Holiday Greetings, Tuma salaam

Holiday Greetings, Tuma salaam

Last edited by a moderator:
Msimu wa salam
Naomba nisitaje wing wala nini ila mchanganyiko maalumu wa watu
Nikianza na mtuma salam mkuu Arushaone na wenzake akina Erickb52 (mwambie aliyekuficha akupe japo nafasi ya kusalimia), kiwatengu (pitia badi hata kijiweni upate banana baridi aise), PakaJimmy, Crashwise, Blaki Womani, Preta (safari hii dareda tunaenda wote aise ), amu, ladydoctor (umepotea sana siku hizi) sweetlady, mwalimu wangu gfsonwin, lilyflower, Kaunga, King'asti (umemficha sana Paw aise) Lizzy (umepotea sana)
Binamu zangu ladyfurahia, Madame B, Evelyn Salt, Heaven on Earth (mwambie grafani11 awe anatembelea na huku na salam awe anatoa) , miss chagga (aise we mchepuko wangu usimalize pesa zote sikukuu bado aise ) miss neddy (huvi kukuambia nakumiss ni kosa aise), Khantwe (Ntuzu mwambie namsalimia na kumtakia sikukuu njema)
Marafiki zangu wa ukweli BAK (mkuu heshima kwako na endelea na moyo huo huo) , Tized (dah kile kimbuzi kimekata kamba kikatoroka aise sasa sijui tunafanyaje), utafiti (nasubiri kadi aise ya ile mambo yetu), kabanga (we wala sihitaji kusema mengi unajua viwanja vyetu aise ila kuwa makini sana), Kibo10 (aise huonekani bana), Himidini (aise asante sana kunikumbusha na naisubiri sana ahadi yangu), mwekundu na Mentor (chezeni salama aise tukutane tena hapa January mwakani) MO11 na mshana jr (salam nyingi sana kwenu pamoja na Tyta muendeleze jukwaa la mavitu kule aise) The Finest na AshaDii mmekuwa bidhaa adimu sana sijui mmepotelea wapi aise, baba paroko Eiyer (sijui kama kundi liko salama) Mashaxizo na Excel salam nyingi sana kwenu. Mamndenyi sijakusahau mtalaka wangu. SnowBall na snowhite mmepotea sana sijui hizo snow mwanzo wa majina yenu zimeyeyuka. christine ibrahim salam zenu sana. Mkuu Asprin msalimie pia na babu yetu Dark City popote alipo na sijui Bishanga ndo kapotea kabisa jukwaani. Kaizer hivi bado uko mjini au Nicas Mtei kashakupeleka chaka aise. charminglady usisahaulike kwenye salam bana. OLESAIDIMU popote ulipo pokea salam mkuu. BATTO salama mkuu. Mafikizolo salam nyingi mkuu na mamafacebook usinisahau pia. watu8 nafikiri mwakani familia itakuwa watu9 na sio watu8 tena. Mtambuzi tumekosa sana story zako za uchambuz. Mndengereko usipotelee hivyo kijijini njoo na mjini bana. Viol na wewe usipotee hivyo bana. Honey Faith upo dear pamoja sana na KikulachoChako. afrodenz na FirstLady1 sherehekeeni salama pia. Chocs umemficha sana Erickb52 na Blue G upo salama aise msalimie na mwallu na asakuta same na everlenk

Nisimsahau mke wangu pekee humu ndani Dena Amsi ajue nampenda sana licha ya kuwa na mchepuko miss chagga niko nae daima kama mke halali
Na wengine wote ambao sitaweza kuwataja nawatakia kila jema katika msimu huu wa sikukuu na tusherehekee kwa amani na kwa umakini wa hali ya juu.
 
Last edited by a moderator:
msimu huu hakuna ile ya party za wings kama mwaka jana ? naona kimya watu wako kwenye maandalizi ya uchaguzi nini au?
Nawapenda sana. Salaam zangu za upendo Kwa JF Arusha Wing, JF Dar Wing, JF Mwanza Wing, JF Tanga Wing, JF Dodoma Wing, JF Mbeya Wing, JF Diaspora, JF Headquarters na wings zooote pamoja na individuals.

Nawatakia sherehe zenye upendo na AMANI mwaka mpya we ye mafanikio.

Amen.
 
Salamu zangu natuma kwa wafuatao@mamaafacebook,miss neddy@miss chagga@hevean sent@honey faith The Boss junior.cux@mentor Kikulchochako@Asprin Khantwe watu8 Tyta team picha MO11 Heaven on Earth@tized mshana jr my kaka@kaizer@mtambuzi utafiti nawengine wrote na watakia kheri ya Christmas na mwaka mpya,kheri na baraka tele nawapenda @mleta thread pia salamu zikufikie pamoja na Viol,Mr rock,na Shy land

Seasons%20greetings%20and%20best%20wishes%20for%202011.jpg
 
Hizi salamu zangu kwanza kwa wake zangu AshaDii gfsonwin na DEMBA. Kisha nawatakia unywaji wa afya sikukuu hii Fidel80 Teamo Bigirita RR MwanajamiiOne Asprin KakaKiiza amu Khantwe ladyfurahia

Nawatakia sikukuu njema le mabebz wote wa hapa MMU wakiongozwa na super le mbebz masai dada, miss neddy kichunafk sister ICHANA mamaafacebook Ennie Eshy m.s Kim nana Honey Faith Evelyn Salt Husninyo Preta farkhina na super le mutindiz wote.

Bila kuwasahau ma super men wa hapa kina utafiti Tyta mnengereko Dark City mzee mwenzangu wa mwaka 47 moto ni ule ule, Arushaone Mzee wa Rula PakaJimmy Filipo asakuta same na wengineo.

Walimu wangu snowhite na Madame B nawakumbuka sana mwaka.kesho ntaanza form one.

Aksante sana mkuu Kaizer , itabidi nije Dom tukapate kitoweo mnadani.
Heri njema ya msimu wa sikukuu.
 
Last edited by a moderator:
Msimu wa salam
Naomba nisitaje wing wala nini ila mchanganyiko maalumu wa watu
Nikianza na mtuma salam mkuu Arushaone na wenzake akina Erickb52 (mwambie aliyekuficha akupe japo nafasi ya kusalimia), kiwatengu (pitia badi hata kijiweni upate banana baridi aise), PakaJimmy, Crashwise, Blaki Womani, Preta (safari hii dareda tunaenda wote aise ), amu, ladydoctor (umepotea sana siku hizi) sweetlady, mwalimu wangu gfsonwin, lilyflower, Kaunga, King'asti (umemficha sana Paw aise) Lizzy (umepotea sana)
Binamu zangu ladyfurahia, Madame B, Evelyn Salt, Heaven on Earth (mwambie grafani11 awe anatembelea na huku na salam awe anatoa) , miss chagga (aise we mchepuko wangu usimalize pesa zote sikukuu bado aise ) miss neddy (huvi kukuambia nakumiss ni kosa aise), Khantwe (@ntuzu mwambie namsalimia na kumtakia sikukuu njema)
Marafiki zangu wa ukweli BAK (mkuu heshima kwako na endelea na moyo huo huo) , Tized (dah kile kimbuzi kimekata kamba kikatoroka aise sasa sijui tunafanyaje), utafiti (nasubiri kadi aise ya ile mambo yetu), kabanga (we wala sihitaji kusema mengi unajua viwanja vyetu aise ila kuwa makini sana), Kibo10 (aise huonekani bana), Himidini (aise asante sana kunikumbusha na naisubiri sana ahadi yangu), mwekundu na Mentor (chezeni salama aise tukutane tena hapa January mwakani) MO11 na mshana jr (salam nyingi sana kwenu pamoja na Tyta muendeleze jukwaa la mavitu kule aise) The Finest na AshaDii mmekuwa bidhaa adimu sana sijui mmepotelea wapi aise, baba paroko Eiyer (sijui kama kundi liko salama) Mashaxizo na Excel salam nyingi sana kwenu. Mamndenyi sijakusahau mtalaka wangu. SnowBall na snowhite mmepotea sana sijui hizo snow mwanzo wa majina yenu zimeyeyuka. christine ibrahim salam zenu sana. Mkuu Asprin msalimie pia na babu yetu Dark City popote alipo na sijui Bishanga ndo kapotea kabisa jukwaani. Kaizer hivi bado uko mjini au Nicas Mtei kashakupeleka chaka aise. charminglady usisahaulike kwenye salam bana. OLESAIDIMU popote ulipo pokea salam mkuu. BATTO salama mkuu. Mafikizolo salam nyingi mkuu na mamafacebook usinisahau pia. watu8 nafikiri mwakani familia itakuwa watu9 na sio watu8 tena. Mtambuzi tumekosa sana story zako za uchambuz. Mndengereko usipotelee hivyo kijijini njoo na mjini bana. Viol na wewe usipotee hivyo bana. Honey Faith upo dear pamoja sana na KikulachoChako. afrodenz na FirstLady1 sherehekeeni salama pia. Chocs umemficha sana Erickb52 na Blue G upo salama aise msalimie na mwallu na asakuta same na everlenk

Nisimsahau mke wangu pekee humu ndani Dena Amsi ajue nampenda sana licha ya kuwa na mchepuko miss chagga niko nae daima kama mke halali
Na wengine wote ambao sitaweza kuwataja nawatakia kila jema katika msimu huu wa sikukuu na tusherehekee kwa amani na kwa umakini wa hali ya juu.

happy-holidays-animated-gif-2.gif
mr-r-73375770.jpg
 
Hahahaha Mr Rocky asante sana brother wewe na kabanga mnanidai, mnanidai kuwafanyia wema sana mpaka nilipe ule wema wenu....
utafiti uwe na amani mkuu tunaloombea ni kola la kheri katika mipango yako na Mungu akatangulie katika yote

