Hongera Dar Mpya kwa kukemea "Double standard" ya Jeshi la Polisi

Riwaya ndefu ! Upuuzi mtupu..

Unaweza kujibu ni siasa gani hizo unazosema CCM wanazo zaidi ya kutegemea tume dhaifu ya uchaguzi na policcm kubaki madarakani?

CCM hii iliyojaa unafiki ya dikteta kuchapisha form moja na kisha kusema kapita bila kupingwa?

CCM hii hii iliyokataa chanjo na watu kupukutika January na February kwa wingi leo hii wanarudi kusema chanjo yafaa??

CCM ipi unayoizungumzia wewe?

CCM iliyoshindwa kuhoji Trillion 1.5 zilipotelea vipi kwenye ujenzi wa uwanja wa ndege chato ukiwa ni uwekezaji usio na kichwa wala miguu
View attachment 1924045

Stay on your lane please!
Sorry for my comments ,, I just discovered that I have jumped onto a sea of illiterates ,,
 
Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani.

Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi.

"Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa na @tanpol ambapo jeshi hilo halijawahi kuingilia mikutano ya chama hicho ya ndani ama ya nje lakini limekuwa likizuia mikutano ya vyama vya upinzani hata ambayo imefuata taratibu zote za kisheria".

Huu ndio weledi wawatawala, vyombo vya dola, na vyombo vingine saidizi Bila kuvitaja kwa majina yao. Huu ni aina mpya ya weledi wa kitanzania, mtanzania yeyote mwenye akili timamu yafaa aukemee weledi huu mpya katika taifa letu. Kwa maslahi mapana ya taifa, na vizazi vijavyo.
 
Sorry for my comments ,, I just discovered that I have jumped onto a sea of illiterates ,,
I'm for justice , no matter who it is for or against .

I am human being at first and foremost and such I'm for whoever and whatever benefits humanity as whole!
 
CCM imefika mwisho.

Baadhi ya haya matukio zikiwemo hizi picha, zitakuja ku-appear katika vitabu na maandiko mengine yatayokuwa yanasimulua historia ya mapambano ya kudai katiba mpya.

Watu makini watapima kama itakuwa ni historia nzuri kwa wao kuja kutajwa katika vitabu vya aina hii au hata sura zao kuchapishwa katika maandiko au vitabu vya aina hiyo.

Pia, tusishangae kuona hii Blog inaanza kuandamwa badala ya wahusika kutafakari ujumbe huu.
ICC
 
Guinea wanaume wamefanya yao siyo hapa hata Ali Hapi anawaamuru JWTZ wafanye kazi ya CCM.
 
Back
Top Bottom