Hold on a minute! Mtu na shemeji yake

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
1,195
Kuna haja ya kuwaelimisha watu, lakini sidhani kama hawajui wayatendayo ila ninaona watu waliojaa makusudi na kufanya watu mataahira. JF imejaa watu wa hovyo sana hawa wenzetu wanalipwa!Tena msidhani wanalipwa pesa nyingi wanalipwa pesa mbuzi!wanalipwa na watu wenye million dollars nje!

Hawa watu kama Kada mpinzani eng Mohamed ni watu makhsusi wanakundi lao humu ni kubwa lakini naamini hawawezi kujibu hoja kwa hoja.

Alichokisema Mzee Mwanakijiji kwa mtu yoyote mwenye akili anatakiwa asikurupuke na kujibu Kiccm ccm! kama anavyojibu Chiligati kuhusu Chenge na million dollar zake!

Imefikia watu wanatisha wenzao humu kwenye JF mie jana nimeambiwa na mhe eng Mohamed "kijana umeshawahi kunywa/kula shurba na bokoboko?" Kwenye forum ya ukistaajabu ya edward lowassa utaona ya amani karume.Kwa kuwa nilikuwa bingwa wa somo la kiswahili hasa fasiri nilijua hii ilikuwa ni lugha ya vitisho dhidi yangu shurba aliyoizungumzia mheshimiwa ilikuwa shurba tufauti na lile bokoboko ni mboko sasa sijui hawa watu hawajui kama wakubwa zao kichama hao waliowatuma pia ni wanaJF? Ipo siku mtazimia mkijua Sokomoko ni mtu mkubwa ndani ya Chama.

Tafadhalini sana ndugu zanguni muwache utoto kama huna hoja usichangie kitu msituharibie tukaonekana watu wa hovyo!

Ile lugha ya Mzee Mwanakijiji imekaa kifasihi ni fumbo lifumbueni! Ushemeji wa viongozi ni mbaya!ni ufisadi! wanaoleana ili walindane ahhh si shemeji yangu bwana siwezi kumtosa.

Nani humu kwenye JF anaweza kumtosa shemeji yake? mume wa dada yako! yaani hilo panda ukali wake mpaka dada yako atausikia na moyoni atasononeka yaani kaka yangu toka nitoke anamfanyia baba wa wanangu hivi?anataka wapwa wake wadhalilike?

Acheni kuchachafya watu bila ya hoja! acheni vitisho! Shurba na bokoboko mtalinywa na kulila nyie mnaonunuliwa kwa pesa za ufisadi.
 
Kalamu

JF-Expert Member
Nov 26, 2006
874
0
Hivi kuna yeyote atayekwenda mahakamani kweli? I doubt it! Na hata wakienda itakuwa danganya toto tu!
Tatizo ninaloliona mimi hapa siyo ushemeji bali ni kiburi cha kudharau na/au kupuuzia sheria zetu, maana kama sheria zetu zingekuwa kweli zinafuatwa na vyombo vya dola viko makini hata awe shemeji au nani kaiba angekiona cha moto!
Lakini inakuwa ni vizuri kwa watu kujua ni kwa nini hatua za kisheria hazichukuliwi - kwa sababu ya ushemeji? Kama wananchi hatuoni sababu nyingineyo licha ya hiyo, tutakuwa 'justified' kuhitimisha hivyo!
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
OK naomba kueleweshwa yafuatayo:

1. Huo ushemeji kati ya Jakaya Kikwete na Rostam Azizi ukoje?

2. Je, huo ushemeji umemzuia vipi Kikwete kuwajibika kama Rais wa Tanzania, kama ni huo ushemeji ndio unaosababishwa ashindwe kuwajibika?

3. Je ni makosa kwa mashemeji, au hata ndugu kuwa kwenye siasa wakati mmoja na kuwa kwenye chama kimoja pamoja?

4. Je tunazo sheria zinazotulinda na mazingira yanayoweza kusababisha conflict of interests au muonekano wake
?
maswali mazuri,i hope hiyo "ndoto" itakuwa ya abunuwasi na abunuwasi atakuja kujibu !
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194
0
Kuna haja ya kuwaelimisha watu, lakini sidhani kama hawajui wayatendayo ila ninaona watu waliojaa makusudi na kufanya watu mataahira. JF imejaa watu wa hovyo sana hawa wenzetu wanalipwa!Tena msidhani wanalipwa pesa nyingi wanalipwa pesa mbuzi!wanalipwa na watu wenye million dollars nje!

Hawa watu kama Kada mpinzani eng Mohamed ni watu makhsusi wanakundi lao humu ni kubwa lakini naamini hawawezi kujibu hoja kwa hoja.

Alichokisema Mzee Mwanakijiji kwa mtu yoyote mwenye akili anatakiwa asikurupuke na kujibu Kiccm ccm! kama anavyojibu Chiligati kuhusu Chenge na million dollar zake!

Imefikia watu wanatisha wenzao humu kwenye JF mie jana nimeambiwa na mhe eng Mohamed "kijana umeshawahi kunywa/kula shurba na bokoboko?" Kwenye forum ya ukistaajabu ya edward lowassa utaona ya amani karume.Kwa kuwa nilikuwa bingwa wa somo la kiswahili hasa fasiri nilijua hii ilikuwa ni lugha ya vitisho dhidi yangu shurba aliyoizungumzia mheshimiwa ilikuwa shurba tufauti na lile bokoboko ni mboko sasa sijui hawa watu hawajui kama wakubwa zao kichama hao waliowatuma pia ni wanaJF? Ipo siku mtazimia mkijua Sokomoko ni mtu mkubwa ndani ya Chama.

Tafadhalini sana ndugu zanguni muwache utoto kama huna hoja usichangie kitu msituharibie tukaonekana watu wa hovyo!

Ile lugha ya Mzee Mwanakijiji imekaa kifasihi ni fumbo lifumbueni! Ushemeji wa viongozi ni mbaya!ni ufisadi! wanaoleana ili walindane ahhh si shemeji yangu bwana siwezi kumtosa.

Nani humu kwenye JF anaweza kumtosa shemeji yake? mume wa dada yako! yaani hilo panda ukali wake mpaka dada yako atausikia na moyoni atasononeka yaani kaka yangu toka nitoke anamfanyia baba wa wanangu hivi?anataka wapwa wake wadhalilike?

Acheni kuchachafya watu bila ya hoja! acheni vitisho! Shurba na bokoboko mtalinywa na kulila nyie mnaonunuliwa kwa pesa za ufisadi.
Usitishwe na mtu yeyote hapa wote hawa hawana lolote na JF inamjua kila mmoja wao. Wewe endelea na kazi zako na mwaga dhambi zao zote mpaka wakome hapa JF!
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
KWAKO KADA MPINZANI!

Leo ndo nimethibitisha kuwa wewe ni kada mpinzani wa mazuri lakini mabaya kwako ni mazuri na ndo maana wadau wakipost treads zenye kujenga na kutetea maslahi ya Taifa hili we ndo wa kwanza kwa kupost comments zisizo na mvuto grow up dogo.
1- Threads inayosema Chenge jiuzulu mpaka sasa ina kurasa 10 lakini kwa sababu ameguswa mtu wako aaah umekaa kimyaaa.
Unatia aibu bwana mdogo.

FICHA UPUMBAVU WAKO USIFICHE HEKIMA ZAKO.
poa dogo !ukiulizwa uonyeshe link ya mimi na huyo chenge utaanza kubwayabwaya, nikienda kuchangia huko unasema naharibu mada, KADA afanye nini ili mfurahi ? Niondoke jamboforums au ?
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Jamani there is no need ya kuwalaumu sana Kada Mpinzania na Dar es salaam maana hawana jinsi hawawezi kuacha kutetea chama maana ibara ya 15:1 inawalazimisha kufanya hivyo hata kama chama kina makosa.
Lakini naona hali ni mbaya sana, siku wakisikia Mzee Mkjj amestaafu kupost hapa watafanya sherehe maana ni mwiba kwa upande wao ndo maana wanajalibu kumpa ID mbalimbali ili ionekane ni mtu mmoja mwenye chuki na CCM.Tambwe Hizza yuko wapi jamani can help kwa hili maana anjua kazi yake kweli
eti eeh ? haya umeshasikika.
 
Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
1,195
poa dogo !ukiulizwa uonyeshe link ya mimi na huyo chenge utaanza kubwayabwaya, nikienda kuchangia huko unasema naharibu mada, KADA afanye nini ili mfurahi ? Niondoke jamboforums au ?

Sio uondoke sema muondoke maana mpo wengi mnao haribu, na wala mna link na hao watu ila mnajikosha kwa kulipwa vijisenti. Mshindwe.

"Wanaotetea mafisadi na wao ni mafisadi"

Kada ficha kutumwa kwako JF ufiche ufisadi wako
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Kuna haja ya kuwaelimisha watu, lakini sidhani kama hawajui wayatendayo ila ninaona watu waliojaa makusudi na kufanya watu mataahira. JF imejaa watu wa hovyo sana hawa wenzetu wanalipwa!Tena msidhani wanalipwa pesa nyingi wanalipwa pesa mbuzi!wanalipwa na watu wenye million dollars nje!

