🤣🤣🤣🤣Sawa naona umeamua kuwa mzururajiKuna mahal nilipita nikaona kaomba mwenyewe afungiwe
(Usianze tena mambo ya mgen mwenyeji sisi.Mi sio mlemavu natembea).
Sasa sisi kama ndugu zake tunafanyaje dada?
Atakuwa katukanana alikunywa LubisiKaka why did you ask for ban jamani?
I WILL MISS U
Nafikiria kwenda kwa mwamposa nipate mafuta nije niyapake kwenye ID yake.😬🤣🤣🤣🤣Sawa naona umeamua kuwa mzururaji
Sisi Kama ndugu zake tumuweke kwenye maombi tu amalize kifungo salama maana kifungo hiki hakinaga appeal
ban kaomba mwenyewe apigwe ban kimasihara ni kwambba yanga akifungwa ameomba ale ban ya miezi 6Atakuwa katukanana alikunywa Lubisi
ila usisemeWaliozoea kutafunwa na kutupwa ka bigijii iloisha utamu mtawapata tu hata wakiambiwa hawawez kuijua thamani yao.
Ila una takooMbona vitisho kakake?
Nahifadhi Hi Coment Yako Sitaifuta
Sitakubali kuliwa maisha yangu yote