Hizi ndio ndege za Magufuli

Hizi ndio ndege za Magufuli

Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
24f2a5420ec83b78c30ee9023a29f4fd.jpg
74ffbbd76ee1568c3c6b3a66ef7536cc.jpg


Toroli iuzwe USD 27 millions???????? . Mi naona ni bora tuanze na hizo ndogo halafu tukikaa sawa tutanunua hiyo A320. Mashirika yote makubwa yana hizo ndege mnazo ponda. Mwaka jana nilitoka Addis hadi Dar kwa Ethiopian Airlines na nilitumia hiyo ndege unayoiponda (Bombardier Q400). Tulikuja vizuri tena nilishangaa maana tulikuja haraka sana.

Kama unafuatilia masuala ya usafiri wa anga utakuwa umesoma kuwa Fastjet wana mpango wakununua ndege ndogo ili wapate faida. Sasa hivi wanatumia hiyo ndege unayopigia debe (A320 na A319) na wanasema zinawaletea matatizo kwasababu ya gharama za uendeshaji na soko la ushindani hapa kwetu.

Nakushauri usome zaidi kwenye mtandao kuhusu bidhaa husika kabla hujaiponda. Angalia pia ni mashirika mangapi duniani yanatumia Bombardier Q400.
 
Toroli iuzwe USD 27 millions???????? . Mi naona ni bora tuanze na hizo ndogo halafu tukikaa sawa tutanunua hiyo A320. Mashirika yote makubwa yana hizo ndege mnazo ponda. Mwaka jana nilitoka Addis hadi Dar kwa Ethiopian Airlines na nilitumia hiyo ndege unayoiponda (Bombardier Q400). Tulikuja vizuri tena nilishangaa maana tulikuja haraka sana.

Kama unafuatilia masuala ya usafiri wa anga utakuwa umesoma kuwa Fastjet wana mpango wakununua ndege ndogo ili wapate faida. Sasa hivi wanatumia hiyo ndege unayopigia debe (A320 na A319) na wanasema zinawaletea matatizo kwasababu ya gharama za uendeshaji na soko la ushindani hapa kwetu.

Nakushauri usome zaidi kwenye mtandao kuhusu bidhaa husika kabla hujaiponda. Angalia pia ni mashirika mangapi duniani yanatumia Bombardier Q400.
Nimeshalitolea ufafanuzi hilo niliweka hilo dude kama mfano na chagizo
 
JPM ametangaza kwamba soon ATCL itapata ndege mbili aina za Bombadier Q400 kwa ushauri aliopewa kutoka Rwanda.Hivi kweli wataalamu wetu walishindwa kumshauri Rais? Specification za ndege hizo ni kama ifuatavyo


Bombardier Q400
Price - Current Price $ 27 million U.S.*
The NextGen Passenger Turboprop the Bombardier Q400 NextGEN...
Manufactured from -
1983 - Present
Seating Chart /Seats -
78

Travel Range -
2,522.00 Kilometer
1,362 Nautical Miles

Country of Manufacture -
Canada
  • Engine -
  • 2 X Pratt and Whitney PW150A
  • Power -
  • 5,071.00 Horsepower
  • Avionics -
  • Rockwell Collins Pro Line Fusion
  • Maximum Cruising Speed -
  • 666.25 km per hr 414.00 mph
  • Service Ceiling -
  • 7,620.00 metres 25,000.00 feets
  • Rate of Climb -
  • 457.20 mpm 1,500.00 fpm
  • Numbers Ordered/Sold -
  • 250
  • Cabin Height -
  • 1.95 metres 6.40 feets
  • Cabin Width -
  • 2.51 metres 8.23 feets
  • Cabin Length -
  • 18.80 metres 61.68 feets
  • Exterior Length -
  • 32.84 metres 107.74 feets
  • Wingspan / Rotor Diameter -
  • 28.42 metres 93.24 feets
  • Fuselage Diameter -
  • 2.69 metres 8.83 feets
  • Baggage Volume -
  • 14.20 cubic metre 501.47 cubic feet

