Hodiii!

Hodiii!

Mgeni kasema ameupenda Sana mtaa wako,na kaahidi kurudi huko Tena,hivyo nikamshauri awasiliane na mjumbe wa mtaa wa kimasihara,Sasa kwa vile mjumbe umetokea utamsajili huko mgeni
Ewaaaaaa kumbe ameupenda mtaa wetu? Ngoja nimtafute nimkaribishe Kwa bashashaa maana hivi vitu Huwa sio kunyimana banaa
 
Zipo nyingi na mojawapo ni wa
KULA TUNDA KIMASIHARA.

Imenifungua macho na kujifunza namna wanaume wanawachukulia wanawake.
Kila mwanamkeanapaswa asome ule uzi.
Ni mzuri.
Ni darasa kwetu.
hahah.
sasa umeshapata cha kuandika au umeshapata chochote cha kuwaambia wanaume juu ya ule uzi
 
🤣🤣🤣🤣Me sikuwezi wewe kijana una Mambo mengi mi nawezana na wazee
Kila siku nakuambia, achana na Wazee, Wazee ndio wanawapa Hela ila shooo hawana.

Kijana anakupa Hela na shoo unapata ,kudadeki na manjonjo yoteee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom