Hodiii!

Hodiii!

Wanasema mgeni njoo wenyeji wafaidi.

Sina fedha wala dhahabu za kuwafaidisha nazo ila nitawanufaisha kwa kutoa michango mizuri kwa kadiri ya upeo wangu.

Nimekua naogopa kuingia kuchangia ila ndo nishajitosa naombeni mnipokee dada zangu,mama zangu,kaka.zangu na baba zangu.
Una kishundu mkuu
 
🤔🤔🤔🤔🤔Au usiku walikutorosha wewe?ulikutana na mjumbe wa mtaa wa Kula tunda kimasihara bwana Carlos The Jackal ,,maana Kama mgeni umetembelea ule mtaa lazima awe na taarifa zako?
Sijatoroshwa sis! Ni katika kunyoosha nyoosha tu miguu nikajikuta nimeibukia kule.
Na niwe muwaz nikipata muda nitarud tena kule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom