Hizi ndio ndege za Magufuli

Hizi ndio ndege za Magufuli

Siwezi washangaa hawa wanaopingana na huduma hii adhim maana natambua sii wao bali wanatekeleza vyema kile walichoagizwa na mabwana zao kwamba wahakiki wanazunguka mitandaoni kuhakikisha wanapingana na kila jambo zuri litalotekelezwa na serikali awamu ya tano.

Maksudi mazima ni scoring of political points.Hapa mungu atachagua pumba na mchele.
Kila jambo zuri linalotekelezwa na awamu ya tano?,kama awamu ya tano wangekuwa wanatekeleza wajibu wao wasingemuacha yule Mkwere mpaka leo anahujumu nchi akishirikiana na Waarabu.Mizigo inaendelea kutolewa bila ushuru na yale makampuni yoote yanayoendeshwa na Waarabu na kupotea maelfu ya kontena bandarini huku wahusika wanajulikana,lakini wapo na wanaendelea kutafuna nchi,halafu wewe unashindia michembe huku unachekelea eti maendeleo awamu ya tano,shwaiiiiiiiiin.
 
Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
24f2a5420ec83b78c30ee9023a29f4fd.jpg
74ffbbd76ee1568c3c6b3a66ef7536cc.jpg
 
Serekali yetu haina uwezo wa kuendesha hata biashara ya boda boda,inachoweza ni kugawa kanga,kofia,pombe ya kienyeji,supu ya makongoro na ngoma ya bugobogobo kwa wananchi waimbe,wacheze ngoma halafu waende wakasambaze ukimwi na kuzaa watoto nje ya ndoa wasio wajua baba zao baaasi.
Dead
 
Kila jambo zuri linalotekelezwa na awamu ya tano?,kama awamu ya tano wangekuwa wanatekeleza wajibu wao wasingemuacha yule Mkwere mpaka leo anahujumu nchi akishirikiana na Waarabu.Mizigo inaendelea kutolewa bila ushuru na yale makampuni yoote yanayoendeshwa na Waarabu na kupotea maelfu ya kontena bandarini huku wahusika wanajulikana,lakini wapo na wanaendelea kutafuna nchi,halafu wewe unashindia michembe huku unachekelea eti maendeleo awamu ya tano,shwaiiiiiiiiin.
Rudia kusoma coment yangu uielewe,acha ucheckbob.
 
Leo Tanzania tunapewa ushauri na Rwanda kuhusu ndege?,ama kweli kuendesha nchi sio LELEMAMA.
Kinachosababisha Taifa lolote kuitwa kubwa si idadi ya watu wake bali ni jinsi watu wake pamoja na viongozi wa taifa husika walivyo bora. Ubora wa viongozi na wananchi husababisha Taifa kuendelea, Taifa likiendelea litaitwa Taifa kubwa.

JPM anafanya vizuri ila kama huwa anapokea ushauri nadhani asikumbatie sana siasa za Sisiem ya sasa. Nadhani hata Nyerere angekuwepo leo asingependa siasa za aina hiyo. Taifa lolote haliwezi kuendelea kama halina katiba nzuri.

Ukiona Rais anaomba ushauri wa Rwanda maana yake hamna kitu ndani. Kama hivyo ndivyo, tulitoka wapi, tuko wapi na tunakwenda wapi? Je kama Taifa, tuna mipango na mikakati yoyote ya kitaifa na ambayo kila mwananchi ataiheshimu na kuisapoti ili tuendelee? Bila hivyo maendeleo ya nchi hii itakuwa ndoto. Tusiache kujifunza kutoka kwa wenzetu wenye mipango mizuri, Kenya inafaa kuigwa.
 
Ufipa roho zinawauma nusura ya kupasuka wakiona ahadi za Magufuli zinatimia
 
Kajifunze lugha za watu kabla ya kuja humu kutaka kutuonyesha na wewe nae unaijua lugha hiyo,ukimaliza kujua lugha za watu,nenda kajifunze kufua chupi yako maana unanuka fungus,sibishani na kenge bluuuuu.Tena unabana pua kama unabikiriwa kwa kusema"UNAJUA KWELI CLASSIFICATION YA AIRPLANE SERVICES"tena hujui hata matumizi ya alama ya kuuliza wala alama ya kushangaa,huna elimu,unashinda na njaa siku nzima,kazi huna yote imesababishwa na wewe mwenyewe.Jitu zima linaandika uharo etioooh CLASSIFICATION,ili mradi umeandika neni la kizungu shwaaaain.
Mkuu KARANJA 007: mbona matusi makubwa? nini mbaya na wewe...!? Hili ni jukwaa huru.. haikupi heshima kutkana kila anayepingana na mtazamo wako!
 
Mkuu alisema Airbus hivi vindege vidogo ni matatizo tu...labda viwe vinafanya domestic route lakini kama ishu ni kwa ajili ya kusaidia kukusaidia kukuza utalii..hakuna watalii wanaopenda kupanda vindege vinavyopiga kelele angani..
Kama JMP anataka kufufua shirika la ndege basi agize ndege za kisasa hata kama ni mtumba lakini ziwe za kisasa..
Kashauriwa na Dikteta Nguli
 
Hivi kwanini kila jambo linajadiliwa kisiasa, tuache siasa. ukweli ni kwamba biashara ya ndege ni ngumu sana kwakuwa kampuni inahitaji kuwa na watumishi ww kutosha na wenye ujuzi ambao wanalipwa mshahara kila mwezi , lakini hakuna uhakika wa wateja ni mdogo, hapa nchini ni watu wachache sana wanaopanda ndege , kuwa na kampuni 3 za huduma hiyo inaweza kupelekea mojawapo kufa. Pia ni ukweli kuwa taasisi za serikali kufanya biashara ni gharama zaidi kuliko kampuni binafsi inatokana na taratibu za ajira ndani ya serikali, watumshi wanaajiriwa wengine na wanatakiwa kulipwa bila kujali tija inayopata kampuni, mfano hadi sasa kuna watumishi takribani 200 wa ATC wanalipwa japo hakuna ndege inayoruka, haya masuala yanatakiwa yaangaliwe sana. Mashirika ya ndege hata kwenye nchi zenye uchumi mkubwa huwa yanaendeshwa kwa hasara ila serikali inayalea kwa heshima tu ya nchi.
 
Kajifunze lugha za watu kabla ya kuja humu kutaka kutuonyesha na wewe nae unaijua lugha hiyo,ukimaliza kujua lugha za watu,nenda kajifunze kufua chupi yako maana unanuka fungus,sibishani na kenge bluuuuu.Tena unabana pua kama unabikiriwa kwa kusema"UNAJUA KWELI CLASSIFICATION YA AIRPLANE SERVICES"tena hujui hata matumizi ya alama ya kuuliza wala alama ya kushangaa,huna elimu,unashinda na njaa siku nzima,kazi huna yote imesababishwa na wewe mwenyewe.Jitu zima linaandika uharo etioooh CLASSIFICATION,ili mradi umeandika neni la kizungu shwaaaain.

Watu wenye fikra funyu huwa wanajihami Na Elimu waliokuwa nayo.Kama kuelimika ndio Kama weye.Basi sitaki Elimu
 
Si heli hizo turoli kuliko kulipia mkokoteni wa mbenki kweli kazi ipo
 
Kila jambo zuri linalotekelezwa na awamu ya tano?,kama awamu ya tano wangekuwa wanatekeleza wajibu wao wasingemuacha yule Mkwere mpaka leo anahujumu nchi akishirikiana na Waarabu.Mizigo inaendelea kutolewa bila ushuru na yale makampuni yoote yanayoendeshwa na Waarabu na kupotea maelfu ya kontena bandarini huku wahusika wanajulikana,lakini wapo na wanaendelea kutafuna nchi,halafu wewe unashindia michembe huku unachekelea eti maendeleo awamu ya tano,shwaiiiiiiiiin.

Karanja sema Kweli bhana Waarabu ndio washikaji wako wakubwa Halafu Leo unawageuzia? Haifai Mkuu
 
Hii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.
Acha mahaba, experience is a good teacher!
 
Haiwezekani ndege za Magufuli ziwe mpya by Sept 2016. Ninvyojua ndege mpya hutengenezwa kwa oda na huchukua not less than 3 yrs for delivery.

Sio kweli mkuu.Kama unaoda za Boieng 787 Dreamliner Au Airbus A380-800 hizo Utasubiri maana wanaoda nyingi.Vilevile Kama AirTanzania ana urafiki wa kubiashara Na Makampuni makubwa Kama Etihad,Qatar and Emirates wanaweza kuwapa AirTanzania katika oda zao
Source Wikipedia
 
Hivi kwanini kila jambo linajadiliwa kisiasa, tuache siasa. ukweli ni kwamba biashara ya ndege ni ngumu sana kwakuwa kampuni inahitaji kuwa na watumishi ww kutosha na wenye ujuzi ambao wanalipwa mshahara kila mwezi , lakini hakuna uhakika wa wateja ni mdogo, hapa nchini ni watu wachache sana wanaopanda ndege , kuwa na kampuni 3 za huduma hiyo inaweza kupelekea mojawapo kufa. Pia ni ukweli kuwa taasisi za serikali kufanya biashara ni gharama zaidi kuliko kampuni binafsi inatokana na taratibu za ajira ndani ya serikali, watumshi wanaajiriwa wengine na wanatakiwa kulipwa bila kujali tija inayopata kampuni, mfano hadi sasa kuna watumishi takribani 200 wa ATC wanalipwa japo hakuna ndege inayoruka, haya masuala yanatakiwa yaangaliwe sana. Mashirika ya ndege hata kwenye nchi zenye uchumi mkubwa huwa yanaendeshwa kwa hasara ila serikali inayalea kwa heshima tu ya nchi.

Upo sahihi kabisa Mkuu.

Air India, Malaysia Airlines na Garuda ya Indonesia ni baadhi ya mashirika ya ndege yanayoendeshwa kwa hasara.

Matatizo yao makubwa ni kodi kubwa, kuendeshwa kisiasa badala ya kibiashara, huduma mbaya na kutoweza kufukuza/ kupunguza wafanyakazi kirahisi kwa kuwa ni wafanyakazi wa umma.

Historia ya Air Tanzania inajulikana.

ATC ilipachikwa jina la "Any Time Cancelled " kwa sababu maalum.
 
Hii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.
ndugu yangu usibishe biashara ya ndege inataka discipline ya hali ya juu,kwani kuna wabia wengi sana hapo ukileta ushemeji inakufa,watanzania tumezoea ukarimu hii biashara inataka uakarimu kwa wateja tu ila kwa wadau wengine iataka ukauzuna sio ndege tu bali transportation sector yote inataka ukauzu ,niambie ni wapi katika usafirishaji serikali imewahi kufaulu uda,kamata,tazara,trc,meli ,vivuko,ni majanga
 
Bors muongee baada ya kuja JPM b4 that mungeongelea nini
 
Kuliko kununua hizo za abiria 78 angenununua brand New Airbus mbili.
 
Back
Top Bottom