Hawa watu kama Kada mpinzani eng Mohamed ni watu makhsusi wanakundi lao humu ni kubwa lakini naamini hawawezi kujibu hoja kwa hoja.
Alichokisema Mzee Mwanakijiji kwa mtu yoyote mwenye akili anatakiwa asikurupuke na kujibu Kiccm ccm! kama anavyojibu Chiligati kuhusu Chenge na million dollar zake!

Imefikia watu wanatisha wenzao humu kwenye JF mie jana nimeambiwa na mhe eng Mohamed "kijana umeshawahi kunywa/kula shurba na bokoboko?" Kwenye forum ya ukistaajabu ya edward lowassa utaona ya amani karume.Kwa kuwa nilikuwa bingwa wa somo la kiswahili hasa fasiri nilijua hii ilikuwa ni lugha ya vitisho dhidi yangu shurba aliyoizungumzia mheshimiwa ilikuwa shurba tufauti na lile bokoboko ni mboko sasa sijui hawa watu hawajui kama wakubwa zao kichama hao waliowatuma pia ni wanaJF? Ipo siku mtazimia mkijua Sokomoko ni mtu mkubwa ndani ya Chama.

Tafadhalini sana ndugu zanguni muwache utoto kama huna hoja usichangie kitu msituharibie tukaonekana watu wa hovyo!

Ile lugha ya Mzee Mwanakijiji imekaa kifasihi ni fumbo lifumbueni! Ushemeji wa viongozi ni mbaya!ni ufisadi! wanaoleana ili walindane ahhh si shemeji yangu bwana siwezi kumtosa.

Nani humu kwenye JF anaweza kumtosa shemeji yake? mume wa dada yako! yaani hilo panda ukali wake mpaka dada yako atausikia na moyoni atasononeka yaani kaka yangu toka nitoke anamfanyia baba wa wanangu hivi?anataka wapwa wake wadhalilike?

Acheni kuchachafya watu bila ya hoja! acheni vitisho! Shurba na bokoboko mtalinywa na kulila nyie mnaonunuliwa kwa pesa za ufisadi.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaa.sasa eng. moh'd kakosea kwani kusema utalinywa hilo shurba na bokoboko ? na uradi utapata vile vile mzee, hivyo sio vitisho bali ni offer.

Kundi gani hilo unalosema weye ? eng. moh'd alikuwa mmoja wa niliokula nao pasaka na kufuturu pamoja, pembeni kuna harufu ya uturi na chicha !

acha kuogopa kijana !
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Sio uondoke sema muondoke maana mpo wengi mnao haribu, na wala mna link na hao watu ila mnajikosha kwa kulipwa vijisenti. Mshindwe.

"Wanaotetea mafisadi na wao ni mafisadi"

Kada ficha kutumwa kwako JF ufiche ufisadi wako
Poa basi. Leo siku yangu ya mwisho hapa jamboforums. na naondoka kwa sababu wewe umesema na sio mwingine, lakini bokoboko na shurbi nafikiri wataliendeleza wengine. Haya bana umenisema sana na nafikiri huu ni wakati wa mie kuondoka.

Jamani wazee wote ambao tulipingana, acheni haya mambo humu humu maana yote yalikuwa kuhusu hoja na si vingine.

Hamna kitu kama "kada na kundi lake". i just wanted to clerify that.

Na nitadondosha thread nyingine kuhusu mbowe muhangaike nayo while nikiwa nimeondoka.
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194
0
Poa basi. Leo siku yangu ya mwisho hapa jamboforums. na naondoka kwa sababu wewe umesema na sio mwingine, lakini bokoboko na shurbi nafikiri wataliendeleza wengine. Haya bana umenisema sana na nafikiri huu ni wakati wa mie kuondoka.

Jamani wazee wote ambao tulipingana, acheni haya mambo humu humu maana yote yalikuwa kuhusu hoja na si vingine.

Hamna kitu kama "kada na kundi lake". i just wanted to clerify that.
Kada usiondoke mkuu! kwa niaba ya familia yetu ninakuomba na kukubembeleza urudi hapa na uendelee kuchangia mada zote zile unazotaka kwa namna yoyote ile!
 
Karibu sana Kada Mpinzani kwa jina jingine sijui safari hii utakuja na jina gani maana wewe ni kada kweli kweli tena kushinda kina Rashid Kawawa.
 
Mwafrika wa kike unadhani anaondoka kweli? hata kama hatapost kwa jina la kada mpinzani atakuja na jina jipya wametumwa hawa wakiondoka watakula wapi?
 
Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,699
1,225
Itafika wakati itabidi tuombe Mwenyezi Mungu atuteremshie viongozi wasio miongoni mwa jamii yetu, Yaani malaika au Viombe vingine visivyo miongoni mwetu!

Maana viongozi wanaotokana na sisi, lazima watakuwa wana watoto, mashemeji, mawifi, wajomba, watoto wa ndoa na hata wa nje ya ndoa!!!

Itafika wakati baba akitaka kugombea siasa, watoto watamkatalia sababu ikiwa "baba ukiwa kiongozi sisi tutaandamwa" bila makosa mashuleni, nyumbani au hata tukiolewa kwenye ndoa zetu.

Eee wanaJF rudisheni moyo wa kuangalia mbele... msiwe kama kondooo... mengi tunayoyajidili hapa yatakuwa mikuki itarudi nyuma kutumaliza sisi wenyewe baadaye.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Kenya, Mungu Ibariki Zimbabwe... Mungu Ibariki Zanzibar.
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194
0
Mwafrika wa kike unadhani anaondoka kweli? hata kama hatapost kwa jina la kada mpinzani atakuja na jina jipya wametumwa hawa wakiondoka watakula wapi?
Sokomoko hilo nalijua ila historia yangu na kada ni ya kutoka mbali sana and I miss the old Kada.
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Mwafrika wa kike unadhani anaondoka kweli? hata kama hatapost kwa jina la kada mpinzani atakuja na jina jipya wametumwa hawa wakiondoka watakula wapi?
kwa nini tutumie mate wakati wino upo ? nikija na jina lingine, naomba invisible aniban (aangalie ip add.)! au akija mtu mwenye mtiririko wa mawazo kama wangu mumban. asante !!

nafikiri hapo utakuwa satisfied enough ! sasa nakuachia wewe ukumbi.
 
Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
1,195
Itafika wakati itabidi tuombe Mwenyezi Mungu atuteremshie viongozi wasio miongoni mwa jamii yetu, Yaani malaika au Viombe vingine visivyo miongoni mwetu!

Maana viongozi wanaotokana na sisi, lazima watakuwa wana watoto, mashemeji, mawifi, wajomba, watoto wa ndoa na hata wa nje!!!

Itafika wakati baba akitaka kugombea siasa, watoto watamkatalia sababu ikiwa "baba ukiwa kiongozi sisi tutaandamwa" bila makosa mashuleni, nyumbani au hata tukiolewa kwenye ndoa zetu.

Eee wanaJF rudisheni moyo wa kuangalia mbele... msiwe kama kondooo... mengi tunayoyajidili hapa yatakuwa mikuki itarudi nyuma kutumaliza sisi wenyewe baadaye.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Kenya, Mungu Ibariki Zimbabwe... Mungu Ibariki Zanzibar.

Hayo uliyoyasema hayapingiki ila hayafanani kimaudhui na yale ya Mzee Mwanakijiji tafadhali rudia kuyasoma kwa makini tena umakinike kama umechoka lala kesho yasome soma na post yako kisha changia.

Ahsante sana mpe salam nyingi rafiki yako mpendwa Kada Mpinzani.
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Karibu sana Kada Mpinzani kwa jina jingine sijui safari hii utakuja na jina gani maana wewe ni kada kweli kweli tena kushinda kina Rashid Kawawa.
subiri nikwambie.

Tokea nije jamboforums, jina la kada tu ndio jina i went by all the times i have been here, na kwa kuwa wewe ni mgeni sitoshangaa kama hautoamini. Kwa kifupi, i'll never trade anything for the name KadaMpinzani. Na hata kuna kipindi Mzee ES alikuja na thread inayoongelea watu kutumia majina mengi /zaidi ya moja na nikambishia, lakini later on nikafind out i was wrong, and i regret kumbishia maana ni kweli watu wanatumia majina zaidi ya moja. Even though mimi binafsi sijawahi kufanya hivyo !
Nilikuja na jina lingine la Kada'sAdvocte ambalo nilikuwa nikilitumia baada ya kuwa banned pamoja na Nyani Ngabu, na yeye Nyani akaja na jina lingine na wote tukaweka wazi kwamba ndio sisi lakini kwa kuwa ban period yetu haikuisha, tukawa banned still na i never used any names ever since. Sasa siwezi kuja na jina jipya na kuendeleza mawazo yale yale bila ya watu humu kujua maana najua fika watu humu sio wajinga kiasi hicho ! hilo nalitambua. Au huamini kwamba siwezi kuondoka indefinitely ? well, imetokea hiyo leo !
 
Kada get back kwenye stature yako ile ya kwanza please. Hili ni ombi tu, haya mengine yatakuwa vibwagizo mkuu!
 
Top Bottom