Sokomoko
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,915
- 127
Kuna haja ya kuwaelimisha watu, lakini sidhani kama hawajui wayatendayo ila ninaona watu waliojaa makusudi na kufanya watu mataahira. JF imejaa watu wa hovyo sana hawa wenzetu wanalipwa!Tena msidhani wanalipwa pesa nyingi wanalipwa pesa mbuzi!wanalipwa na watu wenye million dollars nje!
Hawa watu kama Kada mpinzani eng Mohamed ni watu makhsusi wanakundi lao humu ni kubwa lakini naamini hawawezi kujibu hoja kwa hoja.
Alichokisema Mzee Mwanakijiji kwa mtu yoyote mwenye akili anatakiwa asikurupuke na kujibu Kiccm ccm! kama anavyojibu Chiligati kuhusu Chenge na million dollar zake!
Imefikia watu wanatisha wenzao humu kwenye JF mie jana nimeambiwa na mhe eng Mohamed "kijana umeshawahi kunywa/kula shurba na bokoboko?" Kwenye forum ya ukistaajabu ya edward lowassa utaona ya amani karume.Kwa kuwa nilikuwa bingwa wa somo la kiswahili hasa fasiri nilijua hii ilikuwa ni lugha ya vitisho dhidi yangu shurba aliyoizungumzia mheshimiwa ilikuwa shurba tufauti na lile bokoboko ni mboko sasa sijui hawa watu hawajui kama wakubwa zao kichama hao waliowatuma pia ni wanaJF? Ipo siku mtazimia mkijua Sokomoko ni mtu mkubwa ndani ya Chama.
Tafadhalini sana ndugu zanguni muwache utoto kama huna hoja usichangie kitu msituharibie tukaonekana watu wa hovyo!
Ile lugha ya Mzee Mwanakijiji imekaa kifasihi ni fumbo lifumbueni! Ushemeji wa viongozi ni mbaya!ni ufisadi! wanaoleana ili walindane ahhh si shemeji yangu bwana siwezi kumtosa.
Nani humu kwenye JF anaweza kumtosa shemeji yake? mume wa dada yako! yaani hilo panda ukali wake mpaka dada yako atausikia na moyoni atasononeka yaani kaka yangu toka nitoke anamfanyia baba wa wanangu hivi?anataka wapwa wake wadhalilike?
Acheni kuchachafya watu bila ya hoja! acheni vitisho! Shurba na bokoboko mtalinywa na kulila nyie mnaonunuliwa kwa pesa za ufisadi.