Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Mhh bwebe wangu weee.. Ruttashobolwa yuko busy na act huko yaani hata hakumbuki kama akanana wake yuko pande hii.. Kanisusia kabisa nimebaki mwenyewe kwako..
Halafu wewe Paloma..! Unafanya nini nae hapo..? Siku hizi unawanigleti watoto wangu sana ujue..! Nitawabeba na kuwapeleka kwa step mom wao Passion Lady.. Wewe hayaaaa..
wapeleke tu .....naye akaonje ulezi wa mapacha uko vipi na pia wamfahamu,,,,,,,,,,,,,,,,,