Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Kumbe na wewe ni shuhuda ??, safiiiii, hii ndo TZ ya Viwanda bhana.Hotel nzuri sana kwa kweli.

Hahaha,kesie tabu yote ya nini ,njoo uione ikiwa mubashara kabisa[emoji23] [emoji8]
Ipo wapi ??.Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.
Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.
Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Utatumia pombe aibu ikutoke[emoji7]Hahahahahahhahaaa chungulia ina raha yake....
Mubashara ntaona aibu, raha ni pale ninapoiangalia kwa kuibia huku muda hautoshi heheheheh.
Kabula's hotelHotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.
Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.
Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
hahaaaa umenichekesha mnooo aiseeMmmmhhhhh,
Kwani sijipendi??
Nan amehongwa cheo kikubwa[emoji33] [emoji33]Ni kimada wa jamaa yetu. Usiingie kwenye ligi ya kuhonga. Jamaa yetu ni bingwa.
Ten percent zake ni za kuhonga tu. Haoni tabu kuhonga ghorofa au cheo kikubwa
hahaa unanisingizia sikwenda pale kwenye magogo kufuata wanawake mkuuNi kimada wa jamaa yetu. Usiingie kwenye ligi ya kuhonga. Jamaa yetu ni bingwa.
Ten percent zake ni za kuhonga tu. Haoni tabu kuhonga ghorofa au cheo kikubwa
duuuuhh Jamaa wame shakuunguza. aiseeHotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.
Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.
Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Hotel nzuri, usalama upo, huduma safi, ipo location nzuuurii kabiisa yaani sina hakika kama mmiliki wake ni Mtanzania au mgeni ila kama ni mtanzania kwa kweli tumpe hongera yake, kafanya poa sana. Hiyo ndiyo Tanzania ya viwanda tuitakayo.
Nimepapenda, najiuliza tu huyo mmiliki hela ya kujengengea alipata wapi? Agh labda atakuwa ni mfanyabiashara maana nina hakika sio mfanyakazi wa umma especially wa serikali ya CCM ambayo miaka nenda miaka rudi imekuwa inapata viongozi waadilifu na wanaopenda wanyonge.
Hongera sana mmiliki, ila jina lako halisi ni Kebi au Alkebi?
Haha kashapata alichokuwa anakitafuta!duuuuhh Jamaa wame shakuunguza. aisee
Nan amehongwa cheo kikubwa[emoji33] [emoji33]