  • Maximum Take Off Weight -
  • 29,257.20 kgs 64,500.00 lbs
  • Maximum Payload -
  • 8,669.20 kgs 19,112.00 lbs
  • Fuel Tank Capacity -
  • 1,697.00 gallon 6,423.82 litres
  • Fuel Economy -
  • 0.34 km per litre 0.80 NM per gallon
  • Minimum Take Off Distance -
  • 1,402.08 metres 4,600.00 feets
  • Minimum Landing Distance -
  • 1,286.56 metres 4,221.00 feets

source:Bombardier Q400 Turboprop Aircraft - Seating, Price, Safety Record - NextGENView attachment 362099 View attachment 362100 View attachment 362101 View attachment 362099 View attachment 362100 View attachment 362101
Mkuu unetuwekea hayo madude kama vile woote ni wajuzi wa haya mambo.

Ulitaka wamshauri vipi?
 
Tuache ulalamishi!

Bajeti ni ndogo, hivyo anaanza na hizo ndogo na baadae kasema atanunua AIRBUS.
mkuu siunajua tena, upinzani kwa Tz maana yake ni kupinga kila kitu hata kiwe kizuri. Tunapinga tunapiga lamri chonganishi na kuombea mabaya tena ili tupate kiki ya kupandia majukwaani. Wapinzani kuombea mema na kutoa maoni ujenzi hatuwezi. Upinzani tz ni malaika, wenyewe hua hawakosei inayokosea ni serikali tu.
Mimi naona Mh rais aendelee kuikaza kamba ili wale wote wenye lengo la kumkwamisha, wasipewe nafasi ya kufanya hivyo. HAPO NILIKUA NACHOMEKEA TU.
 
Nadhani serikali ina haja ya kuanza ''kuflash'' vichwa vya wabongo kwanza kabla ya kujikita kwenye maendeleo. Wengi wamejazwa ujinga na ujuaji mwingi usio na mashiko. Good day facebook products!!
Kweli ndugu ,yaani imekuwa kero sasa.
Utadhani watu wameweka matope kwenye vichwa vyao,yaani hapa wakati hata serikali ikitaka kumjengea mtu choo cha kukata gogo,atapinga kwa kusema kuwa kitatumbukia kwa sababu ya uzito wa hilo gogo lake.
 
Hizo ndege za mafeni mbele haina nafasi kwa wakati huu

Bora kukomaa na kununua kama hizi gharama zitarudi haraka sana
aec84338a2aa01d78433146733df1a37.jpg
 
Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
24f2a5420ec83b78c30ee9023a29f4fd.jpg
74ffbbd76ee1568c3c6b3a66ef7536cc.jpg
Tatizo ni kuwa ndege zinanunuliwa kwa maagizo ya wanasiasa na si wataalm. Tukiendesha biashara kwa kauli za wanasiasa uwezekano wa kufa kwa biashara hiyo ni mkubwa kama ilivyo ATCL leo. Muda utasema. Wawaulize wenzao walioendesha biashara kisiasa....wako wapi leo Scandinavia?
 
Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.

Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wshweao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k

acha atcl iboreshwe ili ufanisi uongezeke, usikatishe tamaa na kuwapigia debe PrecisionAir.
 
Nchi ya viwanda inanujua ndege ya mwaka 1983 si bora tungetengeneza wenywe
 
Serekali ilishindwa kuendesha viwanda na biashara zooote alizoacha mkoloni,tena mkoloni aliacha biashara zikiwa na ufanisi mkubwa mp

Kabisa Mkuu,maana rais anafanya kila kazi,mpaka kupanga bei ya sukari na wapi ikanunuliwe,na nani apewe kibali cha kuagiza sukari.
Kwani Kenya wameweza vipi? Vipi Rwanda na Ethiopia!! Kila zama na kitabu chake. Kila jambo lina starting point. Tabia ya kutumia kila kitu kama kete ya kisiasa italigharimu taifa. Baada ya uchaguzi kuisha sasa imebaki kupiga vita kila jambo linaloibuliwa na serikali hata kama ni jema. Kweli punda haendi ila kwa mijeledi!

Kwa muda mrefu imekuwa hoja ya jamii forum kuitaka serikali ilifufue shirika la umma la ndege. Unajua kwa nini? Kwa sababu kipindi hicho serikali haikuwa na mikakati ya dhati kulifufua na hivyo kuruhusu itumike kama turufu ya kisiasa ya wapingaji (waite wapinzani ukipenda). Leo serikali imeonyesha dhamirea ya dhati kabisa ikiwamo kuchukua hatua za makusudi kulifufua shirika hili, tayari wapingaji mmeswitch side! Hoja imepoteza mashiko kwa sababu haina tena political advantage.

Huwa nacheka sana pale jeshi letu linapoonyesha uwezo wake kivita, halafu wapuuzi fulani humu jf wanakimbilia haraka mitandaoni kutafuta picha za vifaa vya kivita vya majeshi ya nchi zilizoendelea kama Marekani na Russia na kuja kulichamba JWTZ na kisha kujiita great thinkers!! Basi mimi hubaki kuwaza ni kwa jinsi gani tumegeuka taifa la wajinga kiasi hiki!!?
 
Mkuu,Magufuli kweli anafanya kazi vizuri sana lakini kumbuka ni yeye tu peke yake,waliomzunguka wote ni vibaka na wanajifanya kumsaidia kupasua majipu lakini hiyo ni nguvu ya soda kulinda vibarua vyao tu,kwa hiyo hakuna chochote kitafanikiwa mpaka wananchi wa Tanzania wawe na uchungu wa nchi yao,kitu hicho ni ndoto kwa Watanzani.
Sorry, hujui mfumo wa utendaji wa serikali. ''Waliomzunguka wote ni vibaka'' ni kaui inayoakisi aina ya fikra alizonazo mchangiaji. Tubadiliki na tuwe tayari kuisaidia serikali kufdanya positive changes, huu ndio uchungu wa kweli.
 
Nimewahi kusema kuwa biashara ya ndege ni ngumu sana. unless otherwise una jaribu ku integrate pamoja na tourism ndio unaweza kuona faida. Otherwise ni failure tu.

How do you integrate tourism na biashara ya ndege, serious nonsense! Wageni wanaokuja Tanzania wengi wanabook International flights wenyewe, for internal flight tour operators wanaangalia cost and reliability of the airline, and so what do you mean by integrating?
 
Uttoh2002,
Kuonesha ''shaka'' kwa mifano hai kuwa Air Tanzania haitaweza kufanya vizuri katika biashara ya usafiri wa anga siyo inferiority complex. Tujijengee utamaduni wa ''kusikiliza'' maoni tofauti na kisha kutoa maoni yako kwa hoja mbadala ambao pengine unaweza kushawishi kukubalika au kukataliwa.

Nimekupa mfano PrecisionAir wameweza kujiendesha (tangu mwaka 1991) wakiwa na ndege za Twin Otter na kujitanua mpaka kuwa na ndege kubwa pamoja na kuvutia wawekezaji-wabia na changamoto zote zinazowakabili lakini bado wapo wanarusha ndege kwa uhakika.

Ungeleta angalau mifano wa jinsi Air Tanzania inavyoweza kujiendesha kibiashara kuondoa mashaka wa ''mradi huu wa dola million 27 x2 = US$ 54 Millioni sawa na billion za kitanzania Tshs. 100 Bn.

Sina haja ya kuleta mifano. Maana hili liko wazi, na sitachukua mfano wowote wa uendeshwaji wa serikali iliyopita kama base ya kufanya maamuzi, hii nchi ni kama ilikuwa haina serikali.
 
Back
Top Bottom