Hizi kelele za jirani zinanikosesha usingizi nifanyaje?

Hizi kelele za jirani zinanikosesha usingizi nifanyaje?

Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi.

Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema, nafanyaje kumdhibiti huyu mlevi😔🙂‍↕️
Comment #2 kafunga mada, fuata ushauri huo.

Mburuze kwa balozi, ukiona namna gani vipi, songesha kwa Mkiti, akili zitamsogea.

Dai lako lina mashiko.
 
Yule jirani leo naona katulia sijui anaumwa au amejua kama nimempangia mkakati😁😁
 
Ndiyo maana bia inaonekana classic kuliko pombe za kienyeji.

Ukilewa bia unakua kama profesa. Ukilewa pombe za kienyeji unakuwa kama chizi
 
Anataka papa ilo mpe papa usiwe unalala njaa inaonekana wewe usiku unalala njaa.
 
Back
Top Bottom