Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,053
- 831,661
Ndio maana yakeKwa hiyo mkuu unataka kusema hiyo Airbus 320 ndani ndio Iko hivyo?
Ndio maana yakeKwa hiyo mkuu unataka kusema hiyo Airbus 320 ndani ndio Iko hivyo?
ndugu yangu usibishe biashara ya ndege inataka discipline ya hali ya juu,kwani kuna wabia wengi sana hapo ukileta ushemeji inakufa,watanzania tumezoea ukarimu hii biashara inataka uakarimu kwa wateja tu ila kwa wadau wengine iataka ukauzuna sio ndege tu bali transportation sector yote inataka ukauzu ,niambie ni wapi katika usafirishaji serikali imewahi kufaulu uda,kamata,tazara,trc,meli ,vivuko,ni majanga
hapa uani bila shaka nitaenda mbele wengine tumezoea kurudi nyumaBadala ya hizo mbili ndogo angenunua moja kubwa kuliko hivyo vitoroli
![]()
![]()
Uttoh2002,
Kuonesha ''shaka'' kwa mifano hai kuwa Air Tanzania haitaweza kufanya vizuri katika biashara ya usafiri wa anga siyo inferiority complex. Tujijengee utamaduni wa ''kusikiliza'' maoni tofauti na kisha kutoa maoni yako kwa hoja mbadala ambao pengine unaweza kushawishi kukubalika au kukataliwa.
Nimekupa mfano PrecisionAir wameweza kujiendesha (tangu mwaka 1991) wakiwa na ndege za Twin Otter na kujitanua mpaka kuwa na ndege kubwa pamoja na kuvutia wawekezaji-wabia na changamoto zote zinazowakabili lakini bado wapo wanarusha ndege kwa uhakika.
Ungeleta angalau mifano wa jinsi Air Tanzania inavyoweza kujiendesha kibiashara kuondoa mashaka wa ''mradi huu wa dola million 27 x2 = US$ 54 Millioni sawa na billion za kitanzania Tshs. 100 Bn.
Hayo mambo hayapo siku hizi, tumbua tumbua kama hii nani atakubali kuharibu ng'onda wake shauri ya kumtii mkuu...Biashara ya ndege ngumu, ilitakiwa labda serikali iingize mtaji PrecisionAir na kuwaachia wakurugenzi na wafanyakazi kuenesha shirika la ''kitanzania '' kibiashara. PrecisionAir wameonesha wanaweza lakini hawa Air Tanzania kuna mashaka makubwa.
Lakini hili la kununua ndege na kuikabidhi Air Tanzania nina shaka kubwa kama mradi huu utafanikiwa maana watatokea viongozi ''wanalazimisha wapewe ofa ya usafiri wa bure'', kutoa amri ndege isiruke kwa ratiba stahiki iwasubiri wao ''viongoz'i maana walichelewa kuamka na bado wapo nyumbani n.k
na kuijaza ndege kama hii inakuwaje?Kwa hiyo mkuu unataka kusema hiyo Airbus 320 ndani ndio Iko hivyo?
Kila taifa lina ndege zake. Hata burundi wenye matatizo wana burundiairmimi sielewi jambo moja. hivi kwa nini serikali isinunue shares huko precision? sidhanii kama kununua ndege na kuzipeleka huko ATC (any time cancellation) kutazaa tija
Nazungumzia mabasi ya Scandinavia ya Tanzania yaliyoendeshwa kisiasa kampuni ikafa mkuuMkulima wa kuku mbona SAS (Scandinavia airline)bado wapo Ni shirika la nane Kwa ukubwa Ulaya mapato yake 2014/12 €36 billion
Sasa Sijui wako wapi Leo kivipi?
Source Wikipedia