Holiday Greetings, Tuma salaam

Holiday Greetings, Tuma salaam

nipe hyo ya twi namjua au na pale we acha tu kwa kuwa mie nna moyo ila ningekipiga kile kizee chako kinakufuata mpaka chooni mmamae

Hayo ndo mambo ya abiria chunga mzigo wako.
We mwenyewe unaonaga kila mtu ananitolea macho, halafu aniachie tu kimasikhara...
Uzee unauona wewe....kwangu yule ni zaidi ya pangaboi.
Kumbe una wivu eeeeee....
 
Marahaba mtoto wangu wa kambo BATTO nashukuru sana kama uko salama na nikutakie msimu mwema wa sikukuu na ucheze kwa usalama aise maana kuna miiba na magugu mengi barabarani[/QUOTE]

Apo kwenye miiba Baba umelenga sasa na mimi nataka raba la kupanda na suruali ya mchelemchele na shati la bahama...ili sikukuu tukaangalie sinema na marafiki zangu..,
 
Back
Top Bottom