Hongera mmiliki wa Kebby's hotel, Mwenge

Naamini huu uzi ni kati ya zile nyuzi za 2015 kurudi nyuma ambazo huwa zinafufuliwa kutoka wafu ili kuhamisha attention ya jamii kwa mujibu wa matukio ya wakati huo....anyway...
Hiyo kebbyz hotel ya sasahivi 2018 ni uchafu na takataka ukilinganisha na hukoooo miaka ya nyuma.
Tuendelee kufukua makaburi mpaka tukutane na mifupa yq uhusiano wa kimapenzi kati ya mmiliki na mkuu wa kaya hapooo kwenye magogo....tuzidi kufukua makaburi mpaka tukutane na mifupa ya uhalali na kipato cha mmiliki kama sio mzigo wa bwanake kwa wakati huo...
 
hahaaa hapo kwenye CCM umenivunja taya na MBAVU kabisaa..
sema hapo kwenye hela alizipata wapi hapo then aagghh mmh
hapo nahisi kunakitu unakilenga ngoja waje wana nzengo

ila hongera sana mmiliki wa kebys ..
 
Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.

Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.

Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Wenye akili wanatafuta na wao sio kuchimba wengine kinafiki, na ni tabia za watu maskini kubeza na kuchukia au kuchunguza kwa chuki waliofanikiwa. Kumbuka wakati wa Bakhressa kushikiliwa makontena kwa ajili ya kodi, watu walishangilia utafikiri watafanana
 
Naamini huu uzi ni kati ya zile nyuzi za 2015 kurudi nyuma ambazo huwa zinafufuliwa kutoka wafu ili kuhamisha attention ya jamii kwa mujibu wa matukio ya wakati huo....anyway...
Hiyo kebbyz hotel ya sasahivi 2018 ni uchafu na takataka ukilinganisha na hukoooo miaka ya nyuma.
Tuendelee kufukua makaburi mpaka tukutane na mifupa yq uhusiano wa kimapenzi kati ya mmiliki na mkuu wa kaya hapooo kwenye magogo....tuzidi kufukua makaburi mpaka tukutane na mifupa ya uhalali na kipato cha mmiliki kama sio mzigo wa bwanake kwa wakati huo...
usiniambie HALAFU KAMA NIMEWAHI KUSIKIA HIZI TETESI AISEE..mwaga nondo hizo mkuu
 
Uzi bila picha sawa na suruali bila boxer

Hahahahahahahaa umenifanya nipate taswira tango litavokuwa linapigwa mateke na mapaja wakati wa kutembea ndani ya suruali isiyo na boksa hahahahahahahahaa. Hapo uwe mita kadhaa unakuja Walaah macho yangu hayatabanduka kwenye maeneo hayo ya tango na nyanya chungu mbili hehehehehehehehee.

Yaani napata taswira inaenda kulia inarudi kushoto inaruka katikati kwenye zipu halafu kulia tena halafu kushoto aahahahahhahahahahahahahaaa

Aiseeh muwe mnasahau kuvaa boksa nipate raha ya kitizama inavodunda.
 
Hahaha,kesie tabu yote ya nini ,njoo uione ikiwa mubashara kabisa[emoji23] [emoji8]
 
Back
Top Bottom