Said S Yande
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 932
- 756
obama mungu anakuona kwa unafiki wako ujue.
Umenena kweli mkuu, binafsi nilishangazwa na Waziri wa mambo ya nje kipindi hicho Membe kututangazia kupeperusha bendera nusu mlingoti kuomboleza kifo cha adui yetu.
Binafsi nilifurahia sana kifo chake maana alisababisha kifo cha babu yangu kule kagera
Ukasome wewe unaekulupuka eti hotuba tawaliza, mmeenda Syria nyie wanafki wakubwa, anajua anaekuja ndie yule Yohana Mbatizaji alisema hastahili hata kulegeza gidamu za kiatu chake.
Umenena mkuu..hawa jamaa wame tu brainwash kabisa..wanataka wakilia tulie pamoja ila wakicheka wacheke wao pekeeHollywood kazini minafiki sana hiyo mijitu Obama ulishiriki kumuua Gaddafi bila kosa kapumzike ila najua tu Damu ya Gaddafi itakulilia hebu tazama Libya ulivyoigeuza kutoka mwamba mpaka imekuwa mchanga
Hawa watoto wa siku hizi hawajui lolote wamebaki kukurupuka tuGaddaffi alikuwa wa hovyo sana, tena mnafiski. Keki ya taifa alijiwekea yeye na familia yake, Wnanchi akiwatupia makombo na ukokko ambao watz wapumbavue wnasema alikuwa anawalisha bure. Upumbavue tu. Alikuwa na agenda yake ya siri ambayo bila shaka kuna genge la watu waliotuharibia nchi yetu ndicho kipaumbele chao hadi kesho.
Gaddafi alikuwa mpuuzi sana. Hiyo bendera ilipeperushwa nusu kwa sababu ya unafiki na mahusiano bianfsi lakini si kwa sababu ya utaifa. Mbona kifo cha Id amini hawakutuambia tupeperushe nusu? Id Amini na gadaffi walikuwa na lengo moja dhidi ya Africa kwa mitazamo tofauti.
Gadafi attabaki kuwa dui wa Tanzania kama alivyokuwa zandiki, nduli, fashisti, joka kuu, idi amini dada. Hakuna nyongeza.
Hawa watoto wa siku hizi hawajui lolote wamebaki kukurupuka tu
Follow

Ila mkuu tumeshachelewa sana, na hata tukianza sasa haita saidia sanaYaani nikizazi cha majuha kilichotengenezwa hapa katikati. Tunahitaji kuwa makini sana na aina ya watu tunaowapa nchi hasa itikadi na mitazamo yao kuhusu ELIMU!.
Ila mkuu tumeshachelewa sana, na hata tukianza sasa haita saidia sana
Eleza japo kidogo kilichokusukuma kulia na hotuba ya RaisNi hotuba ambayo hata mimi nililia ingawa si Mmarekani.
Amenena mengi mema.
Pole sana, kama unajua Gaddafi alikuwa mnafki na mzandiki, pole sana. Bado unafikilia Gaddafi alijilimbikizia mali, na tena alikuwa mrafi tena alikula vizuri wananchi akawapa makombo, kweli umeandika ukiongozwa na chuki binafsi. Narudia tena pole sana, ungekuwa mjinga ningekuelimisha, lakini kwa kuwa wewe ni mpumbavu nakuacha hivyo hivyo pole sana.Gaddaffi alikuwa wa hovyo sana, tena mnafiski. Keki ya taifa alijiwekea yeye na familia yake, Wnanchi akiwatupia makombo na ukokko ambao watz wapumbavue wnasema alikuwa anawalisha bure. Upumbavue tu. Alikuwa na agenda yake ya siri ambayo bila shaka kuna genge la watu waliotuharibia nchi yetu ndicho kipaumbele chao hadi kesho.
Gaddafi alikuwa mpuuzi sana. Hiyo bendera ilipeperushwa nusu kwa sababu ya unafiki na mahusiano bianfsi lakini si kwa sababu ya utaifa. Mbona kifo cha Id amini hawakutuambia tupeperushe nusu? Id Amini na gadaffi walikuwa na lengo moja dhidi ya Africa kwa mitazamo tofauti.
Gadafi attabaki kuwa dui wa Tanzania kama alivyokuwa zandiki, nduli, fashisti, joka kuu, idi amini dada. Hakuna nyongeza.
Alikuwa na nyege tu huyo...Eleza japo kidogo kilichokusukuma kulia na hotuba ya Rais
Ni hotuba ambayo hata mimi nililia ingawa si Mmarekani.
Amenena mengi mema.
Wameficha mengi kwenye mioyo yao.wazungu hua wana machozi mengi etii..?
Watu wajiulize ile ndege iliyodunguliwa na kamanda wa JWTZ ikiwa ktk harakati za kutua uwanja wa ndege entebbe ikiwa na shehena za silaha kwa ajili ya jeshi la nduli ..ilikuwa inatokea wapi? Who was supporting this..... Ndipo umsifie anayeitwa Gadafi.Gaddaffi alikuwa wa hovyo sana, tena mnafiski. Keki ya taifa alijiwekea yeye na familia yake, Wnanchi akiwatupia makombo na ukokko ambao watz wapumbavue wnasema alikuwa anawalisha bure. Upumbavue tu. Alikuwa na agenda yake ya siri ambayo bila shaka kuna genge la watu waliotuharibia nchi yetu ndicho kipaumbele chao hadi kesho.