Hizi ndio ndege za Magufuli

Hizi ndio ndege za Magufuli

Ndio maana huwa nawasifu sana watu wa Kilimanjaro na Arusha kwa uwezo wa kiakili waliojaaliwa na MUNGU,bro umegusa pale pale,hizo ndege chakavu zikianza kazi chini ya serekali,basi ujue zitaenda tupu na kurudi tupu mpaka shirika litasambaa bila kurudisha hata pesa ya toilet paper za ndani ya ndege,ukitaka ticket utaambiwa ndege imejaa,mpaka utoe rushwa,na hizo ndege zikienda service mara moja, wataandika zimeenda mara saba.

hata haujui unachoandika!...unajua kweli classification ya airplane services!!
 
How do you integrate tourism na biashara ya ndege, serious nonsense! Wageni wanaokuja Tanzania wengi wanabook International flights wenyewe, for internal flight tour operators wanaangalia cost and reliability of the airline, and so what do you mean by integrating?

Hao abiria wapi ambao bawana uwezo wa kuoanda ndege kila leo au kusema kugawana abiria na fasjet?
Haja ya kuwa a ndege kubwa ni kuweza kuwa na route ambazo zinaweza kuleta watalii moja kwa moja kutoka europe,asia na sehemu nyingine africa.
Kwanini haiwezekani ku-integrate hichi kitu? Naomba uniambia tafathali.
 
sasa Kama ununuzi wa ndege tu hadi ashauriwe na kagame tunatatizo sana pale ATC
 
Hao abiria wapi ambao bawana uwezo wa kuoanda ndege kila leo au kusema kugawana abiria na fasjet?
Haja ya kuwa a ndege kubwa ni kuweza kuwa na route ambazo zinaweza kuleta watalii moja kwa moja kutoka europe,asia na sehemu nyingine africa.
Kwanini haiwezekani ku-integrate hichi kitu? Naomba uniambia tafathali.


How do u intergrate? Nimefanya kazi kwenye tour company, this is a free country where by people buy whenever they want na kwa mtu wanayetaka.

Tour operators na serikali ni entity mbili tofauti, na kila mmoja anaangalia maslahi yake. So how do u integrate the two?
 
Angejikamua akatoka na Boeing moja au hata Airbus 319 au 320 ndege kubwa kwa safari ndefu, hivi haviwezi hata kutoka nje ya bara la afrika,
 
Kwani hizi ndege zitakuwa na uwezo wa kubeba abiria wangapi? Ila kwa kuanzia sio dhambi. Bado tuna Salio kubwa linanunua kubwa tatu airbus
 
sasa Kama ununuzi wa ndege tu hadi ashauriwe na kagame tunatatizo sana pale ATC
Asipokubali ushauri watu wanasema dikteta akikubali tuna tatizo

Hapo tuangalie jambo lenyewe kama ushauri yoyote anaweza kushauri jambo lakini uamuzi wa mwisho anao Rais
 
Badala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
24f2a5420ec83b78c30ee9023a29f4fd.jpg
74ffbbd76ee1568c3c6b3a66ef7536cc.jpg

Safi kabisa, unazunguuka tu tunaanza KIA kisha Mwanza hadi Mbeya tunarudi Dar
 
Hii comment yako is a real definition ya mtu negative and inferior..... Kwani precision air yaendeshwa na malaika? I can assure you even precision air is not successfully......... Air Tanzania yaweza ku run kwa faid kabisa.

amesema precision air ni zaidi ya air tanzania, kwani kadanganya. ili precision ikisimama peke yake ni kweli haijafanikiwa sana. utajua yupi kafanikiwa endapo utamfananisha na mwenzake au utaweka vigezo. sasa compare atc na precision uje na jibu!
 
Hizo ndege za mafeni mbele haina nafasi kwa wakati huu

Bora kukomaa na kununua kama hizi gharama zitarudi haraka sana
aec84338a2aa01d78433146733df1a37.jpg

Mkuu you have a sound opinion'but our current market is too small for those big buses,just know that it is better to start small but to aim higher since airlines business is very unpredictable.

It is better to have two planes which operates in fully capacity than to have Airbus jets configured with 145 or 156 seats with 30% of them being empty,and for your information even the so called cheapest airline in Tanzania (Fast Jet) is now planning to go back to these kind of planes which are able to land at difficult airports conditions like ours.


READ THIS ONE!!

Fastjet’s New CEO Mulls Smaller Planes to Revive Africa Airline
June 16, 2016 — 10:48 AM AST

Fastjet Plc’s new chief executive officer said he may replace the African discount carrier’s planes with smaller ones and move its head office to a city somewhere on the continent from London to help end losses.

The Airbus Group SE A319 jets used by Fastjet may be too large for the markets they serve, Nico Bezuidenhout said in an interview. It also doesn’t make sense to run an African airline “from 5,000 kilometers away,” according to the executive, who moves to his new post from South African Airways on Aug. 1.

Former Fastjet CEO Ed Winter quit amid clashes with investor Stelios Haji-Ioannou after warning that full-year earnings would miss analyst estimates and that the company was running short of cash. Bezuidenhout, 39, said the carrier must modify the low-cost model to better fit Africa’s operating environment.

“Work could be done in terms of Fastjet’s distribution network, refining its cost structure, evaluating and matching its fleet to market demand,” he said Wednesday at Bloomberg’s Johannesburg bureau. “Just that alone should get the business close to a break-even position.”


Too Big
Fastjet operates five A319s from bases in Tanzania and Zimbabwe after terminating the lease on a sixth in April, serving destinations in South Africa, Zambia, Uganda and Kenya, according to its website.
Bezuidenhout, who made his reputation running SAA’s Mango unit and in stints as acting CEO of the group, said he’ll need to study operational data but suspects that the Airbus jets, configured with 145 to 156 seats, are too big and may need to be returned early.

That might point to a switch to the largest regional jetliners. Fastjet said a year ago that its fleet could reach 34 planes by the end of 2018, though mounting losses have since forced it to rein in even its current network.

The CEO-designate also plans to evaluate Fastjet’s route network, citing its Dar es Salaam to Zanzibar service as one that doesn’t appear to make sense because the journey time is so short given the fixed costs.

The airline could reduce costs and better understand its markets by moving its headquarters to Africa, with either South Africa or Tanzania the most obvious choices, Bezuidenhout said. A realistic target would be to complete the move within six to 12 months of starting the job, he said.
Efforts by some African governments to accelerate the liberalization of air transportation on the continent will also bolster Fastjet, the executive said.
Bezuidenhout said he respects the entrepreneurial credentials and business acumen of 12 percent shareholder Stelios, the EasyJet Plc founder who goes by his first name and who last week backed the new CEO’s appointment.

“He’s a vested stakeholder and you have to assume that he wants what’s best for his investment,” he said. “I’d be looking to find a way to cooperate with him and work with him and obviously draw on his knowledge and strengths.”

Fastjet will hold a shareholder meeting on June 28 to consider the future of Chairman Colin Child, who Stelios wants to force out. The airline said in a statement Friday that Child was instrumental in hiring Bezuidenhout’s and urged investors to back him.
 
Hizo ndege labda kama wanataka kuoperate domestic flight routes, lakini kwa international flights inahitajika ndege yenye classes. Na huku domestic watambue yupo fast jet ambaye ni leading low cost provider airline lazima waje na strategies makini.

Lakini pia sio kila ushauri kutoka kwa majirani zetu tuuchukue kama ulivyo, hawa ni majirani na competitors wetu at the same time. Lazima tuchuje baadhi ya ushauri.

Serikali ikae na wataalamu kwenye hii sector ili watuletee ndege zenye ubora na ushindani yasije yakajirudia ya Mv Bwagamoyo.
 
amesema precision air ni zaidi ya air tanzania, kwani kadanganya. ili precision ikisimama peke yake ni kweli haijafanikiwa sana. utajua yupi kafanikiwa endapo utamfananisha na mwenzake au utaweka vigezo. sasa compare atc na precision uje na jibu!

Kila mtu atakubaliana nami kwamba Tanzania kabla ya Mheshimiwa ilikuwa ipo vibaya, ni Dhambi kuhukumu serikali ya muheshimiwa based on previous goverment
 
Zile za Russia zimeachwa tena? Haya madude yanahitaji uwekezaji mkubwa na lazima akili utulie wakati wa kufanya maamuzi. Lazima mipango ijumuishe kila idara ya serikali kabla ya kufikia maamuzi... Ujasusi wa kiuchumi, kitaalamu, kibiashara, na hata kufitinisha watu kitu ambacho kitapelekea vita kubwa hivyo lazima ujipange. Usidhani watu wana furaha kukuona unataka kununua ndege... Au jirani yako amekuwa akikutumia kwa muda mrefu kuuza mazao yake sababu wewe ni mvuvi sasa anasikia unataka kuanza kulima unafikiri atafurahi? Lazima afanye fitina ili uendeleee kununua kwake. Hilo lipo kila sehemu na ndo ukweli ambao lazima tuukabiri.
 
Hiz ndege mbona ndogo zinazidiwa hata za fast jet
 
Kuna makala kibao zikionesha serikali kupitia Air Tanzania ilishajaribu kuingia ubia pia kubinafsisha ''share'' zake na mashirika kama ya Afrika Ya Kusini South African Airways (SAA) n.k kuingia katika mazungumzo na wa-China China Sonangol International Limited lakini ubia /mazungumzo/ mikakati huo haukuweza kuliokoa shirika letu pendwa la Air Tanzania.

Hivyo serikali kuwekeza US$ 54 Millioni au Tshs 100 Bn katika shirika la ''kitanzania'' la PrecisionAir kama mtaji pia ni uzalendo badala ya kuziteketeza Air Tanzania..
Sidhani kama ndege ni shida ya msingi ktk taifa!
Kama hatuna uwezo wa kuendeleza tunachowekeza then tukae tusubiri tu wakati muafaka kuliko kulazimisha! Mwl Nyerere aliacha madini ardhini ili watz wenye uwezo waje kusaidia ktk uchimbaji wenye tija!
Kwa maisha yangu sijapata kusikia kuwa tmekwama safari kwa kuwa ndege hazitoshi! We can invest pesa hizo ktk reli ambayo tunaimudu, tungesaidia wananchi wengi zaidi kwa muda mrefu zaidi na kwa uhakika zaidi!
Lkn kuna maeneo mengi yenye mapungufu ambayo 540b inaweza kuleta mageuzi makubwa!
Hakuna uzalendo wowote kwa serikali kutoa pesa na kuipa kampuni/shirika binafsi simply kwa kuwa eti ni la mzawa!
Hebu kaa na uanze kufikiri precision ilianzishwaje? Ilianzishwa na kina nani? Kwa kutumia resource zipi? Je hapakuwahi kuwa na uhusiano wowote au mgongano wa kimaslahi baina ya air tanzania na precision!
Nyie acheni kumprovoke Mkuu, asije akatembelea na huko bure! Waulizeni wenzetu wa DART!
 
Back
Top Bottom