Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,106
- 37,641
Mbavu zangu brother, si unajua wengine wazito kuamka daku!Unamaanisha ni kama zile toroli za wabeba mizigo wa Ubungo?
Mbavu zangu brother, si unajua wengine wazito kuamka daku!Unamaanisha ni kama zile toroli za wabeba mizigo wa Ubungo?
Kwanini serikali iwekeze kwa precision?Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
Daaaaaaah yaani umetetea serekali yako ya CCM kwa UMAHIRI kabisa,sasa nenda Lumumba kawaonyeshe ulivyojibu wakupatie BUKU SABA haraka ukapate supu ili uondoe hang over ya gongo uliokunywa kwenye ngoma ya kusifia chama chako,tena waambie waongeze iwe BUKU KUMI kwa sababu sasa hivi unatetea CHAMA NA SREKALI,hilo ongezeko la 3000 likufanye ufe kwa gongo kabla ya uchaguzi mpya 2020.
Kwanini serikali iwekeze kwa precision?
Huu ni ubinafsi, give us evidence kuwa wao pia wanafanya vema!
How comes kila corner duniani serikali/umma unamiliki shirika (na/au kuuza hisa) ktk biashara hii ya usafiri wa anga lkn kwetu isiwezekane! Nafikiri ungeshauri business iwe sio 100% serikali, tuingie ubia angalau 40% kwa mashirika mengine ili kupanua wigo wa kibiashara na kuongeza ufanisi! Kwa serikali kuipa pesa precision hayo ni mapenzi binafsi tu na hilo shirika! By the way kwanini wasipewe fastjet?
Nimekuelewa sana boss. Badala ya hizo mbili angenunua kubwa kama hiyo uliyoweka hapo juuBadala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
Vitu unavyoeleza hapa kama vikwazo vya kuendesha shirika kwa ufanisi ni easily controllable. Labda kama unesema challenges zinazohusiana na aviation business yenyewe kama, mafuta, international standard compliance, fluctuation ya abiria, exchaange rate volatility etc.Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
DuuhHii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.
Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k[/QUOT
Uwakala wa shetani at work. Hao Precision si ndo wanachungulia kaburi siku nyingi tu? Na hao si ndo walifanya vitendo vya kuihujumu ATCL?
Mkuu subiri tukifika mtoni ndo tutajua namna ya kuvuka.
Kagame kamuingiza chaka mwenzakeMwambie huyo ngosha,yeye anafikiri ni biashara ya boda boda hiyo,serekali inashindwa kuendesha huduma ya mabasi ya D.A.R.T na mifano tunaiona,haya niambie hayo madege chakavu serekali itweza?
Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
Anabana matumizi 'mtukufu' wetuBadala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
...na ndio maana firm nyingi bado zinaendeshwa na waeshia, baadhi ya viongozi wakubwa katika hii nchi ya wadanganyika ni madebe matupu.Bodi ilioshindwa kuendesha shirika lenye ndege moja litaweza kuendesha shirika lenye ndege mbili? Sijasikia wakiongelea business plan au wanataka zikifika ndio wanze kujipanga? Viongozi wa hii nchi sio wa kuwaamini kwenye mambo ya biashara.