Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,065
- 111,660
Yes upo sahihi 😅Mbona umemuongeza na yeye?au ndio dada binamu kinyama cha🤫🤫🤫🤫
Ataingia kama cousin
Yes upo sahihi 😅Mbona umemuongeza na yeye?au ndio dada binamu kinyama cha🤫🤫🤫🤫
Eti dada Joannah nnapotezaga mwanamke nnaempenda? 😅Hata kama ni dada yako ila hawezi acha mwanamke mwenzie apotee.,😀
wewe ndio huyo wifi mwenyewe 😅Kaniongeza kisha kasema mie ni dada wa mwisho kupokelewa.Watakaofuata watakua mawifi zetu.
Unaijua huu Uzi wa kibazazi🤣🤣🤣mgeniiiiii🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄Zipo nyingi na mojawapo ni wa
KULA TUNDA KIMASIHARA.
Imenifungua macho na kujifunza namna wanaume wanawachukulia wanawake.
Kila mwanamkeanapaswa asome ule uzi.
Ni mzuri.
Ni darasa kwetu.
Mwamba Kama umechemka tuachie Basi na sisi tujaribu bahati yetu,nakungoja tunumalize tangu Jana hahahSiwezi kufeli misheni bado mpya hii
Sasa ungesema pale mwanzoni tupeleke posawewe ndio huyo wifi mwenyewe 😅