Hold on a minute! Mtu na shemeji yake

J

Jamco_Za

JF-Expert Member
1,333
1,225
kwa nini tutumie mate wakati wino upo ? nikija na jina lingine, naomba invisible aniban (aangalie ip add.)! au akija mtu mwenye mtiririko wa mawazo kama wangu mumban. asante !!

nafikiri hapo utakuwa satisfied enough ! sasa nakuachia wewe ukumbi.
Please kada bila kuwa na watu kama wewe moto utawaka hapa please una role kubwa sana hapa usione watu wanakupinga lakini role yako ni kubwa kucool down temper za watu waliokufraustrated na mafisadi ni kazi kubwa na ukiondoka kuna siku watu wanaweza kufanya vitu vya ajabu, please usiondoke maana bado unaitajika.
 
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
12,659
0
Ansbert Ngurumo;-

Na kwa kuzingatia ukaribu wa watatu hao (Kikwete, Lowassa na Rostam) kisiasa na kifamilia, rais amewasikiliza na kuahidi ‘kusaidia’ kuwasafisha.
Mkulu Wangu MMJ,

Una maana ndoto yako ina uhusiano wowote na maneno ya mzee mwingine member wa hapa JF kumkoma nyani, yaani mkulu Nguurumo? Maana naona ndoto yako inafanana sana na hii quote hapa juu, au?
 
Sokomoko

Sokomoko

JF-Expert Member
1,915
1,195
kwa nini tutumie mate wakati wino upo ? nikija na jina lingine, naomba invisible aniban (aangalie ip add.)! au akija mtu mwenye mtiririko wa mawazo kama wangu mumban. asante !!

nafikiri hapo utakuwa satisfied enough ! sasa nakuachia wewe ukumbi.
Comeon Kada we need you people unajua sometimes ni vizuri kusoma post zenu japo zinafubaza akili lakini atlist tunajua kuwa kunawatetea maslahi wetu maana Kada I swear mimi ni Kada kushinda wewe ipo siku nitakukaribisha juice pale ofisi ndogo Lumumba kisha tutabadilishana mawazo. Usiondoke wewe upo kwa ajili yetu sisi wenye CCM.
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
32,933
2,000
Mkulu Wangu MMJ,

Una maana ndoto yako ina uhusiano wowote na maneno ya mzee mwingine member wa hapa JF kumkoma nyani, yaani mkulu Nguurumo? Maana naona ndoto yako inafanana sana na hii quote hapa juu, au?
duh.. mzee hiyo hata sikuiona; sijui kama ndicho Ngurumo alikuwa anamaanisha. Kwani mtoto wa Lowassa kaolewa wapi?
 
Sokomoko

Sokomoko

JF-Expert Member
1,915
1,195
duh.. mzee hiyo hata sikuiona; sijui kama ndicho Ngurumo alikuwa anamaanisha. Kwani mtoto wa Lowassa kaolewa wapi?
Mie nina wasiwasi na mke wa pili wa JK anaeishi DUBAI pengine atakuwa dada yake RA.
 
M

Mkandara

Verified Member
15,475
1,250
Mzee Mwanakijiji,

Habari hizi nzito sana, nimepata mshtuko baada ya kuwa confirmed toka sehemu moja ya karibu na mmoja wa hawa watu, nitajaribu ya Pili na tatu zikiwa zote wino mkuu tumekwisha!!!!
 
Icadon

Icadon

JF-Expert Member
3,586
0
Hii thread naona imeshaingiliwa, ngoja wengine tukae kimya lakini ukisoma along the lines jibu limeshapatikana(unless mnaobisha mnataka jina la mhusika).
 
J

Jamco_Za

JF-Expert Member
1,333
1,225
Nafikili kila mwenye kutaka kujua mpaka sasa ameshajua, ila kama utaki kujua endelea kubisha
 
M

Mshabiki

Member
17
0
Muungwana ana mke mburushi labda kuna ukweli kwenye ndoto ya Mwanakijiji
 
C

Chief

JF-Expert Member
2,055
2,000
Pamoja na kuwa huwa sikubaliani na wewe mara nyingi kuliko mara kidogo, Kada usiondoke. Huwa ni vizuri kujua upande mwingine wa sarafu
 
M

Morani75

JF-Expert Member
619
0
subiri nikwambie.

Tokea nije jamboforums, jina la kada tu ndio jina i went by all the times i have been here, na kwa kuwa wewe ni mgeni sitoshangaa kama hautoamini. Kwa kifupi, i'll never trade anything for the name KadaMpinzani. Na hata kuna kipindi Mzee ES alikuja na thread inayoongelea watu kutumia majina mengi /zaidi ya moja na nikambishia, lakini later on nikafind out i was wrong, and i regret kumbishia maana ni kweli watu wanatumia majina zaidi ya moja. Even though mimi binafsi sijawahi kufanya hivyo !
Nilikuja na jina lingine la Kada'sAdvocte ambalo nilikuwa nikilitumia baada ya kuwa banned pamoja na Nyani Ngabu, na yeye Nyani akaja na jina lingine na wote tukaweka wazi kwamba ndio sisi lakini kwa kuwa ban period yetu haikuisha, tukawa banned still na i never used any names ever since. Sasa siwezi kuja na jina jipya na kuendeleza mawazo yale yale bila ya watu humu kujua maana najua fika watu humu sio wajinga kiasi hicho ! hilo nalitambua. Au huamini kwamba siwezi kuondoka indefinitely ? well, imetokea hiyo leo !
Mkuu KadaM....., Tafadhali Mkuu "Watu ni Baraza na Baraza lenyewe ndio watu" Mkuu, Nyani Giladi yupo nasi watupa mawe tukisambaratika itakuwa "Ndivyo Sivyo"

Mkuu..... Yote ni heri hivyo fanya hiana tunahitaji watu kama wewe na wengine ambao mnaweka mambo yanayosaidia watu kama mimi kuona pande zote na kujifunza mengi along the way!!

Bottom line, "Mchango wako bado unahitajika JF"
 
Gembe

Gembe

JF-Expert Member
2,505
1,225
upupu kama huu usiwe na nafasi humu ! uende kwenye vioja ! na mimi niliota ndoto Mnyika mtoto wa Mbowe !
Kada umenichekesha sana..teh teh teh teh,

ukiendelea na hiyo ndoto kwa mbele utakuta Mwanakijiji ni shemeji yake na Lowassa
 
Gembe

Gembe

JF-Expert Member
2,505
1,225
hii ndoto mie niliwahi kuota mwaka jana mwezi wa April. ,Harusi ilikuwa ya kufana sana na nikaja kugundua nimeota kitu kilichofanyika mwezi mmojauliopita,nilifurahi sana sababu harusi ilikuwa ya mafahari wawili.

Nilioneshwa kuna mmoja wa wana harusi anaishi pale Upanga!

Stay Tuned for tommorow mwanaHALISI.
 
Nyangumi

Nyangumi

JF-Expert Member
508
0
Pamoja na kuwa huwa sikubaliani na wewe mara nyingi kuliko mara kidogo, Kada usiondoke. Huwa ni vizuri kujua upande mwingine wa sarafu
Wazee some time tuache unafiki.Huu hauwezi kuwa upande wa pili bali ni vurugu.Atokomee zake.Anajitia aibu saana.
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
32,933
2,000
Nini ushemeji chek Ben na Mramba walikula chungu kimoja.
What do you mean Ben na Mramba walikula chungu kimoja.. yaani kuoa nyumba moja ... hii ndoto sasa jinamizi!
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
32,933
2,000
astaghafilulah!! halafu wanapeana uwaziri mumo kwa mumo? Nadhani kama kuna sababu ya kuiondoa CCM ni hii ya kutengeneza dynasties of corruption!!
 
M

Mtu Kwao

JF-Expert Member
258
0
Hi si ndoto Jamani ee, nijuavyo mimi huyo JK kaoa dada wa RA,na ndio mana inamuwia jk vigumu kudeal na RA mana ana damu kule kwa akina Rostam jamani.Mi nashauri kama JK hawezi kuwabana hawa watu tafanya maandamano nchi nzima ya kushinikiza ajiuzulu maana sasa anapeleka nchi pabaya kwa ushemeji wake huu.
 

Forum statistics


Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom