Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,626
Jamaniiii nashukuru kwa salam mumie
Your welcome mumy
Jamaniiii nashukuru kwa salam mumie
i wish you....umerudi town hata kunitafuta?jamani umenitendea sio sawa kabisaaaaMerry krismasssssss!!!!!!
safi sana kumbee...!!
you too dear friend asante kwakukumbuka uwepo wangu japo nimepotea (not active that much) ila umenikumbuka
karibu tusherehekee mimi ntaelekea nje ya tanzania
condom zinasaidia hadi wale...wameuona mwaka?
salam zimfikie kiwatengu sambamba na mkewe shansarie, MziziMkavu 1st AID I miss u so much.............!! Asprin tuanze ukurasa upya....aahhha lol..... mjukuu wangu Honey Faith nakupenda sana Khantwe popote ulipo zikufikie Mentor hope huko uliko salam umezipata Mafikizolo mumie salam hizoooooooooooooo leo tunajiexpress na salam tu HARUFU Ntuzu nimekumiss warumi binamuuuuuu kabanga pokea salam zangu
na wewe mtoa uzi pia salam za kukutakia mwaka mpya na heri ya krismas zikfikie
wenu
mamaafacebook
Chocs asante sana aise nitakaribia bana mimi nakunywa kistaarabu chupa tano kwa dakika moja hapo si kistaarabu kabisa erick b52 mpe muda kidogo aise aje aione dunia maana amefichwa mno
Saccos yangu ipo aise ila inakopesha wadada tuu
Blue G asante sana na wewe pia iwe kwako kama ulivyoomba na kutegemea
Chocs asante sana aise nitakaribia bana mimi nakunywa kistaarabu chupa tano kwa dakika moja hapo si kistaarabu kabisa erick b52 mpe muda kidogo aise aje aione dunia maana amefichwa mno
Saccos yangu ipo aise ila inakopesha wadada tuu
Blue G asante sana na wewe pia iwe kwako kama ulivyoomba na kutegemea
Nilikumiss my dear, hope u are duin well
Mkuu nikiwa nakimbia kwa miguu au ??
Msimu wa salam
Naomba nisitaje wing wala nini ila mchanganyiko maalumu wa watu
Nikianza na mtuma salam mkuu Arushaone na wenzake akina Erickb52 (mwambie aliyekuficha akupe japo nafasi ya kusalimia), kiwatengu (pitia badi hata kijiweni upate banana baridi aise), PakaJimmy, Crashwise, Blaki Womani, Preta (safari hii dareda tunaenda wote aise ), amu, ladydoctor (umepotea sana siku hizi) sweetlady, mwalimu wangu gfsonwin, lilyflower, Kaunga, King'asti (umemficha sana Paw aise) Lizzy (umepotea sana)
Binamu zangu ladyfurahia, Madame B, Evelyn Salt, Heaven on Earth (mwambie grafani11 awe anatembelea na huku na salam awe anatoa) , miss chagga (aise we mchepuko wangu usimalize pesa zote sikukuu bado aise ) miss neddy (huvi kukuambia nakumiss ni kosa aise), Khantwe (Ntuzu mwambie namsalimia na kumtakia sikukuu njema)
Marafiki zangu wa ukweli BAK (mkuu heshima kwako na endelea na moyo huo huo) , Tized (dah kile kimbuzi kimekata kamba kikatoroka aise sasa sijui tunafanyaje), utafiti (nasubiri kadi aise ya ile mambo yetu), kabanga (we wala sihitaji kusema mengi unajua viwanja vyetu aise ila kuwa makini sana), Kibo10 (aise huonekani bana), Himidini (aise asante sana kunikumbusha na naisubiri sana ahadi yangu), mwekundu na Mentor (chezeni salama aise tukutane tena hapa January mwakani) MO11 na mshana jr (salam nyingi sana kwenu pamoja na Tyta muendeleze jukwaa la mavitu kule aise) The Finest na AshaDii mmekuwa bidhaa adimu sana sijui mmepotelea wapi aise, baba paroko Eiyer (sijui kama kundi liko salama) Mashaxizo na Excel salam nyingi sana kwenu. Mamndenyi sijakusahau mtalaka wangu. SnowBall na snowhite mmepotea sana sijui hizo snow mwanzo wa majina yenu zimeyeyuka. christine ibrahim salam zenu sana. Mkuu Asprin msalimie pia na babu yetu Dark City popote alipo na sijui Bishanga ndo kapotea kabisa jukwaani. Kaizer hivi bado uko mjini au Nicas Mtei kashakupeleka chaka aise. charminglady usisahaulike kwenye salam bana. OLESAIDIMU popote ulipo pokea salam mkuu. BATTO salama mkuu. Mafikizolo salam nyingi mkuu na mamafacebook usinisahau pia. watu8 nafikiri mwakani familia itakuwa watu9 na sio watu8 tena. Mtambuzi tumekosa sana story zako za uchambuz. Mndengereko usipotelee hivyo kijijini njoo na mjini bana. Viol na wewe usipotee hivyo bana. Honey Faith upo dear pamoja sana na KikulachoChako. afrodenz na FirstLady1 sherehekeeni salama pia. Chocs umemficha sana Erickb52 na Blue G upo salama aise msalimie na mwallu na asakuta same na everlenk
Nisimsahau mke wangu pekee humu ndani Dena Amsi ajue nampenda sana licha ya kuwa na mchepuko miss chagga niko nae daima kama mke halali
Na wengine wote ambao sitaweza kuwataja nawatakia kila jema katika msimu huu wa sikukuu na tusherehekee kwa amani na kwa umakini wa hali ya juu.
Salam zimfikie woote watakaopitia uzi huu
Nawatakia kheri na fanaka katika msimu huu
Thank you Mr Rock
thanks much kwa kunikumbuka,nakutakia x-mass njema na heri ya mwaka mpya usisahau kualikana kwa pilau.Salamu zangu natuma kwa wafuatao@mamaafacebook,miss neddy@miss chagga@hevean sent@honey faith The Boss junior.cux@mentor Kikulchochako@Asprin Khantwe watu8 Tyta team picha MO11 Heaven on Earth@tized mshana jr my kaka@kaizer@mtambuzi utafiti nawengine wrote na watakia kheri ya Christmas na mwaka mpya,kheri na baraka tele nawapenda @mleta thread pia salamu zikufikie pamoja na Viol,Mr rock,na Shy land
Salamu zangu za dhati kutoka ndani ya uvungu wa moyo wangu nazirudisha kwako Mr Rocky.....nitakuwa mchoyo wa salaam kama nikimsahau best yangu kipenzi Mafikizolo.......nitakuwa mjinga kupindua kama nitawasahu dada zangu wa hiari Khantwe miss neddy Madam B ladyfurahia masai dada ............ngoja nikale kwanza nitakuja kumalizia wengine ugali unapoa......