana hiyo mijitu Obama ulishiriki kumuua Gaddafi bila kosa kapumzike ila najua tu Damu ya Gaddafi itakulilia hebu tazama Libya ulivyoigeuza kutoka mwamba mpaka imekuwa mchanga
Ndio wajifunze mmarekani hana utani!alivyokua anasema ana silaha za nyuclia alitegemea mini?ujinga wake Gaddafi mwenyewe
 
Back
Top Bottom