Hizi ndio ndege za Magufuli

Hizi ndio ndege za Magufuli

Kila mtu atakubaliana nami kwamba Tanzania kabla ya Mheshimiwa ilikuwa ipo vibaya, ni Dhambi kuhukumu serikali ya muheshimiwa based on previous goverment

mpaka sasa ipo vibaya
 
Kwani Emirates na etlhad na maairbus mengine yanayokuja hapa TZ soko laki lipi!?
Ndugu soko la ndege ni tofaut na la mabasi eti wataona kuna mabas mapya na kupata wateja
Kuna nchi ngapi zi anaanza biashara hizi lkn ata jina la ndege wapandaji hawajalisikia kabisa
Cha muhimu ni kuanza na kidogo na badae kwenda pakubwa kama unajua biashara vzr
Ya nini angenunua ndege hizo kwa show off af badae shirika likafa tena
 
Wabongo bwana heti kelele angani kwani kuna ndege inatembea kimyakimya angani?.bora tuanze na hivyo.tatizo nyie kila kitu ni wakatisha tamaa

Tatizo hakuna ukweli kwa kila wanachosema, mambo yafuatayo yamefanywa kwa ukurupukaji na hayawezi kuwa na tija( kilichohaidiwa na kinachifanywa ni ardhi na mbingu)
1)Tutanunua Meli mpya ziwa Victoria; leo wametenga budget ya kutengeneza meli zaidi ya 13bln.

2)Tutaunda mahakama ya mafisadi, soma mabadilriko ya sheria ya uhujumu uchumi 2016 ,hakuna mahakama ya mafisadi bali kuna division maalumu ambayo itatoa adhabu kulingana na mtazamo wa majaji tofauti na ile ya ubakaji iliyotaja hadi hukumu kuwa ni 30years na viboko12.

3) Uteuzi wa wakuu wa Wilaya
 
Kwani Emirates na etlhad na maairbus mengine yanayokuja hapa TZ soko laki lipi!?
Af izi ndege zitakuwa ni za apaapa tanzania internationally ni vigum kuanza haraka hivi maana mikakati lazima iwepo
 
Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.

Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
Kwa Rais huyu au mwingine?!
 
Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
24f2a5420ec83b78c30ee9023a29f4fd.jpg
74ffbbd76ee1568c3c6b3a66ef7536cc.jpg
Inategemea na mahitaji mkuu...kuliweka angani hilo dude sio mchezo mkuu...hivi unajua FastJet inastruggle sasa hivi? washapunguza ndege kubwa na bado...
 
Kumbe ndege zenyewe ni hizi za mapanga ya TMK? Anaway, hizi ziko poa in terms of fuel efficiency.
 
Nadhani serikali ina haja ya kuanza ''kuflash'' vichwa vya wabongo kwanza kabla ya kujikita kwenye maendeleo. Wengi wamejazwa ujinga na ujuaji mwingi usio na mashiko. Good day facebook products!!
Duh mkuu uko sahihi asilimia 200%. Hii facebook product ina matatizo sana!
 
Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
24f2a5420ec83b78c30ee9023a29f4fd.jpg
74ffbbd76ee1568c3c6b3a66ef7536cc.jpg
Mh hapana hebu tuwe wakweli hapa kupanda chatter ya Dar Arusha ni tofauti na kupanda Boeing au airbus
Wambie mshana tunaitaji ndege kubwa pia. Wakati rwandair inasemekana mwaka huu wanapokea ndege zao aina ya airbus 320 na 330 kwanini wao wasiongeze hivyo turboprop Kwa sisi Ku endelea lazima tuwe na ndege kubwa za kisasa zakuweza kutunganisha na mabara mengine hakuna middle income countries ambayo aina shirika la ndege imara na lenye ndege kubwa, hivi ukishakuwa na ndege za domestic flight zikisha tua kia au dar es salaam, inaingia akilini huyu abiria apande kQ, South africa au ethiopian kwenda mabara ya nje inamana sisi tutakuwa tunawaletea abiria mashirika ya nje .
 
Nchi ya viwanda inanujua ndege ya mwaka 1983 si bora tungetengeneza wenywe
Mkuu huwa nakusoma sana ila leo siamini kama hii ni comment yako. Imeandikwa ndege hizo zimeanza kutengenezwa 1983~ to date, haina maana watanunua ya 1983 wananunua mpya.
 
Soma uelewe alichoandika,umekula MICHEMBE sasa unategemea akili yako itaelewa kitu kweli?,mtu kaeleza kwa ufasaha na wewe NGOSHA unajibu kwa hisia zako butu,umeishaambiwa serekali hii ya Tanzania haiwezi kufanya chochote chenye TIJA,na mifano ipo,sana sana wataendesha shirika hilo kwa miaka mitatu au chini yake natutaambiwa shirika limekufa kutokana na sababu zisizo zuilika,hata ndege zikinunuliwa zitanunuliwa ndege chakavu zilizopakwa rangi na pesa itaingia mifukoni mwa MAHESHIMIWA mazinzi na malevi,sasa wewe tokwa mapovu ukojoe ukalale.
Mkuu shirika likianza halifi, waliokuwa wanaliua wanajulikana na sababu zao binafsi za kuliua zinajulikana. Pia na reli itarudi kny mfumo wake coz wahujumu wanajulikana na sababu zao, wahujumu hao wajiandae kufilisika maana ndo waliokua wanatengeneza usafiri mbadala baada ya kuuwa miradi ya serikali.
 
Wambie mshana tunaitaji ndege kubwa pia. Wakati rwandair inasemekana mwaka huu wanapokea ndege zao aina ya airbus 320 na 330 kwanini wao wasiongeze hivyo turboprop Kwa sisi Ku endelea lazima tuwe na ndege kubwa za kisasa zakuweza kutunganisha na mabara mengine hakuna middle income countries ambayo air shirika la ndege imara na lenye ndege kubwa ni hivi ukishakuwa na ndege za domestic flight zikisha tua kia au dar es salaam, inaingia akilini huyu abiria apande kQ, saa au ethiopian kwenda mabara ya nje inamana sisi tutakuwa tunawaletea abiria mashirika ya nje.
Laughable.
 
Back
Top Bottom