Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,520
- 86,081
Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani.
Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi.
"Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa na @tanpol ambapo jeshi hilo halijawahi kuingilia mikutano ya chama hicho ya ndani ama ya nje lakini limekuwa likizuia mikutano ya vyama vya upinzani hata ambayo imefuata taratibu zote za kisheria".