Holiday Greetings, Tuma salaam

Holiday Greetings, Tuma salaam

Yule shoga angu...we subiri aje nimpe mipango mikakati....tena nikudokezee "dawa yako limbwata tuuu"



Hahahaaaa mtaniua jamani na Hilo limbwata! Yani ukinipa limbatwa na kzn nakua siendi nakaa ndani tutizamane tu!
 
Hahahaaaa mtaniua jamani na Hilo limbwata! Yani ukinipa limbatwa na kzn nakua siendi nakaa ndani tutizamane tu!

Sa we endelea kujishaua...Tena ntampeleka kwa MziziMkavu ampe limbwata la mjusi....hehehee ukichomoka hapo labda uwe chizi...

Kama unabisha muulize MziziMkavu akupe habari za hilo limbwata...
 
Last edited by a moderator:
Kaka!! asante sana i will passby ila itabidi nibadillishe kinywaji..
Huu msimu ni wa mbege baridi..

Heri ya Christmas na mwaka mpya!!

hahahaha sawa mkuu kiwatengu asante sana na karibu sana mji jirani hapa aise
C6 asante sana mkuu nikija mwanza aise nitakutafuta sana na msalimie sana charminglady
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa na kumtsha mtu mzima nyau jApo sijatizama video

Hayaaa weee...Mie Nina neno kwani?

Ila kumbuka mpambe nuksi kuliko mwenye Mali...Me ndo ntakuwa nakwambia "Mama Fb kalia chupaa" huku Khantwe anakunyoaa...
 
Last edited by a moderator:
Hayaaa weee...Mie Nina neno kwani?

Ila kumbuka mpambe nuksi kuliko mwenye Mali...Me ndo ntakuwa nakwambia "Mama Fb kalia chupaa" huku Khantwe anakunyoaa...

Hahahahaaaa....kalia bwana...chupa si kama nanihii tu??
 
Last edited by a moderator:
Nawatakia sikukuu njema zenye upendo na Amani member wote wa jf especially MMU , siasa, chit chat, jlw , siasa na salam za kipekee kwa wale wote tulioungana kwa dhati kupinga dhuluma katika bunge la katiba na wizi wa escrow.
Nb; kwa yoyote atakayechinja beberu na kuweka mvinyo sikukuu hizi PM yangu ipo wazi kwao.
Shukrani.

Najua hapo kwenye jukwaa la wakubwa nipo.
Asante sana shemeji kula....
 
Salamu zangu ziwaendee mumy & daddy measkron , watu8 nashukuru kwa hekima zao kwa busara za kwa onyo zao hasa daddy kuna wakati alinikana lakini baadaye akanirudia mwanawe na kunisamehe kwa vituko nilivyomfanyia si unajua atena tunaoishi na madaddy karibu full kudeka,



Sitawasahau ndugu zangu wa ukweli waliofanya baraka na furaha kwangu kuwapa salamu za sikukuu njema na mwaka mpya mwema nao ni Passion Lady, charminglady na mumewe C6 , Lady doctor na mumewe Arushaone, sweetlady WiseLady, FirstLady1 na Focuslady Mungu awe nanyi awape baraka tele



Siwezi kuwa mwingi wa fadhila kuwakumbuka hawa wafuatao hasa mume wangu muuza ubuyu, mke mwenza Khantwe,




Marafiki wa karibu sana nami Ntuzu, kabanga, Mamndenyi, Mtambuzi, Paloma, Heaven on Earth, sister, mwallu, mshanajr, stevoh, KakaKiiza, MANI, Madame B, AshaDii, Mphamvu, Chabruma, Kaizer, miss neddy, Munkari, (ILA HUYU BABU MMMHM Asprin ODM,) madame X, Excel, miss chagga na wale w0te wanaofuatilia thread zangu humu mjengoni na kukoment kwa ujumla nawatakia siku kuu njema na mwaka mpya mwema Mungu awalinde na kuwabarikia na kuwaongezea mkose nafasi ya kuiviweka vingine.

Asante sana mpenzi ladyfurahia kwa salamu zako za upendo kwangu.
Nawe nakutakia mafanikio mema kwa mwaka ujao wa 2015.

Merry Xmas & Happy New year my dear.
 
Last edited by a moderator:
Hizi salamu zangu kwanza kwa wake zangu AshaDii gfsonwin na DEMBA. Kisha nawatakia unywaji wa afya sikukuu hii Fidel80 Teamo Bigirita RR MwanajamiiOne Asprin KakaKiiza amu Khantwe ladyfurahia

Nawatakia sikukuu njema le mabebz wote wa hapa MMU wakiongozwa na super le mbebz masai dada, miss neddy kichunafk sister ICHANA mamaafacebook Ennie Eshy m.s Kim nana Honey Faith Evelyn Salt Husninyo Preta farkhina na super le mutindiz wote.

Bila kuwasahau ma super men wa hapa kina utafiti Tyta mnengereko Dark City mzee mwenzangu wa mwaka 47 moto ni ule ule, Arushaone Mzee wa Rula PakaJimmy Filipo asakuta same na wengineo.

Walimu wangu snowhite na Madame B nawakumbuka sana mwaka.kesho ntaanza form one.

Asante sana mwanafunzi wangu mtukutu Kaizer, naomba mwaka ujao uwe pole darasani.
Asante kwa salmu zako zilizojaa unono kwa walimu wako.
Nami nakutakia mwaka mpya 2015 wenye mafanikio lukuki.

Njoo tu darasani, Ila usisahau ada.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom