kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #81
Nimekuja naye😁😁Acha mambo yako bhana... mkoani umeenda lini tena na mubaba wako umuache mjini hapa
Nimekuja naye😁😁Acha mambo yako bhana... mkoani umeenda lini tena na mubaba wako umuache mjini hapa
Najua why una kwepa kwepa..... uzi wa jana uleeee hahahaNimekuja naye😁😁
Shemeji kakufanyaje tena shemejiWewe sikuamini usije kuwa kama shemeji yangu😁😁
Alikuwa anataka kunila😁😁Shemeji kakufanyaje tena shemeji
Muonjeshe shemeji utam utam mburudike.Alikuwa anataka kunila😁😁
Nimehamia juzi tu mkuu kuhama siyo kweliFanya uhame hapo
Fanya uhame hapo
Hata sikumtega atakuwa ana pepo la ngono huyu siyo bureMuonjeshe shemeji utam utam mburudike.
Alafu utakuwa ulimtega wewe
Uzi upi huo shemeji😁😁Najua why una kwepa kwepa..... uzi wa jana uleeee hahaha
Hamnaga kitu kama hicho...pepo la ngono ni nadharia tuuHata sikumtega atakuwa ana pepo la ngono huyu siyo bure
Hivi upo maternity??? 😁Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi.
Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema, nafanyaje kumdhibiti huyu mlevi😔🙂↕️
Si ule uzi wako wa shemeji, shemejiUzi upi huo shemeji😁😁
Utahama tu nyumba sio yakoNimehamia juzi tu mkuu kuhama siyo kweli
Nitahama muda wangu ukiishaUtahama tu nyumba sio yako
😁😁😁wamchome kamdomoKamdomo . Simple tu. Mtafute wale jamaa mangongoti. Awe tayari kwenye kona sehemu yenye mwanga hafifu mida ile anayorudi. Akiibuka tu ngongoti nae anaibuka na mingongoti yake na amevalia matambala meupe. Vidoleni amechomeka miale ya moto
Sawa mkuu japo nimehamia juzi tuKamshtaki serikali za mitaa, ikishindikana hama tu ukatafute nyumba sehemu nyingine