Mr Rocky thank u ........ Na wewe pia nikutakie sikukuu njema ila huyo miss chagga naomba sikukuu hii usimpe nafasi ya kutoka aniwache nipumue na mume wangu
miss chagga akiwa na cash hana makeke ila ole wake mfuko upungue utamtaka aise atazunguka kila kijiwe kusala pesa
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky aksante sana, ningekuwa arusha ningekuja kula mbuzi wa X-mass.
Ila naomba nikudai hiyo kitu na mvinyo kidogo.
Kuwa na msimu mzuri wa hizi sikukuu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
salamu spesheli ziende kwa mke wangu wa kwanza Madame B
na michepuko yangu yote miss chagga japo anajifanya hanioni
AmKATRINA huyu ndio hadi nakaribia kumsahau sura yake
Na wengine ambao wapo njiani
miss neddy japo utafiti anabana ila ataachia tu
tinna cute huyu nitamuelezea kwa urefu
masai dada ile zawadi yako nakuwekea kwenye freezer kama ulivyoniambia

sister Khantwe wewe utachagua yupi uanze kumuita wifi ila usijali ni maendeleo madogo tu
Mafikizolo kiukweli mpaka leo napata tabu kugundua jinsia yako ukipenda niambie
mamaafacebook toto la kidigo hili aliyenichinjia baharini
shemejiiii zima taa Evelyn Salt
Tumboo popote ulipo.
Mke mwema Matege popote ulipo hata kama hunipendi mimi nakupenda
sister christine ibrahim hunajunalika ila nitakuja hivyo hivyo

#team pichazzz
mshana jr
Mr Rocky
utafiti
HARUFU
Tyta
muhuni tee_bag
watu8

bila kuwasahau #team _Aibu_Naona_Mimi

list itaongezeka hii
 
Last edited by a moderator:
MO11 asante nimepokea salamu kuhusu miss neddy kama hela za escrow zitarudi basi atakua wako ila kama tunaekea kuzisahau basi inabidi umsahau pia.....
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky aksante sana, ningekuwa arusha ningekuja kula mbuzi wa X-mass.
Ila naomba nikudai hiyo kitu na mvinyo kidogo.
Kuwa na msimu mzuri wa hizi sikukuu mkuu.
asakuta same hilo naliweka kwenye kumbukumbu muda wowote kariubu mkuu na mbuzi utapata na kilainishi cha huiyo mbuzi mkuu
Asante sana kwa salam hizo na Aliye juu atutangulie wote kuweza kuumaliza msimu huu salama.

kaka kaka..... Mungu na apokee maombi yetu

Asante sana mkuu utafiti na kila la kheri likawe katika mipango yako na ukauone wepesi katika kila ufanyalo mkuu.
 
Last edited by a moderator:
salamu spesheli ziende kwa mke wangu wa kwanza Madame B
na michepuko yangu yote miss chagga japo anajifanya hanioni
AmKATRINA huyu ndio hadi nakaribia kumsahau sura yake
Na wengine ambao wapo njiani
miss neddy japo utafiti anabana ila ataachia tu
tinna cute huyu nitamuelezea kwa urefu
masai dada ile zawadi yako nakuwekea kwenye freezer kama ulivyoniambia

sister Khantwe wewe utachagua yupi uanze kumuita wifi ila usijali ni maendeleo madogo tu
Mafikizolo kiukweli mpaka leo napata tabu kugundua jinsia yako ukipenda niambie

#team pichazzz
mshana jr
Mr Rocky
utafiti
HARUFU
Tyta
muhuni @tea_bag
watu8

bila kuwasahau #team _Aibu_Naona_Mimi

list itaongezeka hii

christmas_comment_graphic_02.gif
mr_mo_logo.png
images
 
asakuta same hilo naliweka kwenye kumbukumbu muda wowote kariubu mkuu na mbuzi utapata na kilainishi cha huiyo mbuzi mkuu
Asante sana kwa salam hizo na Aliye juu atutangulie wote kuweza kuumaliza msimu huu salama.

Asante sana mkuu utafiti na kila la kheri likawe katika mipango yako na ukauone wepesi katika kila ufanyalo mkuu.

Kaka nafurahi sana...
 
Last edited by a moderator:
salamu spesheli ziende kwa mke wangu wa kwanza Madame B
na michepuko yangu yote miss chagga japo anajifanya hanioni
AmKATRINA huyu ndio hadi nakaribia kumsahau sura yake
Na wengine ambao wapo njiani
miss neddy japo utafiti anabana ila ataachia tu
tinna cute huyu nitamuelezea kwa urefu
masai dada ile zawadi yako nakuwekea kwenye freezer kama ulivyoniambia

sister Khantwe wewe utachagua yupi uanze kumuita wifi ila usijali ni maendeleo madogo tu
Mafikizolo kiukweli mpaka leo napata tabu kugundua jinsia yako ukipenda niambie
mamaafacebook toto la kidigo hili aliyenichinjia baharini
shemejiiii zima taa Evelyn Salt
Tumboo popote ulipo.

#team pichazzz
mshana jr
Mr Rocky
utafiti
HARUFU
Tyta
muhuni tee_bag
watu8

bila kuwasahau #team _Aibu_Naona_Mimi

list itaongezeka hii
MO11 mie ni KE
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom