Holiday Greetings, Tuma salaam

Holiday Greetings, Tuma salaam

Salamu zangu za dhati kutoka ndani ya uvungu wa moyo wangu nazirudisha kwako Mr Rocky.....nitakuwa mchoyo wa salaam kama nikimsahau best yangu kipenzi Mafikizolo.......nitakuwa mjinga kupindua kama nitawasahu dada zangu wa hiari Khantwe miss neddy Madam B ladyfurahia masai dada ............ngoja nikale kwanza nitakuja kumalizia wengine ugali unapoa......

Asante mpendwa KikulachoChako, nami nakutakia mwaka mpya wa 2015 wenye baraka na amani tele.
Asante.
Merry Xmasss & Happy New year.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Asante mume wangu kipenzi MO11....nakupenda sana mpenzi pia nampenda sana wifi yangu Khantwe.
Nami nitakuwa mchoyo wa fadhila endapo sitawatakia sikukuu njema wale waliokuwa wapenzi na waume zangu wa zamani.
Ruhazwe JR, Remote, Ben Saanane, Sumu, Arushaone, chili, Chimbuvu, Ruttashobolwa, Kimbweka....na niliowasahau.

Waume zangu wa sasa kule JLW, Shark na bacha
Pia napenda umtambue mpinzani wako mkuu TANMO....mume wangu huyo.

Wote hawa nawatakia mwaka mpya wa 2015 wenye mafanikio mema.
N.B
MO11 mume wangu naomba utambue mahawara hawaachani
..
Asante my wifi nakupenda sana...na ili nikupende zaidi zawadi ya krismas inahusika
 
Last edited by a moderator:
Hebu acha kubishana na sisteri wangu wewe ni wa mimi

Naomba uniambie, tuko wangapi kabla sijachukua maamuzi mazito dhidi yako mume wangu...maana naona unakenua meno na mamaafacebook tangu kuleeee juu.
Naomba jibu haraka
 
Last edited by a moderator:
wife hujambo mama?
nimekumiss mpaka moyo unauma yaani.
hivi huyu Khantwe ni wifi yako kwangu au kwa kaka yako?

Mie sijambo mume wangu kipenzi TANMO....
Nami nimekumiss balaa.
.... Mume wangu, samaki ukimchunguza sana hutamla baby, haya ya kuulizana tuyaache.
Huamini kama nakupenda?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom