Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,444
wooow asante Madame B kwa kunikumbuka aisee nazan inshaalah nkifanikiwa kufika mwakan itabd tupige shoo moja ya kusameheana kwa yote ili hata mungu aeze pokea msamaha wetu kwa dhati hata kama ataandika dhambi lakn atajua tumesameheana toka moyoni ili uendelee kukaa lidaz kwa moyo safi
Mhhhhh.....huko Arusha, nalia mimi.
Halafu juzi pale Twi kulikuwa na fumanizi moja hatari...mbona ulikosa uhondo....yaani full aibu.
Tukijaaliwa kufikawaka mpya salama itabidi kweli tutafutane ili tukumbukane.
Last edited by a moderator: