Kaka hiyo vipi?asante kaka🙏
PalinaKarivu sana
Jiachie kama kule insta
ukishazoea visa vya huku JF, utaelewa huu msemo 😂Kwanini kaka?🙏
Kama kuna alokutenda Mungu akufanyie wepesi
Nahifadhi Hi Coment Yako SitaifutaSitakubali kuliwa maisha yangu yote
itunze hii comment.. umeanza vizuriSiku zote najua Jamiiforum ninya watu makini
Tutajie boss!Unabisha nitaje ID yako ya zamani?
we kwel mgeni, jamaa hii sio id fakeKwanini kaka?🙏
Kama kuna alokutenda Mungu akufanyie wepesi
Imeuhusianaje hapa🤣kataa ndoa, NDOA NI UTAPELI 😂
Wewe ni mwenyejiWanasema mgeni njoo wenyeji wafaidi.
Sina fedha wala dhahabu za kuwafaidisha nazo ila nitawanufaisha kwa kutoa michango mizuri kwa kadiri ya upeo wangu.
Nimekua naogopa kuingia kuchangia ila ndo nishajitosa naombeni mnipokee dada zangu,mama zangu,kaka.zangu na baba zangu.
Wanakutisha tuuHapana kaka Nimeambiwa huko DM sio kuzuri.
Nipe tu hapa kama hutajali🙏
namuandaa kisaikolojia 😂Imeuhusianaje hapa🤣
Nimejikuta nacheka tunamuandaa kisaikolojia 😂
Fanya awe shosti ako basi unitamburishe 😅Karibu, nimekupenda umeingia yente yente !