mm popote nipoKwani we uko wapi mkuu?
Haya uje pm sasaHamna.
Utakua umenielewa ndivyo sivyo
SikukatiliWewe ndo unayenikatili
Kaka Half american kaniambia nikigawa namba hovyo hovyo atatufukuza mi na da Joannah homeKwani kua na namba ya mtu dhambi?
Hatimae šKaka Half american kaniambia nikigawa namba hovyo hovyo atatufukuza mi na da Joannah home
Sijawahi kufikiri kuwa utakuwepo ktk nyuzi hizi ama kumuulizia huyo member kwa style hiyo.Hivi cocastic yuko wapi siku hizi?
š¤£š¤£š¤£Unaona uzembe wako,Mimi nilikukabidhi umlinde wewe sijui ulilala?ona Sasa anaijua Hadi mitaani ya hivyo sijui Nani alimpeleka huko!Mgen anaanza kuvuka mipaka dada š
Ushaanza kugawa namba kwani?Pole pole mkuu.
Namba gani tena?
Kaka zangu na dada yangu wako hapa usitake nifukuzwe home kwa kuiaibisha familia.
Alokupa namba itakua mwingine sio mimi.
Mwambie uyo Kaka yako ,mwenye dada hakosi shemejiKaka Half american kaniambia nikigawa namba hovyo hovyo atatufukuza mi na da Joannah home
Au sio!udugu hazina yetuNa hata akitoa farasi dada hakikisha nabaki kuwa mdogo wenu.Undugu ndo hazina yetu
Sijui ni nani kampitisha hukoš¤£š¤£š¤£Unaona uzembe wako,Mimi nilikukabidhi umlinde wewe sijui ulilala?ona Sasa anaijua Hadi mitaani ya hivyo sijui Nani alimpeleka huko!
Umeupenda mtaa umechangamka eeh?Kuna majini watu kule Shauri yakoSijatoroshwa sis! Ni katika kunyoosha nyoosha tu miguu nikajikuta nimeibukia kule.
Na niwe muwaz nikipata muda nitarud tena kule.
Naona ngoja ngoja inaumiza matumbo...unapiga ndefe wawili kwa jiwe moja...kwanza unampoteza kaka halafu unaandaa mtego hahaaaaaMwambie uyo Kaka yako ,mwenye dada hakosi shemeji
Haha mdogo mdogo ndio mwendo,mwenda resi hakawii kujikwaNaona ngoja ngoja inaumiza matumbo...unapiga ndefe wawili kwa jiwe moja...kwanza unampoteza kaka halafu unaandaa mtego hahaaaaa
Usiwe na shaka nitakuongoza tu, upo kwenye mikono salamaKama Lubisi ni pombe mie sinywagi halafu huko mtaa wa saba ndo wapi tena?